Watanzania wenzangu na makamanda wa ukwel, kwa mtu mwenye tarifa na kamanda wetu Mawazo kwa sasa yupo wap? Naomba atujuze maana ni mda mrefu hutujapata tarifa zake kamanda wetu, mwenye tarifa zake yupo kwa sasa na M4C tunaomba atujuze.
Mawazo mambo yake kama kadata. Hivi jamaa hana kazi nini?
Ulie data ni wewe mwehu kamanda 2ko nae hapa mwanza umefurahi na anafanya kazi za chama.Mwambie na Nape Kinana Mwingulu Sumu Gongolamboto M23.

Unapowajibu hawa ngombe unawapa credit sana. Wapuuzeni wajinga hawa. 24hrs wako mtandaoni.

Labda ameshakusanya hela za kutosha kwenye mikutano ameamua atulie "azitumbue" kwanza.