Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akichangia katika Wizara ya Ujenzi, Mh. John CHeyo amezungumza kuhusu amani y anchi hii. HOja yake ilikuwa ni nzuri mno kwamba haiwezekani sasa tunaenda kusali ukiwa na familia yako na wajukuu...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ndugu wananch wenzangu wa mikoa ya mtwara na lindi hebu tufanye kila namna membe awe rais labda kusini kutakumbukwa,kwan tumesahaulika sana maana Mkapa katusaidia na sasa tumebaki yatima.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanajf najiuliza kuna sababu gani za msingi za uchaguz wa madiwani kufanyika pamoja na ule wa rais na wabunge?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania ni moja ya nchi yenye vyama vya siasa vipatavyo ishirini, na wengi hasa serikali imekuwa ikisifu kuwa huu ni ukuaji wa Demokrasia hapa nchini, ukikurupuka unaweza kukubaliana na hoja hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Juzi Waziri wa Nishati Mh. Ngeleja alinukuliwa akisema kuwa Serikali imeamua kumuenzi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Vijijini Marehemu Richard Nyaulawa kwa kupeleka Umeme katika Jimbo la Mbeya...
0 Reactions
684 Replies
67K Views
Tunakumbuka jinsi ulivyoingia kwenye siasa na kupata upenyo kwenye jimbo letu la msalala. Ulianza kwa mbwembwe hata watu wakakusifia japo nilipata shida sana kuamini hilo. Nikukumbushe tu kwamba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanajf kwa wale wenye mapenzi mema na wilaya ya Serengeti hususani wapenzi,washabiki,na wanachama wa CHADEMA napenda kutoa taarifa kwamba mgombea wetu wa udiwani kata ya Manchira amechukua...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
  • Closed
Baada ya kutokea mauwaji ya mtoto Deus Jacobo,aliyepigwa risasi na askari polisi katka mtaa wa Songambere kata ya Sababa Tarime Mjini siku ya Alhamis tarehe 9.May.2013 majira ya saa nane mchana...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Waziri Hawa Ghasia amemteua Wilson Kabwe kuwa Mkurugenz Mpya wa jiji la Dar akitoka Mwanza alikokuwa Mkurugenz. Hali hiyo imetafsiriwa kuwa ni kumng'o Kabwe Mwanza baada ya kuweka mizizi kwa muda...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Ukweli ambao Madabida amelificha Bunge Juzi jioni wakati wa mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zarina...
16 Reactions
46 Replies
6K Views
Hakimu anayesikiliza Kesi ya Lwakatare katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili. Hivyo basi mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwakatare na kupiga kalenda kesi hiyo...
9 Reactions
147 Replies
11K Views
Ndugu wana jf, ikumbukwe kuwa jimbo la solwa mkoani shinyanga limekuwa mkononi mwa ccm tangu mwaka 1995 vyama vingi vilipoanza kufanya kazi,kwa kumbukumbu zangu jimbo hili lilichukuliwa na ccm...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Niamkapo asubuhi bila matumaini ya kuimaliza siku hii. Naifikiria nchi yangu ni Tanzania. Inaenda wapi? Imepotezwa mwelekeo na inaelekea bondeni,korongoni kunako umauti nimemsoma...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Ugaidi waitesa CCM • Ushahidi wa Mwigulu mbinguni waota mbawa na George Maziku Tanzania Daima UAMUZI wa Mahakama Kuu ya Tanzania kumfutia mashtaka ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na...
8 Reactions
82 Replies
6K Views
Serikali mnamo Desemba 23,walituambia ujenzi unakaribia kuanza na wanafanya mıpango ya upaikanaji wa majı uhakika. Swali je mpaka sasa kinachokwamisha ni nini kama walifikia hatua za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi sio mwanachama wa siasa lakini najua lengo kubwa la chama cha siasa ni kushika dola,lakini nimekua nikifuatilia jinsi siasa za nchi hii zinavoendeshwa na kitu kimoja kimekua kikinisimbua ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Zangu wa Tz na wapenzi wa Nchi hii ,nimekuwa nikifuatilia kwa karibu ziara za viongozi kwa Upande wa Zanzibar kumekuwa na mtindo wa Viongozi wa ngazi za Juu katika vyama vya siasa upande...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati kipenga cha uchaguzi wa udiwani kikitarajiwa kupulizwa kesho tarehe 15-may-2013 aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Themi Petro Ndarivoi ameamua kujitoa ccm pamoja na wafuasi wake 400 na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dar es Salaam. As organised crime coordinated across national borders continues posing serious security challenges in the region, the Southern Africa Regional Police Chiefs convene in Dar es...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Akichangia hotuba ya maliasili na utalii ,mheshimiwa huyu mwenye asili ya kiasia,alisikika akiunga mkono waarabu kupewa eneo Loliondo na akasisitiza kua wazidi kupewa maeneo mengine kwa kua ndio...
1 Reactions
110 Replies
9K Views
Back
Top Bottom