Diwani wa CHADEMA afanya Mauaji huko Kagera

Diwani wa CHADEMA afanya Mauaji huko Kagera

Matukuta Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
207
Reaction score
27
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya CHADEMA amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.
 
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya Chadema amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.
Hiki Chama kina shida sana na waumini wake.
 
Patience must have limits, Mwanasiasa aishiwapo subira, lolote laweza kutokea. We ulidhani ataudhiwa tu bila kufikia mwisho????? nadhani si huyo tu, na wengine yatawakuta.
 
sasa kama kawaua majambazi kuna tatizo gani?maana hujatoa sababu za mauaji hayo..
then aliyeua ni (X),ambaye ana wadhifa wa udiwani,na sio diwani ndye aliyeua.
unahusisha vp mauaji hayo na chama?
mbona nyie nyinyiemu hatukuwahusisha na mauaji ya mwangoc?
 
Punguza kukurupuka ili watu wakuheshimu na kukuamini.
 
Diwani wa Kata ya LUTORO huko Kagera kwa tiketi ya Chadema amefanya Mauaji ya kutisha ya watu wa 4 huku moja ya watu hao akimtaka kabisa Koromeo.
Hiki Chama kina shida sana na waumini wake.

Anaitwa nani? Ameua lini? Nini sababu za mauaji? Amekamatwa? Amefikishwa mahakamani?
 
Patience must have limits, Mwanasiasa aishiwapo subira, lolote laweza kutokea. We ulidhani ataudhiwa tu bila kufikia mwisho????? nadhani si huyo tu, na wengine yatawakuta.
Mkuu bora ungekaa kimya tu, hata hapa we umeonyesha ubendera wako. na kukosa ubinadamu na busara.
 
we need the source pleaseeeeeeeee na picha wengine hapa ni tomaso sisi..!!:coffee:
 
Atashughulikiwa kisheria kama muhalifu yeyote yule na si kama diwani wa Chadema kwani kuna ushahidi unaonyesha kuwa alipokuwa anafanya mauaji hayo alitumwa na Chadema?.
 
TBC Habari.

kwa hiyo unataka kusema TBC habari wametangaza "Diwani wa chadema afanya mauaji ya watu 4 huko Kagera" na Lumumba team yote wasije hapa kuchukua credit za hiyo thread wakakuachia wewe , kwani huwa mna zamu hapo Lumumba team?
Haya Sumu, m23, Bungeni, Ritz na wenzenu njoo mchukue buku 7 zenu.
 
Kuna Diwani wa ccm hapo mwanza aliua siku za karibuni ccm hamkushabikia. Marehemu Dito alipopiga mtu risasi hakuusishwa na chama. Mtu akifanya hualifu wake awezi kuhusishwa na taasisi anayofanyia kazi. Mfano mwalimu akiuwa huwezi sema wizara ya Elimu imeua. So mleta mada umeleta kishabiki.
 
...niliwahi kusema ukitaka kujua chadema ni maarufu hata balozi wa nyumba kumi akifanya kitu lazima afrika mashariki itajua..
 
Wana Chadema wenzangu tumpe Uenyekiti Zitto Kabwe kwani haya yote hayawezi kutokea ndani ya Chama chetu.
Hivi mmemuona wakati akichangia Kwenye Bajeti ya Mambo ya Ndani ya Nchi!?
 
TBC Habari.
AAAAHHHHHAAAAaaaa,Kumbee TBC!!!!! WALIOACHA KUONYESHA BUNGE wakaenda kuonyosha mwenge!!Huku watu wanagaa gaa vitandani kwa bomu,wangerusha hata matangazo ya salamu kwa wagonjwa Mount meru hospital.
 
Back
Top Bottom