Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakili Godfrey Wasonga, amependekeza Serikali kuangalia upya mfumo wa upelelezi na uendeshaji wa kesi za ugaidi na uhaini, akisema makosa hayo ni makubwa na yanahitaji viashiria vya kutosha kabla...
0 Reactions
1 Replies
35 Views
1. Kwanza kutumika na CCM kupoteza watu wenye maono wanaochipukia ndani ya chama. Yani Mbowe alimtoa kafara Ben saanane yeye anajua, Mungu anajua na Atalipia yeye na kizazi chake. Hasa watoto...
2 Reactions
6 Replies
128 Views
Nimedokezwa kuwa upo mpango mahususi unaandaliwa ili bwana Mbowe apewe ile nafasi. Mpeni tu maana hamna tena aibu kuficha mauchafu yenu. Litakuwa ni pigo kwa yule bwana kuondoka.
4 Reactions
12 Replies
168 Views
Naona mnaangaika na Emanule Nchimbi sijui kama mmepata mafasi ya kutafakari vizuri suala la nchimbi hata tu kujiuzuru tu litazidi kuleta mpasuko mkubwa ndani ya Chama cha Mpinduzi...
2 Reactions
10 Replies
160 Views
Kama itatokea Makamu wa Rais akijiuzulu, nafasi yake inakuwa wazi kwa mujibu wa Ibara ya 50(2) (c). Kisha, kwa mujibu wa Ibara ya 50(4), Rais anatakiwa kumteua mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba...
44 Reactions
110 Replies
2K Views
Wasalaam. Siku zote katika bara letu Africa watu wenye akili kubwa na maono huchukuliwa ni wasaliti, why?
1 Reactions
2 Replies
69 Views
Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia muda si mrefu. Ni baada ya kuugua muda mrefu. Amefia nyumbani kwake Mjimwema Kigamboni. Marehemu alizaliwa Juni 14, 1920. ======= UPDATE: JamiiForums...
18 Reactions
600 Replies
111K Views
Wanabodi, Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PNA, kirefu chake ni PPR News Analysis. Tamka (P.N.A) Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa. PNA ni...
12 Reactions
47 Replies
1K Views
Nisingeishi China nisingeamini hii. Wachina katika mikutano yao ya Chama: walikuwa wanasimuliana stori za namna hii; Mtu anasema, kwa mfano, kwamba alikuwa anaendesha gari,gari ikaharibika...
4 Reactions
4 Replies
103 Views
Mkimuona Mbowe popote pale, awe kwenye Mradi wa Serikali, awe añaupiga picha na Samia, Awe kwenye chombo chochote cha habari, MPUUZENI, MSIMUONGELEE KWA NAMNA YOYOTE ILE. Hana jipya, keshajifia...
5 Reactions
21 Replies
191 Views
Mufti Mkuu na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally, amewakosoa vikali viongozi wa dini (masheikh na waalimu) kwa kukaa kimya wakati viongozi wa nchi—wakiwemo Rais, Serikali na...
3 Reactions
14 Replies
189 Views
Na kwakuwa CCM wengine ni fuata upepo ukweli upo mioyoni mwao, Hiyo ndiyo habari iliyopo mezani
0 Reactions
1 Replies
49 Views
Nakumbuka kauli ya JK na hapa namnukuu "Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani" kauli hiyo ni ya kijasusi na yenye mlengo wa kuwafanya wanachama na viongozi wandamizi kutoaminiana. Leo gazeti...
33 Reactions
129 Replies
13K Views
Habari wana wa Mungu jf popote mlipo, amani Bwana ikawe juu yenu. Mungu akanionesha yeyote aliye nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio muda atakufa mdomo wazi. Mwachieni mapema sana...
2 Reactions
33 Replies
347 Views
Leo wakati napitia magazeti ya zamani nimekutana na habari kwamba Aboud Jumbe alikamatwa na kuwekwa katika kifungo cha nyumbaji na Rais Mwl.Julius K. Nyerere. Nimejaribu kufukua ili kujua sababu...
9 Reactions
89 Replies
20K Views
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel...
17 Reactions
277 Replies
84K Views
Mimi binafsi niliona mahakama imepoteza mwelekeo kitendo cha kukubali kujenga vibanda vya njiwa ndani ya mahakama kisa Tundu Lissu...
3 Reactions
7 Replies
252 Views
Back
Top Bottom