Wakuu
mtakumbuka kuwa baada ya tukio la mlipuko wa bomu pale Arusha nchi imekuwa kwenye mtanziko hasa ukizingatia kuwa lilikuwa tukio la kigaidi.
Pamoja na majonzi ya tukio la bomu, there's a...
Ndugu zangu,
HAYA ni moja ya maandiko yangu muhimu katika kazi yangu ya uandishi na uelimishaji jamii.
Ni kwa kutambua ukweli, kuwa nchi yetu imepatwa na shambulizi la kigaidi. Imetokea...
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai...
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (Tamisemi), Hawa Ghasia
--
Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya uongozi kwenye halmashauri za majiji manne kwa lengo la kuongeza ufanisi...
Hatima ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuendelea kushiriki au kutoshiriki kwenye mchakato wa Mabadiliko ya Katiba Mpya itajulikana baada ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho...
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), alisema vitendo vya vurugu za kidini vinavyoendelea nchini ni matunda ya serikali ya CCM.
Lissu alianza kujenga hoja yake akitumia usemi wa...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametuma salaam za pole na rambirambi kwa waumini wa Kanisa Katoliki nchini na Watanzania wote kwa ujumla kutokana na mlipuko uliotokea...
Naona anambana waziri Nchimbi.
Samwel Sitta atofautiana na CCM wenzake bungeni kuhusu Polisi kutumika na wanasiasa. Amesema hoja hiyo haipaswi kupingwa ila kupewa muda wa kutosha kujadiliwa...
Ndugu zanguni,
Leo limetokea tukio la kusikitisha sana la kulipuka bomu kanisani.
Kama kawaida bwana Lema alipofika kwenye tukio kaanza kumwaga pumba mpaka redio maria wameamua kumkatiza na...
"Kama hali ya usalama haitabadilika nchini serikali yetu ya CCM inaweza kushindwa kurudi madarakani. nayasema haya na wenye masikio na wanisikie"
Sylvester Mabuma (mbunge Dole)
Source:TBC
Writer: NA
Let Us Take a break......
Jeshi la Police limesema kuwa limekama watu 6 kwenye Sakata la Bomu la Arusha na mmoja akiwa yule kijana mwenye Jina la Kikristo ambaye ni Dereva wa Boda...
Kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne mwaka jana 2012 ni sawa na kusema matokeo ya mwaka jana hayajatoka. Hivyo mpaka sasa hakuna aliyefaulu wala aliyefeli. Baraza la mitihani NECTA limeamuriwa...
Mnaosikiliza ITV mtakubaliana na mimi kwamba Umoja wa Ulaya umetoa tamko kuhusu mambo mengi na wamegusa kuhusu ulipuaji wa kanisa la St. Joseph huko Arusha jana.
Wamekiri kwamba pamoja na kwamba...
Naweza kusema kuwa Tanzania ni nchi ambayi imejaliwa rasilimali ambazo zikitumiwa vizuri zinaleta maendeleo katika jamii yetu ya sasa
Sina maana mbaya ila ni kuweka wazi vitu vya msingi kwanza...
Kitabu-Nyerere, Kanisa Katoliki na Uislam"Dola na Tatizo la udini Tanzania"
Mwalimu Julius K. Nyerere, Kanisa Katoliki na Uislam
Dola na Tatizo la Udini Tanzania
By Mohamed Said
Utangulizi...
Mheshimiwa Magdalena Sakaya ametema cheche na kutaka waliosababisha usumbufu kwa watahiniwa waliofeli mitihani na baadae serikali nakuja na majibu mepesi kuwa kufeli kwao kulitokana na kutumika...
Kesho, tarehe 08.05.2013 mahakama kuu Dar es salaam itatoa uamuzi wa kesi ya kinachodaiwa "UGAIDI" inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA...
Wana JF
Nimekua nikitafakari sababu za mtu kuulizwa dini yake, au kabila lake anapotakiwa kutoa particulars zake katika kituo cha polisi au mahakamani wakati akiwa na shauri lake pale. Imekua ni...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetaka Jeshi la Polisi nchini livunjwe na ligeuzwe kitengo ndani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Msimamo huo umetolewa jana bungeni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.