MONDAY, MAY 13, 2013
Baadhi ya Viongozi, Wajumbe na Wanachama Wapya katika picha ya pamoja
Mwenyekiti wa CCM TAWI LA UNITED KINGDOM Ndugu Maina Ang'iela Owino akimkabidhi vitendea kazi...
Slogani zimekuwa nyingi sana kila chaguzi pamoja na maishara bora kwa kila mtanzania mimi bado kabisa au wenzanu nyie mmeyapata? Maana nataabika tu hapa mimi
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeilalamikiaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwamba ina mikakati ya kuvuruga uchaguzi mdogowa madiwani na ubunge unaotarajiwa kufanyika Juni 16...
Ni zaidi ya wiki moja sasa tangu wananchi kurejea kwenye makaazi yao baada ya kuhamishwa na mafuriko makubwa ambayo hadi sasa idadi kamili haijatangazwa kwa mujibu wa sheria.
Taarifa nilizozipata...
Nape Nnauye akiwa na Ruge @Ritz katika Tamasha la Clouds FM dodoma
Baada ya kimya kirefu Nape Nnauye juzi akaibukia kwenye tamasha la clouds
My opinion: Kumbuka clouds inawezeshwa na CCM...
Katika kuonesha CHADEMA ni chama makini wamemaliza tatizo lao kabisa .
CHADEMA Mbeya mjini ilikuwa na mgogoro mkubwa kati ya Baraza la vijana wilayani humo kiasi cha kupelekea wanachama wake na...
CHADEMA YAIPASUA IDARA YA ARDHI WILAYA YA BUNDA
Mh.Dkt.Webiro amekabidhiwa mikataba iliyotumika kutaifisha ardhi ya mlima balili ambayo ni ardhi halali ya shule ya msingi balili na kanisa la...
Mfumo wa Digitali umeleta faida kubwa kwa CHADEMA ambao wanaendesha harakati zao za kisiasa kupitia TV; kuzimwa kwa mfumo wa analojia kwenye baadhi ya mikoa nchini imekuwa ni kupunguzwa kwa...
Kabla ya mazingaombwe ya CD ya Rwakatare hali ya kisiasa ndani ya Chadema ilikuwa haileweki, kumbuka ndiyo kwanza walikuwa wametoka kwenye suala la akina Shonza na watu makini wanaofuatilia duru...
Wadau jana nimesikia katika habari za jioni za BBC kwamba nchi wanamotoka wale vijana wanne watuhumiwa wa mlipuko wa Bomu Arusha, wanaitaka Tanzania iwaombe radhi kwa kuwachafua na kuwasababishia...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), jana alihojiwa na Kikosi Kazi kilichoundwa na serikali kwa ajili ya kupata taarifa kuhusu vigogo walioficha mabilioni ya fedha kwenye akaunti za...
1. Ni kwanini mpaka leo Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) na jeshi la Polisi hawajachukua hatua wala kutoa tamko lolote kuhusiana na matumizi mabaya ya simu za mikononi...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassar amemuambia waziri wa ujenzi(MAGUFULI) siku yoyote atakuwa mwanachama wa CHADEMA.
Dkt. Webiro aliwasihi wauguzi wote na madaktari kuwa kazi unayofanya ni ya MUNGU hiyo epukeni kabisa rushwa kutoka kwa wagonjwa kwani laana hii haitawaacha kama hamtaichuki kabisa.
Aliwaomba...
Maoni yangu:
Jitihada za kutekeleza mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi naona kila uchao zimeshika kasi sana kwenye ngazi za juu kuliko utayari wa Watendaji kwenye Sekta ya Umma...
Katika gazeti la Tanzania Daima la tarehe 13/05/2015 limetoka na kichwa kikubwa cha habari "Slaa amlipua JK, Asema amemwaga sumu ya udini misikitini"
Kwanza kabla ya yote ukweli ulio wazi gazeti...
anaendelea kuwaumbua wapinzani kuhusu Kinana kumiliki kampuni ya uwindani
anaelezea ukweli na uhalisia hotuba ya upinzani kuwa ni ya kijinga, ni bora mchawi kuliko muongo.
amesema kampuni...
Hii imetoka kwenye hotuba ya kambi ya upinzani. Sehemu hii inaonyesha ubadhirifu wa fedha kwenye wizara iliyoko chini ya Dr John Pombe Magufuli.
Mheshimiwa Spika, baada ya fedha hizi kupunguzwa...
Nianze na Ccm!
Mnajua madhara ya kutumia polisi kama Green Guard? Unaweza kuwatuma kukamata, kubambikiza kesi (Lema,Rwakatare), kuua (Mwangosi) manajua mkisishawatumia kisiasa wanakuwa sugu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.