Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,894
- 71,417
Akizungumza Bungeni leo, Waziri William Lukuvi amempongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa kwa kazi nzuri sana anayofanya na kuwa asitishike na kelele zinazosemwa juu ya utendaji wake.
Hii imekaaje wakuu?
Wakati suala la Mwangosi halijafika mwisho ni vipi Waziri anampongeza eti RPC anayetuhumiwa kwa mauaji anafanya kazi nzuri sana?
Hii imekaaje wakuu?
Wakati suala la Mwangosi halijafika mwisho ni vipi Waziri anampongeza eti RPC anayetuhumiwa kwa mauaji anafanya kazi nzuri sana?