Tunajua, serikali nyingi duniani hufanya mauaji ya watu wachache ili wengi waongozeke vizuri, ila mauji mengine Afrika hufanyika kishamba sana

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,657
30,056
Kuna kauli isemayo ficha wachache ili upate kutawala waliowengi vizuri,
Uliwahi kujiuliza hao wachache ni akina nani? umewahi kujiuliza hao wachache wanakuwa na sifa zipi? umewahi kujiuliza wakati wa kuwapoteza hao wachache serikali za upotezaji zinakuwa na viongozi wa namna gani kwa wakati huo?

Mauaji mengi ya namna hii yanafanyika katika bara la Afrika, Asia na Latin America,
Wengi wanakufa ama kwa kupewa Sumu au kwa kupigwa risasi au kwa ajali za kupangwa makusudi,

Wakati tukiwa na kazi kubwa ya kulikomboa bara letu kutoka katika umaskini wa kutupwa tunajua viongozi wetu wana kazi kubwa na ya ziada sana katika kuhakikisha wananchi wanaongozeka vema,

Wachache wanaofichwa huwa ni wapi?
Tunaposema ficha wachache kwa siku za karibuni kwa Afrika tunamaanisha wale wanaoonekana kupendwa na jamii hii uwatisha sana watawala na kuhakikisha kwamba hwatoboi,
Nisemapo wachache namaanisha wale wanaojua siri za karibu za mtawala hivyo umalizwa mapema ili ibaki siri , na kwenye mazishi marais hao uonekana kuumizwa sana na msiba husika mpaka kujitolea mambo mbali mbali
Wachache ninao sema ni wale wanaoibuka kupigania haki za wanyonge ambazo hazifuatwi na watawala, mfano pale Uganda mzee mseven ame engineer mauaji ya vijana wawili, AFANDE KAWEESI, na AFANDE KIRUMIRA, hawa walionekana kuwa tishio kabisa,
Tumeshuhudia wengi Afrika wakipewa Sumu hata kwenye mikutano ya kampeni waonekane wagonjwa, wengine wamepewa sumu ili miaka kadhaa ikifika wawe wadhoofu kabisa, haya yote hufanywa na watawala,
Mbaya zaid watawala wakiwa na wapambe au viongozi wa chini wasiojali na wanaotaka utajiri wa haraka kupitia biashara haramu, hulazimisha baadhi ya watu kubeba lawama hizo na ikitokea sasa anayebebeshwa lawama kachoka anaanza kama kulalamika, ndipo masuala ya SUMU yanaingia hapa,

naishia hapa,

nawatakia jumapili njema lakini kabla ya kumaliza naomba nigusie hapa kidogo maana ndo habari iliyoko mjini muda huu

KARIBU NDANI YA CCM MR LOWASSA
umerudi ukiwa hauna hela tena huna nguvu huna hata ile timu ya matumaini, lakin uzuri kazi zako umezimaliza na we ndo ujuaye maelngo yako katika siasa

ULALE PEMA PEPONI RUGE MUTAHABA
kaka yetu Mungu amlaze pema peponi,

TUNAOMBA UPONE HARAKA MR LISSU
Niweke wazi sijawahi kuwa mfuasi wako hata kidogo lakin katika kuusema ukweli kitendo cha kupigwa risasi kiliumiza wengi hata ambao si wafuasi wako, na niweke wazi kwamba siku ukiamua kuhamia CCM sisi tutafurahi sana
 
actually hata afya ya mamuvi ni matokeo ya power strugle........

alianza kuumwa around 2010-2012 hv.........hasa ilipobainika hatasimama baada ya 'rafiki' yake kumaliza kipindi chake!..........

hakika wasingefanya vile huyu bwana wasingem'weza! wangelazimika kumpa nchi liwake jua inyeshe mvua!........

anyway ndio siasa! sijui kama EL atakuja kuwa na amani na bwana mkwere!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilo liko wazi
 
Hapa umeongelea hasa watu 2 kwa current situation lowassa na ruge,ila kati yao moja ndio ume mtarget kwwnye uzi wako.
Kama ni lowassa una manisha mkwere alimuwekea sumu ya kummaliza taratibu-hivyo walitumia mbinu ya kishamba.
Na kama ni luge napo unamanisha walimuwekea sumu-hili nalo lilitendeka kishamba
 
Kwenye filamu ya Malcolm X kuna scene moja watu wengi sana wafuasi wake walikuwa wamejipanga wanasubiri amri yake huku upande wa pili polisi walio na hofu wamejiandaa kuwakabili. Malcolm X alinyoosha tu mkono kama ishara, wafuasi wake wote wakageuka na kuondoka.

Kamanda wa polisi aliyekuwepo pale akasema 'that's too much power for one man to have'.

Ruge had too much power. Naomba niishie hapo tafadhali.

By the way, ile scene ndiyo ilipelekea wimbo maarufu wa Kanye West 'Power'.
 
Kuna kauli isemayo ficha wachache ili upate kutawala waliowengi vizuri,
Uliwahi kujiuliza hao wachache ni akina nani? umewahi kujiuliza hao wachache wanakuwa na sifa zipi? umewahi kujiuliza wakati wa kuwapoteza hao wachache serikali za upotezaji zinakuwa na viongozi wa namna gani kwa wakati huo?

Mauaji mengi ya namna hii yanafanyika katika bara la Afrika, Asia na Latin America,
Wengi wanakufa ama kwa kupewa Sumu au kwa kupigwa risasi au kwa ajali za kupangwa makusudi,

Wakati tukiwa na kazi kubwa ya kulikomboa bara letu kutoka katika umaskini wa kutupwa tunajua viongozi wetu wana kazi kubwa na ya ziada sana katika kuhakikisha wananchi wanaongozeka vema,

Wachache wanaofichwa huwa ni wapi?
Tunaposema ficha wachache kwa siku za karibuni kwa Afrika tunamaanisha wale wanaoonekana kupendwa na jamii hii uwatisha sana watawala na kuhakikisha kwamba hwatoboi,
Nisemapo wachache namaanisha wale wanaojua siri za karibu za mtawala hivyo umalizwa mapema ili ibaki siri , na kwenye mazishi marais hao uonekana kuumizwa sana na msiba husika mpaka kujitolea mambo mbali mbali
Wachache ninao sema ni wale wanaoibuka kupigania haki za wanyonge ambazo hazifuatwi na watawala, mfano pale Uganda mzee mseven ame engineer mauaji ya vijana wawili, AFANDE KAWEESI, na AFANDE KIRUMIRA, hawa walionekana kuwa tishio kabisa,
Tumeshuhudia wengi Afrika wakipewa Sumu hata kwenye mikutano ya kampeni waonekane wagonjwa, wengine wamepewa sumu ili miaka kadhaa ikifika wawe wadhoofu kabisa, haya yote hufanywa na watawala,
Mbaya zaid watawala wakiwa na wapambe au viongozi wa chini wasiojali na wanaotaka utajiri wa haraka kupitia biashara haramu, hulazimisha baadhi ya watu kubeba lawama hizo na ikitokea sasa anayebebeshwa lawama kachoka anaanza kama kulalamika, ndipo masuala ya SUMU yanaingia hapa,

naishia hapa,

nawatakia jumapili njema lakini kabla ya kumaliza naomba nigusie hapa kidogo maana ndo habari iliyoko mjini muda huu

KARIBU NDANI YA CCM MR LOWASSA
umerudi ukiwa hauna hela tena huna nguvu huna hata ile timu ya matumaini, lakin uzuri kazi zako umezimaliza na we ndo ujuaye maelngo yako katika siasa

ULALE PEMA PEPONI RUGE MUTAHABA
kaka yetu Mungu amlaze pema peponi,

TUNAOMBA UPONE HARAKA MR LISSU
Niweke wazi sijawahi kuwa mfuasi wako hata kidogo lakin katika kuusema ukweli kitendo cha kupigwa risasi kiliumiza wengi hata ambao si wafuasi wako, na niweke wazi kwamba siku ukiamua kuhamia CCM sisi tutafurahi sana
Hawa waliokupa likes, lazima ni wafuasi wa kupigwa TAL risasi 38 utafikiri ni Chatu au Tembo.

Wako wapi kina
Hitler
Gaddafi
Mobutu
Bokassa
Amin
Moi
Botha
nk nk
Walifanya hivyo na leo nao hawapo. Tena wengine wamefia ugenini kwa aibu kubwa. Wengine hata makaburi yao hayajulikani.

