Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Status
Not open for further replies.

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA

Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.

1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema

2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.

Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania

3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum
.

Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.
 
ukweli mchungu lakini subiri matusi kutoka kwa vijana wake hapa
 
yule ni dikteta halafu ana dharau, anataka akisema yeye hata kama amekosea watu wafuate kwa kutii tu
 
Wadau wameshamshauri sana Dr. Slaa astaafu ila Josephine ana ndoto za kuwa first lady ndio maana anamlazimisha Dr. Slaa kuendelea na siasa.

Kwahiyo anachopigania Dr. Slaa sasa hivi ni ndoto za Josephine za kuwa first lady.
 
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo
1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source gazeti la raia mwema
2.katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake zito limeleta utata
Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source gazeti la mtanzania.
3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, zito kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. slaa source jamiii forum
Ukifatilia chama cha chadema chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu

suala la baregu ni rumours and serious people don't work on rumours, suala la mamake zitto na barua ya zitto ni usanii wa zitto na mamake, tafuta mapungufu mengine.
 
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo
1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source gazeti la raia mwema
2.katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake zito limeleta utata
Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source gazeti la mtanzania.
3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, zito kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. slaa source jamiii forum
Ukifatilia chama cha chadema chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu

Mwache wewe bakia na Katibu Mkuu wa CCM you will be much happy kaka wacha kujisumbua na Chadema nawe ukiwa ni CCM
 
Wewe unataka nani awe Katibu mkuu wa Chadema!? haya tupe na mapungufu ya makatibu wa vyama vingine maana haya tumeyasikia, na huo ni mtazamo wako na upo huru kusema, kuna wengine walisemwa kusu meno ya Tembo sasa tupe na mengine kwa utafiti wako.

Kwa sasa Katibu mkuu wa Chadema ni Dr Slaa na sisi wenye Chama tunamkubali na hatudanganyiki na nyie ccm
 
Unaonaje ukianzisha thread khs mapungufu ya mama yako pia?ili nae ajiuzulu kutunza familia yenu?
 
Wadau wameshamshauri sana Dr. Slaa astaafu ila Josephine ana ndoto za kuwa first lady ndio maana anamlazimisha Dr. Slaa kuendelea na siasa.

Kwahiyo anachopigania Dr. Slaa sasa hivi ni ndoto za Josephine za kuwa first lady.

Usingejitokeza kuchangia...ningejiunga na CCM ukweli tena!
 
Nimekusoma,ila namna ulivyo wakilisha ujumbe wako,tunashindwa kkuelewa kama ume copy,ama umeongeza yakwako,cdm nichama kiko makini sikila jambo analolipatia ufumbuzi liwekwe kwenye mabango,ama unatunmikaa!peopless zzz, andaa mada nyingine hii haikupi kitu.
 
kwani wewe hapo umefanya nini

Bila shaka kusoma unajua...ila kuelewa ndio shida!
In short watu ninaowazungumzia...utaona kuna mahali zitafuatana komenti zake tuuu kama tano....halafu tena unakuja kukutana nazo mbele tatu consecutive...nakadhalika....kwa heri!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom