Tanzania: Mawaziri na madawa ya kulevya

Tanzania: Mawaziri na madawa ya kulevya

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,249
Katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini Dodoma wakati wa kuchangia bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu Mbunge Kangi Lugola aliibua hoja nzito ya kwamba yawezekana kuna baadhi ya Mawaziri wa serikali yake wanajiusisha na vitendo vya madawa ya kulevya maana toka Mkuu wa kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya Bw. Shekiondo kusema anayo majina ya vigogo wanaojiusisha na madawa hayo mpaka leo serikali imekaa kimiya.

Kitendo hicho kilisababisha Waziri Merry Nagu kusimama na kumtaka mh. mbunge kusibitisha kauli yake kwamba amesema kuna baadhi ya Mawaziri wanajiusisha na madawa ya kulevya ama afute kauli yake, maamuzi ya Spika ilikuwa ngoja wakaangalie kumbukumbu za Bunge zimerekodi nini.

Sasa tujiulize inawezekana ni kweli kuna Mawaziri wanausika na madawa haya?.

Na je, kama ikithibitika ni kweli amesema kuna Mawaziri wanajiusisha na madawa haya ya kulevya atakuwa tayari kuwataja kwa manufaa ya Taifa?

  • Thanks
Reactions: SMU
tatizo kama mnaweza saidia walioadhirika na madawa kwa nini msiweze kamata wale wanaojihusisha nayo ina maana hawafahamiki au mnatudanganya
 
tatizo kama mnaweza saidia
walioadhirika na madawa kwa nini msiweze kamata wale wanaojihusisha nayo
ina maana hawafahamiki au mnatudanganya

Hao wanazunguka tu, wanatakiwa waanze na Riziwani...
 
Sasa kama watoto wa viongozi wa kuu wa serikali wanajihusisha live bila woga woote..
Kuna mtu atachukuliwa sheria hapo...watu wanaohusika na madawa ya kulevya ni vigogo wakubwa..!
Wasije wakamtoa kafara kama AMINA CHIFUPA...hawa watu wana hela ya kufa mtu..
 
Mary Nagu kwa nini asimwombe boss wake maana yeye anayo toka 2006.

List ya boss wake ni more reliable kuliko ya Lugola..

Akishapewa aangalie kama kuna jina la waziri ama la.........asitusumbue!
 
Nilikuwepo na nilimsikiliza kwa makini Lugola akitoa tuhuma hizo. Nilichokiona ni mwendelezo wa hekaya zile zile. Naye anasema Ana orodha ya vigogo ambao wanashiriki katika biashara hii lakini Kama ambavyo tulishuhudia kwa JK na Shekiondo, naye hakuthubutu kutaka jina hata moja. Kama kweli Ana orodha hiyo na Ana uhakikaa na anachokisema, kwa nini afiche majina?
 
Mkuu kila mtu anapenda aishi..
Wahusika ni viongozi wakuu unategemea nini hapo..
Wahusika wanajulikana sasa ni vigogo... je atasubutu kuwataja tungoje tuone...usishangae huu mwaka tukamzika..
Unachezea fedha wewe!
 
Sasa kama watoto wa viongozi wa kuu wa serikali wanajihusisha live bila woga woote..
Kuna mtu atachukuliwa sheria hapo...watu wanaohusika na madawa ya kulevya ni vigogo wakubwa..!
Wasije wakamtoa kafara kama AMINA CHIFUPA...hawa watu wana hela ya kufa mtu..

Mkuu unaposema "watoto wa viongozi wakuu wa serikali" unakuwa unazunguka.... Muhusika mkuu ni Riziwani.
 
Mkuu kila mtu anapenda aishi..
Wahusika ni viongozi wakuu unategemea nini hapo..
Wahusika wanajulikana sasa ni vigogo... je atasubutu kuwataja tungoje tuone...usishangae huu mwaka tukamzika..
Unachezea fedha wewe!
Nadhani ni kweli ameamua kutishia nyau Kama njia ya kutaka kusagia mshiko watuhumiw
 
Ridhi Moko atakuwa anajua, ok hata JK alisema anayo majina toka 2006, RIP Amina Chifupa....
 
