Wakuu nimefuatilia azimio la bunge juu ya suala la udini nchini na kwa mtazamo wangu siafikiani na mtazamo wa wabunge wengi kwamba kauli za viongozi na wabunge ndio tatizo lililotufikisha hapa...
Msajili wa vyama vya Siasa John Tendwa amesema kua sio kila chama cha Upinzani ni kibaya na kwamba vyama vingine wana hoja za msingi.
Alizungumza hayo jana wakati akizungumzia kuhusu miaka 21 ya...
Nashindwa kumuelewa Waziri Mkuu M K P Pinda. Akiwa Arusha kwenye kuwatembelea wagonjwa walioathirika ma mlipuko wa bomu kanisani Olasiti aliitwika mzigo TANAPA kwa kutoa maagizo:
1. Alimwagiza Dr...
(moods isome yote kabla hujaamua kuifuta au kuiunga na zingine) Kutoka kwenye kasfa mpya ya UGAIDI na UDINI
.
CHADEMA kimechafuliwa sana hadi bungeni na akinamwigulu kuwa ni chama cha kigaidi...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mfumo mpya wa kuwapata wagombea nafasi ya ubunge kuanzia uchaguzi wa 2015. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam (06-05-2013)...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeiamuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iwasilishe majalada ya kesi ya ugaidi inayomuhusu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare na...
NDUGU KABWE Z. ZITTO, MB BUNGENI TAREHE 6 MEI, 2013
Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia leo katika mjadala huu muhimu sana.
Hapa Afrika kulikuwa...
Katika kipindi cha Tuongee asbuhi Makamu mkuu wa chuo cha SAUT Father Charles Kitima amesema kuingilia Baraza la mitihani na kusema isahihishe upya ni kuvunja sheria ya nchi. Pia akasema wanaosema...
"Serikali huwezi kutibu Malaria kwa kumpa Mgonjwa Panadol" - G. Lema
Nimefuatilia leo asubuhi juu ya maneno niliyotamka Olasiti Kanisani baada ya bomu , nimeona michango mbali mbali katika...
Kwanza kabisa napenda kutoa pole nyingi sana kwa watanzania wenzetu_wanaArusha kwa tukio lililowapata la kulipuliwa kanisa.Tuombe mungu,tudumishe amani na upendo miongoni mwetu.
Watanzania ni...
Kiukweli kazi ya ukombozi inahitaji moyo mimi nina vijana kama ishirini tumekuwa tukihitisha mikutano pamoja nakufungua matawi katika vijiji kiukweli tumekuwa na wakati mgumu sana kuja...
WEDNESDAY, MAY 8, 2013
Spika wa Bunge atembelea majeruhi wa Mlipuko uliotokea mjini Arusha na kutoa rambirambi iliyotolewa na wahe. Wabunge kwa baba askofu wa Jimbo kuu la Arusha Askofu Josephat...
Leo nilimsikiliza bungeni huyu mama akitoa wimbo mpya. Kwamba makanisa yamekuwa mengi na nadhani kwa kauli yake hiyo anahitaji yapunguzwe, sijui kiasi gani anajua mwenyewe. Jamani, kila siku...
Mwaka 2015 ndio Uchaguzi Mkuu wa Tanzania(Udiwani,Ubunge na Urais) Mimi naenda Tabora Mjini ambapo ndio kwetu kuwania Ubunge wa tiketi ya CCM.
Kura za Maoni ndani ya Chama ndio zitakazonipa...
Tukio la mlipuko wa Bomu katika jiji la Arusha ambalo lililenga kusanyiko la viongozi na waamini wa Kanisa katoliki mbele ya uwepo wa Mwakilishi wa Papa limezua taharuki, masikitiko, vilio na...
Anasema kuna wanasiasa wanasiasa wanatafuta umaarufu kupitia maisha ya watanzania. Amesema serikali isilaumiwe kama itawashughulia wanasiasa wa aina hiyo.
Anashindwa kmshukuru Mh LEMA na Mh...
Mchungaji Martin ni mtu maarufu sana aliyeishi kipindi cha utawala wa Dikteta Adolf Hitler na kuona madhila ya utawala wa kibabe nchini Ujerumani kipindi cha kuelekea vita kuu ya pili ya dunia...
Kuna habari zimezagaa Kiomboi, Iramba kwamba yule Mwenyekiti wa CHADEMA wa Iramba aliyenunuliwa na Mwigulu na kutoka kwa mbwembwe anarejea CHADEMA leo baada ya kushindwa ku-fit katika utamaduni...
AMANI YA TANZANIA KITANZINI
kwa mala nyingine Tz kama nchi ipo kwenye majaribu makubwa kabisa ya kulinda na kuitetea Amani yetu,vitendo vya mauaji,utesaji vinaelekea kuwa ni ibada ya kila siku ya...
ANGALIA PICHA ZA LWAKATARE AKIWA MAHAKANINI LEO AMBAPO KAFUTIWA MASHITAKA YA UGAIDI
Lwakatare akimkumbatia kwa furaha wakili wake, Peter Kibatara, baada ya kufutiwa mashitaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.