JUMATATU, MEI 06, 2013 05:16 NA BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM
*Wanafunzi waliofukuzwa wachachamaa
WAKATI Watanzania wengi wakimtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa...
Katika kusikiliza sikiliza hotuba za mheshimiwa sana nilikutana na hotuba yake ya hivi karibuni katika sherehe za Mei mosi. Akiwa anaongea na mamluki ya watu, Raisi wa jamuhuri ya Muungano alisema...
Ndugu zangu watanzania naomba nitumie jukwaa hili la JF kuzungumza nanyi kama mtanzania mwengine yeyote ninayeguswa na hali tete tuliyonayo kama taifa.
Kwa ufupi bila kumung'unya maneno TANZANIA...
Shibuda amesema kuna mabaya ya serekali na mazuri ya serekali,mabaya upinzani na mazuri ya upinzani,hivyo serekali inapochokonyoa upinzani na ndivyo upinza huchokonyoa serekali,amepongeza jeshi la...
Nafuatilia bajeti ya Mambo ya ndani hapa, bajeti imepunguza sehemu nyingi vifungu vya pesa na kila anapoulizwa anajibu eti hela imehamishiwa kwenye matumizi ya mikoa mipya sasa kama nmeongeza...
The President and First Lady meet with Pope Benedict XVI – photo Issah Michuzi
Pope Benedict XVI has promised to visit Tanzania after receiving an invitation from President Kikwete, who...
06/05/2013
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO LA BARAZA KUU LA WAISLAMU WA TANZANIA BAKWATA JUU YA MLIPUKO WA BOMU - ARUSHA
Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh.
Baraza Kuu la...
Paper noma, tutasikia waheshimiwa wakiandika mambo ya zombi
Nafasi zao kutangazwa magazetini
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mfumo mpya wa kuwapata wagombea nafasi ya...
Kwa jinsi hali ya usalama ilivyo nchini kwa sasa , ni vyema jeshi la polisi likavunjwa na kuundwa kikosi chini ya JWTZ kama ilivyopendekezwa na kambi ya Upinzani Bungeni.
Wanabodi mna maoni gani?
Nakerwa sana na mwenendo wa huyu bibi yetu pale mjengoni...........aliwekwa kwa makusudi kabisa kwa kuwa walifahamu tangu mwanzo kua ni mdhaifu....anatufanya wanawake wote tuonekane mboyoyo....na...
Kwanza nimpongeze CAG wetu kwa ripoti nzuri sana aliyoitoa hivi karibuni kule bungeni. Ushauri au ombi kwa CAG ni kuwa watu wachache sana waliweza kupata hizi report kwenye CD na makabrasha...
Kwa masikitiko makubwa juu ya nchi yangu Tanzania inavyokwenda nawataka watanzania wote walio ipigia kura ccm 2010 wakatubu dhambi kubwa hii walio itenda Tanzania.
-angalia mauaji na utesaj wa...
Ndugu zangu wanaJF
Zifuatazo naamini zaweza kuwa sababu kuu 4 zinazoweza kuhatarisha amani yetu Tanzania kama hatutokuwa makini:
1. Udini.
2. Muungano.
3. Rasilimali za taifa (maliasili...
Tanzania inachukua hatua kupambana na ujangili ulioibuka wa tembo na vifaru kwa kusambaza watumishi wa jeshi na kamera zenye uwezo wa kuchukua picha kutoka mbali kushughulikia operesheni dhidi ya...
CCM ni chama kikonge chenye kila mbinu lakini sasa kimefikia mufilisi wa hoja na propaganda zake.
Wakati kukiwa na mijadala ya kitaifa yenye kukosoa mwenendo mzima wa CCM na serikali yake juu...
Serikali kupitia tamko la waziri wa mambo ya ndani imetoa tamko la kilaghai na kuonyesha haina nia yeyote ya kusaka na kuwashitaki wale waliuuwa, kutesa na kujeruhi raia wasio na hatia zaidi ya...
Mji wa ZANZIBAR umeingiliwa na askari wa vikosi vya SMZ pamoja na askari wa baraza la mji kufuatia lile lengo lao lakuwahamisha wafanyabiasha wadogo wado (wamachinga) wanaofanya biashara eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.