Kwa wapenzi,washabiki,wafuasi na wanachama wote Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ndani na nje ya jimbo la serengeti tunawakaribisha katika ushiriki wa mchakato wa kura za maoni za kumpata mgombea udiwani katika uchaguzi mdogo wa kata ya MANCHIRA iliyoko ndani ya mamlaka ya mji mdogo wa MUGUMU. Kwa wale wenye msukumo wa ndani wa kutangaza nia ya kugombea udiwani tunawaomba mjitokeze mapema ili tumalize hili zoezi la awali la kura za maoni.
Kata ya manchira ina vijiji vitatu ambavyo ni BWITENGI,MISEKE, na RWAMCHANGA. Pia hivi vijiji vyote kwa ujumla vina vitongoji 16.
Kwa sasa CHADEMA hapa wilayani tunaongoza kata 5, tukiipata manchira tutakuwa tumeongeza nguvu kubwa ya kuwatetea wanaserengeti kwa kuwa na mimi ni diwani wa kata ya stendi kuu ambapo ndipo kuna ikulu ya wilaya.Probability ya kushinda ni kubwa mno na hakuna mwana c.c.m wa kuargue kwenye hili hivyo makamanda popote mlipo karibuni sana, serengeti imekwisha iva.
Ahsante kwa ushirikiano.
ni mimi wenu kwa utumishi,
Marwa Ryoba Chacha
KATIBU MWENEZI WILAYA YA SERENGETI