When you come come correct, or don't come at all.

Otherwise unaweka mtego wa panya unaonasa waliokusudiwa na wasiokusudiwa.
 
Muvi aloanzisha Amina naona inaendelea
New episode, staring mpya na kubwa la maadui jipya.

Hii haijakulifai hata kuinunulia soda na popcorn, ngoja nimalizie ya 3D ya ugaidi kwanza.
 
..."yawezekana kuna baadhi ya Mawazili wa serikali yake wanajiusisha na vitendo vya madawa ya kulevya maana toka Mkuu wa kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya Bw.shekiondo kusema anayo majina ya vigogo wanaojiusisha na madawa hayo mpaka leo serikali imekaa kimiya"...

... amesema kuna baadhi ya Mawazili wanajiusisha na madawa ya kulevya...
Kama hizo kauli mbili zimenukuliwa sawasawa nadhani ni tatizo la lugha tu. Kwa hiyo Mama Nagu anataka Lugola athibitishe huo "uwezekano" ama nini?
 
tatizo kama mnaweza saidia walioadhirika na madawa kwa nini msiweze kamata wale wanaojihusisha nayo ina maana hawafahamiki au mnatudanganya
Kikwete mwenyewe alishasema anayo orodha ya wafanya biashara ya madawa ya kulevya ila bado anawavutia pumzi!!! Sina uhakika mpaka lini.
 
Pengo, Kilaini, Malasusa, Nkwera, Manji, Tamil Somaiya, Jitu, Diria RIP, Lyumba, Ballali, Zungu, Mwamvita, Ritz, Mboma, Dewji, Gulamali RIP, Mpakanjia RIP, Mwandosya, Membe, Msofe, Chagonja, Adadi, Mahita, Luhanjo, Jairo, Karamagi, Chenge, Lusekelo, Bonke, Sitta, Lukuvi, Nagu, Hawa, David, kitilya, Mtemvu, Jerry et al...Hawa ni Watakatifu wa upande wa pili!!!
 
Kama hizo kauli mbili zimenukuliwa sawasawa nadhani ni tatizo la lugha tu. Kwa hiyo Mama Nagu anataka Lugola athibitishe huo "uwezekano" ama nini?

Ndo maana hata Spika nae ikabidi aseme kwamba Ngoja wakaangalie kumbukumbu za kurekodi kinachosemwa Bungeni kimerekodi nini.(HASADI).
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mh.Kange ana hoja nzinto japo najua atakuwa ameshawaudhi wakubwa.Lakini nchi hii tunahitajai viongozi wenye uthubutu wa kusema wazi yanayokera jamii ya watanzania bila kujali kama upande wowote utakasirishwa.
Serikari kwa ujumla wake inao uwezo wa kukomesha biashara hii.Je kama kiongozi mkubwa namna hii alisha sema kuwa majina ya wahusika anayo mbona asieleze hatua zilizochukuliwa dhidi ya hao wahusika?
In fact is very right.
 
Spika amemwona hana hatia na haitajiki kufuta kauli yake kama ilivyokuwa ameombwa na Mh Nagu.
 
Katika dunia hii fanya yote even fanya mipasho ya kila aina even kumshika masaburi waziri yeyote.

Kuzungumzia hii kitu hawa jamaa hatari sana wataku RIP. Shigongo magazeti yake yanaandika udaku wote lakini wa namna hii utakaa kuisoma hata siku moja.
 
Pengo, Kilaini, Malasusa, Nkwera, Manji, Tamil Somaiya, Jitu, Diria RIP, Lyumba, Ballali, Zungu, Mwamvita, Ritz, Mboma, Dewji, Gulamali RIP, Mpakanjia RIP, Mwandosya, Membe, Msofe, Chagonja, Adadi, Mahita, Luhanjo, Jairo, Karamagi, Chenge, Lusekelo, Bonke, Sitta, Lukuvi, Nagu, Hawa, David, kitilya, Mtemvu, Jerry et al...Hawa ni Watakatifu wa upande wa pili!!!

Tell me its not true......!_yaaan Mwandosya,Sitta,Malasusa..duuh
 
Back
Top Bottom