CEOs Host Kinana for PPP Presentation Today

CEOs Host Kinana for PPP Presentation Today

Entareyehirungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2006
Posts
488
Reaction score
471
Maoni yangu:
Jitihada za kutekeleza mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi naona kila uchao zimeshika kasi sana kwenye ngazi za juu kuliko utayari wa Watendaji kwenye Sekta ya Umma na uelewa wa Wananchi wenye mitaji na ujuzi kuandaliwa kushiriki. Kuna maandalizi ya muhimu tumeyaacha kando na yatatugharimu huko tuendako.

  • Hatujaangalia uchanga wetu katika dhana nzima ya PPP kwa kufuata mnyororo mzima wa Wabia wa ndani ya nchi
  • Hatujaichukulia PPP kama Sekta Kamili yenye kujitosheleza na hivyo yenye kuhitaji nyenzo (frameworks) Sera, Sheria na miongozo maalumu kwa kila Sekta e.g Miundombinu (Ujenzi, Nishati, Maji, bandari), Huduma za Jamii-(Afya, Elimu, n.k) inayoteleza miradi ya PPP. Badala yake tumechukua "One Size Fits All"
  • Hatuja angalia uchanga wa mifumo yetu ya kifedha na Uwezo wake kufadhili miradi mikubwa mikubwa kwa mkupuo na ya muda mrefu (miaka >25) bila Sekta ya Fedha kuteteleka. Na kwa kosa hili hatuwezi kuepuka suala la Miradi yote mikubwa kufadhiliwa na mabenki na Taasisi za nje.
  • Hatujajenga Uwezo wa Wataalamu/Washauri Waelekezi watakaotoa huduma kwenye eneo hili jipya la Ubunifu, Upembuzi, Utekelezaji na Uendeshaji wa Miradi. Hii inamaanisha kwamba tutapoteza hela nyingi za Consultancies kuwalipa wageni.
  • Mifumo na Uwezo wetu katika kukadilia na kuhamisha majanga (risks) ya muda mrefu unahitaji jitihada kubwa kuwekwa sawa ili kuepusha contingent liabilities kwa mbia wa Sekta ya Umma (Serikali).

14th May 2013
mufuruki-may14-2013.jpg

Ali Mufuruki, CEOrt Chairman


Chief Executive Officers Roundtable (CEOrt) will host CCM's Secretary General Abdulrahman Kinana who will present his topic on the Public Private Partnership Policy (PPP) in Tanzania at the CEO's monthly dinner in Dar es Salaam tomorrow.

The discussion aims at highlighting the importance of PPP with regard to driving economic growth and the role the private sector in driving economic growth through PPP.

"We are excited to host Kinana and learn from him the government's commitment in making PPP a reality. We as the private sector believe that there is a lot more that the private sector can do to accelerate economic growth through PPP" said Ali Mufuruki CEOrt Chairman.

He noted that the government had taken great strides in developing the PPP policy, yet more could be done to improve the policy.

A review of the current policy can allow more local investment from the existing private sector especially in the provision of key services such as energy, infrastructure that are needed for economic development.

Mufuruki also said that the PPP policy developed in 2009 was designed to enable the Realization of the National Development Vision 2025. The 2025 Vision requires achieving and sustaining a high rate of shared growth based on building a strong and competitive economy of which the private sector has a key role to play in the achievement of this goal; and PPPs provide a powerful instrument among others in attaining this goal.

"The main objective of the PPP Policy is to promote private sector participation in the provision of resources for PPPs in terms of investment capital, managerial skills and technology," he clarified.

However, last week the Chairman of the CEO Roundtable announced the appointment of David S. Charles as the new Executive Director of the CEOrt. David Charles comes from a telecom background whereas he was the CEO of Hits Tanzania, a member of Hits telecoms Kuwait, listed in Kuwait and Dubai stock exchanges.

Commenting on the appointment, Ali Mufuruki said: "The Board is very pleased to have David Charles to lead the CEOrt through its next development phase.

He brings with him a wide experience of management having worked in various capacities within the private sector. The CEOrt has been a leader in engaging dialogue with the government and we are confident that Charles will continue to build on our expertise."

"I am delighted to join the CEOrt, and I can see opportunities to build on what has already been achieved. CEOrt is a voice of private sector, and coming from a private sector myself, I do understand the challenges imparting the relationship between the government and the private sector," the new Executive Director David Charles

The CEO Roundtable is a policy dialogue forum that brings together CEOs of over 70 of the top companies doing business in Tanzania. The members of the Roundtable and the companies they lead account for more than 50% of the tax revenue collected by the Government of Tanzania.

The CEO roundtable is held on the second Tuesday of every month to engage various officials as a way of exercising positive influence on government policies in the spirit of partnership. They invite different cadres of people including politicians.

The CEO Roundtable is a policy dialogue forum that brings together CEOs of over 70 leading companies doing business in Tanzania.




SOURCE: THE GUARDIAN



 
Ni wakati muafaka kumtumia kinana..ana mawazo mazuri sana
 
Ni hatua nzuri sana kwa ceos kukutana na watu kama kinana
 
Kwani wameisha watu hadi wamteue kinana mbona wapo watu tu wengi na wenye sifa mfano former udsm vc luhanga haa vitu vingine sijui wanaangalia vigezo vya kusafiri mara nyingi china na kuwa famous pirate along indian ocean.
 
Kinana ana uzoefu kwenye huu mpango mpya wa PPP kwa kushiriki kikamilifu, sio kama watanzania wengi wanaoishia kusoma magazeti na vipeperushi kuhusu mpango wa PPP.
 
Kinana ana uzoefu kwenye huu mpango mpya wa PPP kwa kushiriki kikamilifu, sio kama watanzania wengi wanaoishia kusoma magazeti na vipeperushi kuhusu mpango wa PPP.

Ni kweli kuna watu ndani ya vyama na hata Serikali wana uzoefu. Lakini si uzoefu wa kujivunia sana. Ni uzoefu ambao ukiachilia kando ushabiki wa kisiasa, ukaongea kwa mtazao huru, hata pasipo kuwa mtaalamu utabaini ni uzoefu unaotupeleka kuwa Ugiriki ijayo. Namaanisha kuwa ni uzoefu unaotutoa kwenye Taifa lenye madeni na rasilimali kwenda kwenye Taifa mufilisi. Ni uzoefu huu ndiyo uliokubali Taifa liingie kwenye utekelezaji wa miradi ya PPP bila hata kuwepo Miongozo mfano Kilimanjaro International Airport (KIA) PPP Project ambao umekuwa concessioned kwa miaka 25 na mingine. Tukifanya hivi katika miradi 100, ikitokea shida inayopelekea kukiuka au kuvunja ubia tutabaki na Taifa au tutakuwa nchi mufilisi kama Ugiriki?
 
mimi nilikuwa simfaham vizuri kinana lakini baada ya kuanza kumfuatilia mienendo yake kweli ni mtendaji mwema na ni mwadilifu.
 
Angepewa mada inayozungumzia jinsi kasi ya tembo kutoweka nchini inavyoongezeka; nafikiri hiyo presentation ingekuwa ni kali maana Kinana ana uzoefu huku akiendelea ku-practice tirelessly kufuta tembo wetu katika kizazi chetu hiki.
 
Ni kweli kuna watu ndani ya vyama na hata Serikali wana uzoefu. Lakini si uzoefu wa kujivunia sana. Ni uzoefu ambao ukiachilia kando ushabiki wa kisiasa, ukaongea kwa mtazao huru, hata pasipo kuwa mtaalamu utabaini ni uzoefu unaotupeleka kuwa Ugiriki ijayo. Namaanisha kuwa ni uzoefu unaotutoa kwenye Taifa lenye madeni na rasilimali kwenda kwenye Taifa mufilisi. Ni uzoefu huu ndiyo uliokubali Taifa liingie kwenye utekelezaji wa miradi ya PPP bila hata kuwepo Miongozo mfano Kilimanjaro International Airport (KIA) PPP Project ambao umekuwa concessioned kwa miaka 25 na mingine. Tukifanya hivi katika miradi 100, ikitokea shida inayopelekea kukiuka au kuvunja ubia tutabaki na Taifa au tutakuwa nchi mufilisi kama Ugiriki?
:nod:
mchague mtu wa kitaifa zaidi utapewa ongera na kazi unayoitangaza itakuwa na mashiko. maana yangu sio katibu wa ccm mwenye kashfa ya ujangili teua mtu wa taasisi isiyokuwa ya kichama cha siasa naona unapenda sana hawa makatibu wa vyama vya siasa. ndio unabalance nini? bila shaka unashindanisha makatibu wa vyama nani anakubalika kwa sasa jibu nadhani umelipata
 
:nod:
naona unapenda sana hawa makatibu wa vyama vya siasa. ndio unabalance nini? bila shaka unashindanisha makatibu wa vyama nani anakubalika kwa sasa jibu nadhani umelipata

Si kweli. Nimechukua Viongozi wa Taasisi ambao tayari wamekwishaharikwa kutoa mawasilisho (Presentation) ya mada ya PPP kwenye Mikutano inayoratibiwa na CEO Round Table (CEOrt). Mpaka sasa nimeona Dr. Slaa na Mzee Kinana ndo wameitwa. Dr. Slaa aliwasilisha mwezi uliopita na Mzee Kinana anawasilisha leo jioni hii. Kama wafahamu Viongozi wengine tofauti na hawa, ambao wamewahi kuitwa kuwasilisha kwenye hii mada ya PPP tafadhari tuwekee. Nami nitafurahi kujuzwa.
 
Si kweli. Nimechukua Viongozi wa Taasisi ambao tayari wamekwishaharikwa kutoa mawasilisho (Presentation) ya mada ya PPP kwenye Mikutano inayoratibiwa na CEO Round Table (CEOrt). Mpaka sasa nimeona Dr. Slaa na Mzee Kinana ndo wameitwa. Dr. Slaa aliwasilisha mwezi uliopita na Mzee Kinana anawasilisha leo jioni hii. Kama wafahamu Viongozi wengine tofauti na hawa, ambao wamewahi kuitwa kuwasilisha kwenye hii mada ya PPP tafadhari tuwekee. Nami nitafurahi kujuzwa.

Ina maana kila jambo linalo tolewa na (CEOrt) round table yenu halitazamwi tena kwa jicho pana? mbona watu wengi wapo ambao hazionekani itikadi zao moja kwa moja. maana kuna wakati utafika ambao watu watakataa kupokea mada hata kama ni mzuri baada tu ya kujua imetoka upande fulani wa siasa. wananchi wa sasa si wa mwaka 47 wanajua kazi za makatibu wa vyama vya siasa, ,ni kweli uwezi kumpata mtu ambae hana itikadi ya chama lakini je tumuona professor yeyote kutoka udsm mtazamo ungechange
 
Case study: SINO TANZANIA PEMBE ZA NOVU Corporation.
 
Back
Top Bottom