Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimemteua Mgombea Udiwani katika Kata ya Iyela kupitia Tiketi ya hicho. Pia ndiye Katibu Uchumi na Fedha wa Kata hiyo. #Anaitwa Ndg. RICHARD SHANGHVI
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu kwenu. Kwanza niwapongeze wana Nkasi kwa kumpongeza Mbunge wao kwa kutokuiunga mkono bajeti ya miundombinu. Hongera hizo za wana Nkasi kaskasini ni salamu kwa Wabunge wa CCM kuachana na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
cc tunaokuwa na majukumu mengi kwa wakati wa mchana huwa chanzo chetu za uhakika ni JF naomba mtuwekee taarifa tajwa hapo juu tafadhalini sana wana JF. najua kuna web za wizara lakini maweb haya...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
TUHUMA za matumizi mabaya ya ofisi zimezidi kumuandama Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Benjamin Mkapa, ambapo safari hii Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ameponda sera ya ubinafsishaji...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau hizi beiza petrol nimezikuta pale oman 1.super 0.122 baisa= Tshs 485 2.Regular 0.116 baisa= Tshs 465 3.Diesel. 0.146 baisa= Tshs 585 Hivi na sisi tukianza kuchimba mafuta je bei hizi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni bahati mbaya sana , katika bunge letu la JMT chama cha wananchi CUF na wabunge wake wameshindwa kujua kama wao ni chama tawala au ni chama cha upinzani, wamekuwa wakishabikia sana hoja za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Profesa Kapuya, Kessy watibuana bungeni hadharani Na Florence Majani,Tausi Mbowe KWA UFUPI Hakuna barabara kwangu, kwa nini niunge mkono hoja? Namshangaa sana Kapuya kwa tabia...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Nianze kwa kusema Ikulu si yenu, ni ya watanzanania. Unaweza kunijibu kwa upesi kuwa haujawahi kusema ni yenu, nami nitakwambia mnatenda kama yenu. Kwa matend o yenu ambayo mnatoa na sisi...
13 Reactions
106 Replies
8K Views
Kwa kweli nimesikitishwa na Serikali za Tanzania na SA kuingilia Uchaguzi wa DRC kwa kumtetea Kabila kubaki kwenye dola kwa Gharama yoyote ile. Je ni Haki Tanzania kuingilia uchaguzi wa DRC na...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
  • Closed
ndugu wana jf. Jina langu mimi ni Elineema Mosi. kuna mambo mengi sana kuhusu sintofahamu ya kupotea kwa Mh Mwigulu Mchemba hadi kupelekea wengine kuzusha mengi? kwakuwa yeye ni member naomba aje...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
CHADEMA Wilaya ya Kilosa wamerusha madongo makali kwa mkuu huyo wakimhusisha na vitendo vya kihujuma anavyowafanyia Viongozi wa Chama hicho ambacho kwa sasa kimeimarika sana Wilayani humo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kenya's status as the region's logistics hub has again come under threat after Tanzania signed a deal with China to set up the bloc's largest port and expand Dar es Salaam's main airport. The $11...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Akichangia katika majumuisho ya wizara ya viwanda na biashara, Mbunge wa mbeya mjini joseph Mbilinyi aka SUGU amemsifia waziri Kigoda kwa kazi nzuri ya kusimamia wizara hiyo na kuonyesha mafanikio...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
5:38 PM Ikulu Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Mheshimiwa Profesa Ibrahim Lipumba amekaririwa na Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatano, Mei 15, 2013 akisema kuwa “amenasa taarifa za siri za...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Wakati wabunge wengi CCM na mawaziri wake kwa ujumla huwa wanabeza michango ya wabunge wa CDM,lakini hali imekuwa tofauti kwa wabunge wa CDM,baada ya mbunge wa Mbeya mjini SUGU kumpongeza Dr...
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Kwakweli viongozi wa CCM kwa sasa wanaweweseka vibaya sana mpaka wanatia aibu, wiki sasa imeisha tangu CD zinaonesha matukio na harakati mbalimbali za chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA na...
4 Reactions
64 Replies
6K Views
Baada ya kushindwa UWT sasa mama Kilango anajiaandaa kuondoka bungeni kwani hawezi kurudi tena bungeni 2015. Amewahadaa sana watu wa Same Magharibi kwa ahadi zisizotekelezeka na kuwalaghai na ka...
1 Reactions
71 Replies
10K Views
Ndiyo wakuu . Heshima kwenu ! Kwa taarifa nilizo zipata hivi punde toka kwa Kamanda Mawazo ni kuwa muda huu anafanya mukutano pamaoja na Makamanda wengine toka Mwanza ,Shinyanga ...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Objectives and Targets of the 2012/13 Budget Madam Speaker, the focus of 2012/2013 budget is to achieve the following: To increase real GDP growth rate to 6.8 per cent in 2012...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom