Msikilize huyu mwanafalsafa makini

Msikilize huyu mwanafalsafa makini

KennedyMmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
979
Reaction score
188
"Success in almost any
field depends more on
energy and drive than it
does on intelligence. This
explains why we have so
many stupid leaders." -Sloan Wilson


Namuunga mkono Mh Msigwa alivyosema kuwa akili ndogo zinaongoza akili kubwa
 
2013 utakuwa mwaka wa kukumbukwa na vizazi vijavyo Tanzania...
 
"Success in almost any
field depends more on
energy and drive than it
does on intelligence. This
explains why we have so
many stupid leaders." -Sloan Wilson


Namuunga mkono Mh Msigwa alivyosema kuwa akili ndogo zinaongoza akili kubwa

Mkuu, akili yangu sio kubwa kihivyo. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hiyo "parable".
 
Mkuu, akili yangu sio kubwa kihivyo. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hiyo "parable".


dudus,sijui kama itakuwa tafsiri sahihi sana,ila inaweza kuwa
"mafanikio katika karibu kila jambo hutegemea sana nguvu na kukimbizana kuliko ilivyo katika akili nyingi.Ndiyo maana tuna viongozi wengi sana wajinga"...hii inaimply kuwa viongozi wengi sio intelligent in countering different challenges,wapo rough na hawatumii akili,ndo maana huwezi kumkuta mwenye akili akitumia nguvu kubwa na njia cahfu kuupata uongozi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom