Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za leo wadau; nina mada naomba niwasilishe kwenu ili nipate ushauri wenu. Mimi kama mwanachama na mkereketwa wa CDM/M4C nahitaji kutoa mchango wangu kwa watanzania wenzangu namna ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf,tangu CHADEMA ipande chati katika medani za siasa za vyama ving nchini,watu wa lushoto hawaja bahatika kutembelewa na kiongozi yoyote wa ngazi za juu wa CHADEMA si Mbowe,wala Dr...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Akizungumza Bungeni leo, Waziri William Lukuvi amempongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa kwa kazi nzuri sana anayofanya na kuwa asitishike na kelele zinazosemwa juu ya utendaji wake. Hii...
0 Reactions
108 Replies
9K Views
First of all I am Tanzanian,native Tanzanian, In addition to that i am A muslim, Hii hali inayotokea sasa katika nchi yetu inatenza nguvu sana,inaondosha uhalisia wa kidugu na mshikamano...
9 Reactions
188 Replies
13K Views
by JOHN BUKUKU on MAY 6, 2013 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifurahia kazi za mikono zinazofanywa na watoto wenye ugonjwa wa akili (autism) wakati alipotembelea Kuwait Autism Center huko...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Ni baadhi ya maswali yanaulizwa na kujibiwa katika makala iliyopo kwenye Raia Mwema ya leo hii. Jisomee na toa maoni yako pia.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikuwa ni dakika za majonzi na masikitiko kwa kundi lote lililokuwa limemsindikiza uwanja wa ndege Balozi wa Papa ambaye ameondoka leo mjini Arusha kuelekea Dar, baada ya kunusurika katika...
16 Reactions
44 Replies
6K Views
http://youtu.be/VklyqVLs4c0
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Siku chache baada ya Wassira kumjadili kwa dhihaka na kejeli kubwa muandishi wa habari aliyeteswa kama mnyama Bwana kibanda, Leo hii Mh.Lukuvi ndani ya bunge amemsifia na kumsafisha mtuhumiwa wa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi hellow! Ikiwa ni mara yangu ya kwanza kujiunga nimeona nivyema nitowe tahadhari kwa CCM. Chiluba the late President wa Zambia wakati amemushinda Kaunda alianza vyema. Madaraka...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Mh. Maige amuumbua Simbachawene kwa kudanganya bunge kuwa halmashauri zinazunguka migodi wanapoa service levy fees kumbe hakuna kitu kama hicho nchini. Zitto nae akapigilia msumali kwa kutoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Zanzibar wanaserikali yao, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yenye Wizara yao ya Afya. Hili si jambo la Muungano. Fedha za wahisani juu ya miradi mbalimbali hata mafunzo tunagawana nao sawa. Cha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NEWS With the Obama administration having sent off Kenya for corruption and impunity, Tanzania has emerged as East Africa's star player on the US pitch. It was Tanzania's President Jakaya Kikwete...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Taarifa kutoka Ikulu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya tukio la leo, Jumapili, Mei 5, 2013 la...
17 Reactions
422 Replies
30K Views
Waziri ni kiongozi anaeongoza mamilioni ya watu, ukiachilia mbali wakuu wa mikoa, wabunge, makamanda wa jeshi wa mikoa nk, kumekuwa na ubabaishaji wa hali ya juu katika utendaji na kutufanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza namwona Kikwete akiongea katika hali ya huzuni kubwa na majonzi. Hili naona limemugusa sana. Hasa ukizingatia kwamba linatia doa kwenye utawala wake. Pole sana Rais wangu Kikwete.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
MAWAZO YANGU: Mimi nafikiri hakuna uhusiano wowote kati ya Ufisadi (Matumizi ya mali ya umma kwa manufaa binafsi) na Chama cha huyo anayefanya/aliyefanya Ufisadi, tuamini kwamba Ufisadi ni tabia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
bunge linatoa taarifa ya bunge hivi sasa kuhusu tukio la bomu arusha, anasema limetikisa amani ya nchi bunge limeazimia kuwa wahusika wote watiwe nguvuni na serikali na kufikishwa mbele ya sheria...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi. Kwanza niwasalimu kwa jina la Jamii Forums. Kwa wiki mbili sasa tokea Bunge letu tukufu lilipoanza vikao vyake vya Bunge la Bajeti 2013/14 nimekuwa nikifuatilia kwa makini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
now bungeni Adai kuwa anawatumia askari polisi kisiasa hasa anapozuia mikutano ya kisiasa jimboni kwake. Ni wakati wa kuchangia hotuba ya mambo ya ndani amesema anayelitumia vibaya jeshi la...
2 Reactions
100 Replies
9K Views
Back
Top Bottom