Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni jambo ambalo ni wazi sasa kwamba Tanzania tunakabiliwa na tatizo la udini kwa kiasi Fulani, na kuna watu wengine wamekuwa wakilipuuza hili huku wengine wakilikuza mno. Hata hvyo...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa sababu zilizosababisha JK Kukatiza ziara Uarabuni ni kukamatwa kwa WAARABU WANNE ARUSHA. Chanzo hicho kinasema JK alikutana na vikwazo vingi kwa wenyeji baada...
7 Reactions
79 Replies
6K Views
WABUNGE WETU HEBU TUONYESHENI MOYO WA UZALENDO. NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai jana aliwachochea wabunge wadai pensheni zao kama wanavyofanya wabunge wenzao wa Kenya na Uganda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Niliwahi kuandika na hata kusema katika baadhi ya platform mbalimbali juu ya athari mbaya ambayo oil chafu inaweza kusababisha katika gari, ni lugha ya picha yenye mifano dhahiri ambayo ni mwerevu...
3 Reactions
79 Replies
7K Views
WAKATI mapokezi ya Mbunge wa Igunga Dk. Dalally Peter Kafumu yamesababisha baadhi ya shughuli kusimama, kwa hoi hoi, nderemo na vifijo, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuongeza kasi ya...
0 Reactions
193 Replies
12K Views
Ninapata ukakasi kwa hii kasi ya ufunguzi wa matawi ya vyama nje ya nchi. Watu wa kule wanatuona wapuuzi tena tusio na dira ya mambo ya msingi. Badala ya kufungua umoja ama matawi ya kuwawezesha...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Punde nimesikia maelezo kutoka ikulu nimeona kama ni taarabu vile. Maelezo hayajakaa kinagaubaga. Hebu isomeni: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
118 Replies
10K Views
Ndugu wanajamvi, Wizara imetangaza kutolewa kwa matokeo ya kidato cha nne wiki hii,hivyo,kwakuwa m/kit wa NECTA ni Prof na katibu mkuu wake ni DR,na kwakuwa wao ni wasomi wenye ngazi ya juu,na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mafunzo ya Wakufunzi wa Majimbo Kanda ya Kaskazini. PICHA: Mafunzo ya Wakufunzi (Trining of Trainers) Tanga-tarehe 9-10 May Majimbo: Mlalo,Muheza na Kilindi Katibu wa Kanda ya...
10 Reactions
76 Replies
8K Views
Saudi Arabia's Embassy in Tanzania has clarified that a Saudi man found near the site of an explosion in the Arusha city last week was not a suspect, but only a witness, the SPA reported...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
  • Closed
Watanzania na dunia kwa ujumla tumeshuhudia uchomaji wa makanisa, kujeruhi na kuua viongozi wa dini. Kimizani, upande mmoja umeonekana kuwa wahanga wakuu wa majanga haya ya kutisha kiasi cha...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
  • Closed
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge...
0 Reactions
109 Replies
8K Views
Republicans wa Tanzania wanafanya kila linalowezekana kutengeneza mgogoro wa matokeo ya K4 kisiasa ili tu kumpaka matope Obama (sic JK) Wamefeli vijana wetu nchi nzima, majimbo ya CCM CUF na...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
  • Closed
Kulingana na taarifa za polisi kwamba ni Victor pekee aliyepelekwa mahakamani kuhusisna na mauaji na wala si kwa ugaidi, wa kulipua kanisa kwa bomu huko Arusha; shahuku ya wengi kwamba serikali...
1 Reactions
0 Replies
869 Views
Emmanuel Nchimbi, Waziri wa Mambo ya Ndani. Emmanuel Nchimbi alisikitika sana siku alipouawa Mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten, Daud Mwangosi, akasema baada ya tume serikali ingechukua...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF, Kwa wale wapenzi wa Mashairi wanaweza wakamkumbuka Marehemu Saadan Kandoro na kitabu chake cha Mashairi ya Saadani. Katika kitabu hicho kuna shairi moja lenye kichwa cha kisemacho...
2 Reactions
16 Replies
8K Views
Wakuu kuna tofauti gani kati ya "OPERATION SANGARA" na "M4C"? Na ni kwanini CHADEMA wameamua kushift kutoka Operation Sangara kwenda M4C? Yeyote anae jua tafadhali atuelimishe maana na tofauti...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Akizungumza leo kwenye kipindi cha "The Avenue" TBC, Mh.Kafulila kasema anawalipia ada (sh.20,000) wanafunzi 100 wa jimboni kwake. Akasema project hiyo ni ya mwaka mmoja na itaisha mwaka 2015 muda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Waislamu, Wakristo wabishana nani achinje ng’ombe *Washindwa kuelewana, ng’ombe akaachwa yakapikwa maharage WAISLAMU na Wakristo katika Kijiji cha Katoro, kilichopo Kata ya Katoro, wilayani...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Nawasilisha pamoja na attachment yakeHOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHESHIMIWA SAID AMOUR ARFI (MB), WIZARA YA UJENZI, KUHUSU MAPITIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom