Kwa nini tufikie hatua hii?

Kwa nini tufikie hatua hii?

Iamjac16

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
214
Reaction score
53
Ndugu Zangu Wana Jf Hivi Karibuni Kumezuka Masuala Makubwa Na Mazito Yanayotishia Amani Ya Taifa Letu.sitaki Kuyazungumzia Sana Haya Matukio Lakini Tujiulize Kwa Nini Tufikie Hatua Hii,je Tunaipeleka Wapi Tanzania?pia Kumekua Na Matumizi Mabaya Ya Social Networks Kutumika Kisiasa Na Kuchochea Chuki Za Kisiasa Na Kidini Ndugu Zangu Tubadilikeni Pia Tuungane Kuinusuru Tanzania Yetu.nakumbuka Busara Za Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere Kua Tanzania Haina Dini Ila Watu Wake Wana Dini Tusikubali Kugawanywa Kwa Misingi Ya Kisiasa Wala Kidini.maana Ikitokea Ghasia Watakao Dhurika Na Mwananchi Wa Hali Ya Chini Ahsanteni Wana Jukwaa
TANZANIA YETU SOTE AMANI DAIMA
 
Kuna ombwe la uongozi! Ndiyo sababu pekee ninayoiona!
 
KUMBUKA UNATOA USHAURI KWA WANAOAMBIWA AMA UNAOTUAMBIA KUWA TUSIKUBALI KUGAWANYWA.
ninavyojua mimi ukishauri watu kila mmoja ataelewa na kutenda tofauti,hivyo lazma utatue kiini cha tatizo.
VIPI KUHUSU WANASIASA WANAOTENGENEZA NA KUENEZA PROPAGANDA ZA UDINI,UKABILA NA UKANDA?Je wao waendelee tu na kazi yao ya kueneza udini,ukabila na ukanda?Huku ukitusihi wtz tuungane.
LAZIMA CHAMA CHA MAPINDUZI KICHUNGE KAULI ZAKE NA KUACHA KUSHUTUMU VYAMA VINGINE KWA UDINI,UKABILA NA UKANDA,LA SIVYO KIZIBITIWE,na kama wana ushahidi ni bora waupeleke kwa tendwa avifute moja kwa moja vyama vya udini na si kupiga taarabu majukwaani.
 
Hiyo Ni Kweli Mkuu Mi Naona Siasa Zisiingilie Imani Au Dini Za Watu
 
Majibu wanayo CCM wanao ropoka hadharani eti chama fulani ni cha dini fulani, chama fulani ni cha kabila fulani, chama fulani ni cha ukanda fulani
 
Back
Top Bottom