Kwa mara nyingine narudi jamvini na ushauri wa bure kwa Chadema, chama makini cha siasa kuwahi kutokea hapa nchini.
Leo tuliangazie jimbo la Ngudu lililopo wilayani Kwimba mkoani mwanza...
Kwa mujibu wa vyombo vya habari na magazeti ya leo, ni kuwa wabunge wawili wa CCM Deo Filikunjombe na Kangi Lugora wamezuiliwa jana kuchangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani kwa sababu ambazo...
Leo mahakama kuu ya Rufaa itasoma kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa CHADEMA anayehusika na Ulinzi wa chama kama either atakuwa na kesi ya kijibu au kufutwa kwa kesi.
Tuesday, May 7, 2013 | 6:45 PM
MBUNGE wa Jimbo la Sumve kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Richard Ndasa amemuomba Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda kuhakikisha...
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine...
Wajameni, kitu hicho hapo. Kazi kwenu.
HOTUBA YA MHESHIMIWA DR ANTONY GERVAS MBASSA (MB) MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA...
Wana JF;
Kipengele cha kumshitaki Raisi na viongozi wengine waliopewa dhamana ya kuliongoza taifa letu na kutetea maslahi ya walio wengi.
Kutokana na mabadiliko makubwa ya maadili, hekima na...
Sio siri CCM sasa wanapotupeleka ni zaidi ya udini, wameanza kulinganisha kuwa CHADEMA wanavyoongelea mapambano kutafuta haki ni kama Hitler alivyoingia madarakani kwa upole na kuwageuka...
Baadhi ya wanachama wa umoja wa vijana (UVCCM) wapanga kuondolewa kwa Shigela kwa ukosefu wa maadili na uzembe.Baadhi ya vijana wanamtaka mwenyekiti Bw.Sadifa aitishe kikao cha kamati tendaji...
Posted Tuesday, May 7 2013 at 22:24
By Sylivester Ernest
THE CITIZEN
In Summary
Uganda is ranked 132, Burundi is at 137 while Kenya comes last in the region...
Hoja iliyokuwepo mbele ya Bunge jioni hii ya leo iliyotolewa na Tundu Antifasi Lisu ya kuwa jeshi la polisi, wakuu wa mikoa na Wilaya wanatumika kuwalinda CCM pale wanapofanya mambo ya ovyo...
Habari za leo Great thinkers wote popote pale mlipo.
Kumekuwa na ka-utaratibu ka-viongozi wetu wa serikali eti kukutana na viongozi wa dini ili kuzungumzia maswala ya amani, maelewano...
Ujasusi wa Arusha Vitalu vya uwindaji ni kambi za kijasusi?
Ugomvi unaoendelea juu ya vitalu vya uwindaji huko kanda ya Kaskazini, na mambo yaliyotokea Arusha, kuna umuhimu wa kufikiria kwa undani...
Ndugu zangu waTanzania wenzangu,
Sisi waTanzania wapigania maendeleo - CHADEMA UK tumelazimika kuwasilisha majonzi yetu kwenu kwa njia hii, ikiwa ni katika kuonyesha mshikamano wa kitaifa kwa...
Mh Rais Dr JMK Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuchukua fursa hii ambayo kwangu mimi ni nadra kuwa Mshauri wako lakini kwa wakati huu naomba nikupe ushauri huu mfupi ambao kwa...
Nimekaa na kufikria sana,nikaangalia uwezo positive na madhaifu ya Kikwete na Membe na kuwalinganisha.
Nimeangalia kauli na matendo ya Benard Membe juu ya Uvamizi wa Libya, Mgogoro wa Malawi na...
Waheshimiwa viongozi wetu wa CDM
Waheshimiwa wanachama wote wa CDM
Waheshimiwa wapenzi na mashabiki wa CDM
Waheshimiwa wapiga kura kwa CDM
Na: waheshimiwa wapendwa sana wa CDM humu JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.