R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,578
[h=5]Mbowe awapongeza wabunge CCM: KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amepongeza msimamo wa wabunge hasa wa CCM kwa kuweka itikadi zao pembeni na kusimamia kidete suala la bajeti ya Wizara ya Maji, hadi ikasitishwa ili iboreshwe zaidi.[/h]