NASSARI: MAGUFULI unaweza kuwa CHADEMA

NASSARI: MAGUFULI unaweza kuwa CHADEMA

Hahahahahahahaha interesting ukweli lakini atakapojibu atakana. All the best.
 
Hy ni dalili kuwa Nassry anaipenda ccm. Kutamani magufuli ahamie cdm ni mfano tosha kuwa ccm kisima cha maendeleo na cy maneno
 
wakati akichangia bajeti ya ujenzi Mheshimiwa Nasari amemwambia Magufuri asipendelee kugawa miradi kichama kwa sababu baada ya uchaguz mwaka 2015 atahamia Chadema bunge zima likalipuka vigelegele na vicheko kukubaliana na utabiri wa Nasari.
 
Nassari ni noooooma

Wewe ndy hujamuelewa na umesahau alipotamka kuwa hata mh Rais aliagiza hy barabara ijengwe hy anatambuwa kuwa ccm wanania ya kuhudumia wananchi wake bila kujali itikadi hvy anatamani kuwa sehemu ya ccm
 
Hy ni dalili kuwa Nassry anaipenda ccm. Kutamani magufuli ahamie cdm ni mfano tosha kuwa ccm kisima cha maendeleo na cy maneno
kusema hivo haimaanishi anaitamani sisiemu wengi tulitoka huko sio vby nasari akimkalibisha kwa wazalendo!!
 
Hata mi naamin maana najua 2015 atapigwa chini urais so lazima aje CHADEMA
 
..Magufuli huyu aliyegawa nyumba za serikali kwa vimada wake??

..au, mwenye kiburi, aliyewaambia wananchi wa kigamboni waogelee wakitaka kuvuka kuja mjini??

..wabunge wa CDM wawe wanapima kauli zao, siyo kuropokwa tu.
 
wakati akichangia bajeti ya ujenzi Mheshimiwa Nasari amemwambia Magufuri asipendelee kugawa miradi kichama kwa sababu baada ya uchaguz mwaka 2015 atahamia Chadema bunge zima likalipuka vigelegele na vicheko kukubaliana na utabiri wa Nasari.

well said mkuu watu kama nyinyi tunawataka katika maendeleo ya taifa letu kwani umemnukuu vizuri bwana nassari alivyoongea tofauti na wengine.
 
Weee! Magufuli mbona anateswa madaraka na mshahara tu vinginevyo angekuwa ameshatimua siku nyingi
 
kusema hivo haimaanishi anaitamani sisiemu wengi tulitoka huko sio vby nasari akimkalibisha kwa wazalendo!!

Kwa hiyo ni kwamba CHADEMA wanaikubali kazi ya Magufuli au ina maana nyingine zaidi ya hiyo?
 
..Magufuli huyu aliyegawa nyumba za serikali kwa vimada wake??

..au, mwenye kiburi, aliyewaambia wananchi wa kigamboni waogelee wakitaka kuvuka kuja mjini??

..wabunge wa CDM wawe wanapima kauli zao, siyo kuropokwa tu.

Mkuu CHADEMA wanaikubali kazi ya Magufuli na kupitia kwa Mbowe na sasa Nassari wamekiri kwa vinywa vyao
 
Wewe ndy hujamuelewa na umesahau alipotamka kuwa hata mh Rais aliagiza hy barabara ijengwe hy anatambuwa kuwa ccm wanania ya kuhudumia wananchi wake bila kujali itikadi hvy anatamani kuwa sehemu ya ccm

Kwani fedha hizo ni za CCM? Nashindwa kuelewa mara kwa mara, fedha ni ya watanzania wote bila itikadi. Kodi wanalipa CCM tu, au watu wote?
 
Si amesemwa ni fisadi au?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom