keteka
Senior Member
- May 12, 2013
- 149
- 52
Dkt. Webiro aliwasihi wauguzi wote na madaktari kuwa kazi unayofanya ni ya MUNGU hiyo epukeni kabisa rushwa kutoka kwa wagonjwa kwani laana hii haitawaacha kama hamtaichuki kabisa.
Aliwaomba wagonjwa pia mnapo pona mshukruni MUNGU kwani hospitali hii haina dawa muhimu,haina maji huduma mbovu hiyo mnapona kwa msaada wa MUNGU tu.
Amemuomba mganga mteule kuhakikisha majokofu ya kuweka marehemu yana kamilika haraka kuwapunguzia gharama wakazi wa Bunda ndani ya mwezi huu kama siyo hawatapata pesa za mfuko wa afya ataiambia serikali.
Kama hali ni hii tunaomba sasa wakati ufike tufanye ufuatiliaji wa pesa za MFUKO WA AFYA zinazoletwa Bunda naona hazifiki kwa walengwa Dkt. Webiro aliwaomba madiwani kufanya hiyo bila uoga kabisa.