Endeleeni kama itatutanikishia japo viwanda 50.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kauli isemayo ficha wachache ili upate kutawala waliowengi vizuri,
Uliwahi kujiuliza hao wachache ni akina nani? umewahi kujiuliza hao wachache wanakuwa na sifa zipi? umewahi kujiuliza wakati wa kuwapoteza hao wachache serikali za upotezaji zinakuwa na viongozi wa namna gani kwa wakati huo?

Mauaji mengi ya namna hii yanafanyika katika bara la Afrika, Asia na Latin America,
Wengi wanakufa ama kwa kupewa Sumu au kwa kupigwa risasi au kwa ajali za kupangwa makusudi,

Wakati tukiwa na kazi kubwa ya kulikomboa bara letu kutoka katika umaskini wa kutupwa tunajua viongozi wetu wana kazi kubwa na ya ziada sana katika kuhakikisha wananchi wanaongozeka vema,

Wachache wanaofichwa huwa ni wapi?
Tunaposema ficha wachache kwa siku za karibuni kwa Afrika tunamaanisha wale wanaoonekana kupendwa na jamii hii uwatisha sana watawala na kuhakikisha kwamba hwatoboi,
Nisemapo wachache namaanisha wale wanaojua siri za karibu za mtawala hivyo umalizwa mapema ili ibaki siri , na kwenye mazishi marais hao uonekana kuumizwa sana na msiba husika mpaka kujitolea mambo mbali mbali
Wachache ninao sema ni wale wanaoibuka kupigania haki za wanyonge ambazo hazifuatwi na watawala, mfano pale Uganda mzee mseven ame engineer mauaji ya vijana wawili, AFANDE KAWEESI, na AFANDE KIRUMIRA, hawa walionekana kuwa tishio kabisa,
Tumeshuhudia wengi Afrika wakipewa Sumu hata kwenye mikutano ya kampeni waonekane wagonjwa, wengine wamepewa sumu ili miaka kadhaa ikifika wawe wadhoofu kabisa, haya yote hufanywa na watawala,
Mbaya zaid watawala wakiwa na wapambe au viongozi wa chini wasiojali na wanaotaka utajiri wa haraka kupitia biashara haramu, hulazimisha baadhi ya watu kubeba lawama hizo na ikitokea sasa anayebebeshwa lawama kachoka anaanza kama kulalamika, ndipo masuala ya SUMU yanaingia hapa,

naishia hapa,

nawatakia jumapili njema lakini kabla ya kumaliza naomba nigusie hapa kidogo maana ndo habari iliyoko mjini muda huu

KARIBU NDANI YA CCM MR LOWASSA
umerudi ukiwa hauna hela tena huna nguvu huna hata ile timu ya matumaini, lakin uzuri kazi zako umezimaliza na we ndo ujuaye maelngo yako katika siasa

ULALE PEMA PEPONI RUGE MUTAHABA
kaka yetu Mungu amlaze pema peponi,

TUNAOMBA UPONE HARAKA MR LISSU
Niweke wazi sijawahi kuwa mfuasi wako hata kidogo lakin katika kuusema ukweli kitendo cha kupigwa risasi kiliumiza wengi hata ambao si wafuasi wako, na niweke wazi kwamba siku ukiamua kuhamia CCM sisi tutafurahi sana
OK museveni alimuua afande Kaweesi na afande Kirumira, umesahau magu na makonda walimuua Ben, Ruge na walitaka kumuua Lissu ikashindikana
 
Hii nchi walishakufa watu wengi sana sana

Hata waliokuwa na vyeo hadi vya Urais

Rais wa kwanza wa Zanzibar Karume kifo chenye utata..

Abdul Jumbe kifo chenye utata.......

Edward Sokoine kifo chenye utata.....

Kolimba kifo chnenye utata

Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu nyerere Kifo chenye utata.

Amina chifupa kifo chenye utata

Chacha wangwe kifo chenye utata

Deo Filikunjombe kifo chenye utata

Kifo cha Alphonce Mawazo kifo chenye utata....

Kifo cha Ben Saanane kifo chenye utata.......

Aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya kuchotwa kwa fedha za escrow kifo chenye utata......

List ni ndefu lakini vifo vya wanasiasa vina utata sana ....

Wanasiasa hawaachi kuua hasa Tanzania inaonekana tuna historia ya kuua watu hasa wenye ushawishi kwa jamii....

Mungu awalaze pema peponi maana walitangulizwa bila kupenda maisha yao yalikatizwa bila mipango ya Mungu......Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa
 
Back
Top Bottom