Sabodo anapendelea CHADEMA - Kuchimba Visima

Sabodo anapendelea CHADEMA - Kuchimba Visima

Status
Not open for further replies.

mgomba101

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
1,822
Reaction score
711
Profesa Mwandosya amekosoa uamuzi wa Sabodo kutoa msaada wa kuchimba visima kwenye majimbo ya wabunge wa CHADEMA! Alivyokuwa mburula na yeye amekiri kupewa msaada wake visima 100 jimboni mwake!

my take:

Visima hivi vitatumiwa na watu wote bila kujali itikadi ya chama chochote.Tumuunge mkono sabodo! Ni pesa yake anao uhuru wa kupanga matumizi ya fedha zake.Ni Ujinga kumpangia matumizi ya fedha mwanaume mwenzako.
Namshauri Mwandosya arudi India kucheck afya yake! Inaonekana anazeeka vibaya.
 
Profesa Mwandosya
amekosoa uamuzi wa Sabodo kutoa msaada wa kuchimba visima kwenye majimbo
ya wabunge wa CHADEMA! Alivyokuwa mburula na yeye amekiri kupewa msaada
wake visima 100 jimboni mwake!

my take:

Visima hivi vitatumiwa na watu wote bila kujali itikadi ya chama
chochote.Tumuunge mkono sabodo! Ni pesa yake anao uhuru wa kupanga
matumizi ya fedha zake.Ni Ujinga kumpangia matumizi ya fedha mwanaume
mwenzako.
Namshauri Mwandosya arudi India kucheck afya yake! Inaonekana anazeeka
vibaya.

Mpuuzzii huyo na ugonjwa bado unamtafuna. Mimi nashangaa ukishakuwa ccm hata kama ulikuwa na akili timamu kama Newton, lazima utaishia kuwa ----- na mjinga-mjinga.

Huyo mpuuzii akawaambie magamba wenzake watoe zile ela walizoficha uSwiss ili waje nao wachimbe hivyo visima, sio kushadadia ela za wengine, wenyewe ela si wanazo uSwiss, wakazilete sasa...
 
Profesa Mwandosya amesema atatawanya visima 100 nchi nzima badala ya kuchimbwa jimboni mwake!
Je hizo gharama za ziada za kutawanya Visima sehemu mbali mbali tanzania atabeba nani?? au anataka kumbebesha Sabodo?? Hizi ni akili au matope??
 
Hah hah hah Nape Nauye unamsikia mzee anavyojaribu kufurukuta??msaidie mzee hata kwa kumuandalia speech Waziri asiyekuwa na wizara maalumu!!!!!
 
MWANDOSYA UNAYAJUA HAYA KIUNDANI? AU UNALIPA FADHILA???
na NI MTANZANIA GANI ASIYEJUA HAYA YANAYOTUTESHA KILA SIKU huku mafisadi wakipiga makofi tu kupitisha mambo haya haya kila siku.???????????????

1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi.
3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
4.UFISADI -Dowans na Richmond
5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili
6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOTn.k
7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi
8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
10.UKOSEFU WA AJIRA.64% ya wahitimu ni jobless
11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU.
12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA.
13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI ,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
kona.
15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO MAJI AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA MAJI.
16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO WANYAMA KUTOROSHWA.
17...........
 
Haya ndio ya Rage jana. Kaanza kuponda wapinzani halafu analalamika hana madaktari wa kutosha jimboni kwake... Unajua siwaelewi kabisa hawa watu kama ni timamu.
 
Pia ametetea vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi nzuri sana! Nakumbuka huyu mgonjwa alikwenda kwenye msiba wa Daudi Mwangosi aliyeuwawa na FFU kwa kupigwa na bomu la machozi tumboni! Kwa maana nyingine anatetea utesaji wa Ulimboka na Kibanda??? Huyu mgonjwa ana matatizo makubwa! Anaanza kupoteza kumbukumbu! Polonium sio mchezo jamani!
 
Waziri asiye na wizara maalumu wala kazi maalumu! Kula kulala! Ni mzigo kwa Taifa!
 
Angalia CCM walichofanya;

Sabodo ni mwana-CCM wa muda mrefu na ametoa michango mikubwa sana kwenye chama cha mapinduzi, vilevile ametoa visima 100 kwa Prof. Mwandosya, na kwa kuungwana wa Prof. Mwandosya amevitoa vyote na kuumpa waziri wa maji, lengo lake ni visima hivyo vihudumie taifa kwa ujumla.

Angalia CHADEMA walichofanya;

Masikitiko yangu yanaenda kwa CHADEMA, wamepokea visima kutoka kwa Sabodo, visima zaidi ya 200, lakini cha kushangaza, wamejenga visima hivi kwenye maeneo waliyotoka wao tu. Viongozi wa CHADEMA wamethibitisha ubinafsi wa hali ya juu sana, wajirekebishe.

Huwezi kupewa msaada mkubwa hivi, halafu unaupeleka kwenye eneo ulilozaliwa, huu sio umoja tulionao watanzania. Ubinafsi wa namna hii unapelekea hali ya wananchi kuona viongozi wa CHADEMA kweli ni wahumini wa ukanda. Ndambi mbaya sana iliyokemewa na baba wa taifa.
 
Sasa napata kuelewa Kwa nini NAPE yuko ivo......... LIKE FATHER ......... malizia
 
Na mkumbuke HUYO NI PROFESA....Ningalikuwa mtu mie sijui!
 
Angalia CCM walichofanya; Sabodo ni mwana-CCM wa muda mrefu na ametoa michango mikubwa sana kwenye chama cha mapinduzi, vilevile ametoa visima 100 kwa Prof. Mwandosya, na kwa kuungwana wa Prof. Mwandosya amevitoa vyote na kuumpa waziri wa maji, lengo lake ni visima hivyo vihudumie taifa kwa ujumla. Angalia CHADEMA walichofanya; Masikitiko yangu yanaenda kwa CHADEMA, wamepokea visima kutoka kwa Sabodo, visima zaidi ya 200, lakini cha kushangaza, wamejenga visima hivi kwenye maeneo waliyotoka wao tu. Viongozi wa CHADEMA wamethibitisha ubinafsi wa hali ya juu sana, wajirekebishe. Huwezi kupewa msaada mkubwa hivi, halafu unaupeleka kwenye eneo ulilozaliwa, huu sio umoja tulionao watanzania. Ubinafsi wa namna hii unapelekea hali ya wananchi kuona viongozi wa CHADEMA kweli ni wahumini wa ukanda. Ndambi mbaya sana iliyokemewa na baba wa taifa.[ Na vile vile ukumbuke chadema hailokoti kodi kwa wanachi! Sidhani kama kuna baba atakayewavalisha watoto wa jirani huku watoto wake wakifa kwa njaa!
 
Mpuuzzii huyo na ugonjwa bado unamtafuna. Mimi nashangaa ukishakuwa ccm hata kama ulikuwa na akili timamu kama Newton, lazima utaishia kuwa ----- na mjinga-mjinga.

Huyo mpuuzii akawaambie magamba wenzake watoe zile ela walizoficha uSwiss ili waje nao wachimbe hivyo visima, sio kushadadia ela za wengine, wenyewe ela si wanazo uSwiss, wakazilete sasa...
Waziri asie na wizara maalum!
 
hivi kama jimbo linaongozwa na upinzani inamaana wananchi wote ni wapinzani...
ina maana hayo maji watakua wanachota na kadi za vyama.?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom