CCM YAPITA KATA YA LANGILO RUVUMA bila kupingwa!

Nape Nnauye

MP Mtama
Dec 26, 2012
99
408
Katika hali inayodhihirisha kuwa CHADEMA wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!
 
Hata Cuf mbona wapo lakini kama kweli chadema hilo kosa kubwa viongozi wa hayo maeneo waeleze
 
Chadema, Chadema, Chadema... Nape we ni muenezi wa CCM.. Why should all your speeches start with Chadema? Kuna vyama vingine 18 ambavyo vilikuwa na mandate ya kuweka mgombea huko... Lakini asubuhi yote hii umekurupuka kitandani kuja kuandika kuhusu CDM. Kweli wamekushika pabaya...
 
who knows pengine mmewawekea mapingamizi yasiyo na kichwa wala miguu,kuna mahali ambapo mnaacha kufanya mizengwe ninyi!! ni muhimu kufanya tathmini kwa nini chama kinachukiwa namna hii
 
hakuna lolote hapa,unadhani hatujaskia mlichokifanya huko? endeleen na mchezo wenu wa kipuuzi,but hiki kimbunga hakizuilki.go to hell ccm. wellcom chadema into power.
 
Nape hauna credibility ya kuisemea CHADEMA. Hivyo taarifa yako si ya kuaminiwa, lazima tufanye uchunguzi tujiridhishe kwanza ndipo tuje na comment hapa.
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!
Hivi wewe ni mwenezi wa Chadema au CCM? think bigger.
 
Nape unashangaa nini? CHADEMA ni chama cha kikanda, nguvu na raslimali inapelekwa Arusha; mwenye macho haambiwi tazama
 
Lakini chadema inasikitisha kama sio kufurahisha. Wanapopiga kelele kila mahali kuwa kata zote zenye uchaguzi wataziweka kibindoni. Wana maana gani wakati kata nyingine hawajaweka hata jiwe kama wanavyodai?
 
Ruvuma ni mbali na makao makuu ya CHADEMA hivyo wanapaswa kusamehewa huko chama hakijafika kikamilifu; shangaa hata kata ya Mianzini, wilayani Temeke, mkoani DSM inasadikiwa CHADEMA hawatii nguvu yeyote kugombea udiwani; WAO ni ARUSHA tu; haya ni maajabu ya CHADEMA
 
Tunasubiri viongozi wetu watatueleza kwanini hatujawa na mgombea hapo kwenye hiyo kata! Wewe Nape Nnauye siyo credible source of info kwa maswala yanayoihusu CHADEMA!
 
Last edited by a moderator:
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

Nape ufafanuzi plz iyo kata unayoizungumzia ipo Ruvuma ipi?maana yaonekana ngeni kwa wana Ruvuma wengi isije kua mmeanzisha kata mpya maana hamchelewi nyie.
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

Itawachukua muda kidogo kukomaa!

hizi habari hampendi kabisa kuongelea ila hilo la CDM ndiyo unaliona eti

images
 
Kama unafikiri chadema itakufa umelewa chang'aa, utakufa wewe na ccm yako kabla hata ya chadema . UMeshasema kata zipo 26,subiria uone kata zingine.!!!!!!!!!!!Wenzio jana wameanza kutaka kujitoa huko Arusha na kule Ifakara. NA siasa zenu za kupita bila kupigwa si ndizo zinazowaponza hata kule ruaha!!!!!!!Najua wewe ni mtoto wa nje cup wa mshikaji lazima umsemee sana Nape:nod: Nchi yenu ipi mnayoijenga? baraka ya kupakazia watu ugaidi,kurekebisha matokeo ya mitihani mliowaferisha wenyewe,baraka ya kuongeza deni la taifa kila kukicha,baraka ya kumfanya RIZ bilionea wa mabilionea wote,baraka ya kuchukua ardhi yote ya watanzania,baraka ya kuwa nchi ya 3 ombaomba sugu duniani,baraka ya kusafirisha twiga warefu kama nini kwenye mitege ulaya na uarabuni na subirini tu muone baada ya miaka kumi hakuna mtalii atakayekuja tanzania
 
Nape ufafanuzi plz iyo kata
unayoizungumzia ipo Ruvuma ipi?maana yaonekana ngeni kwa wana Ruvuma
wengi isije kua mmeanzisha kata mpya maana hamchelewi nyie.

Nape Nnauye ni mwongo, kule kwetu hatuna Langido, tunayo Langilo ipo wilaya ya Mbinga! Nape njoo utuambie ahadi za Jk hasa ya maisha bora zimetekelezwaje?
 
Last edited by a moderator:
Kama unafikiri chadema itakufa umelewa chang'aa, utakufa wewe na ccm yako kabla hata ya chadema . UMeshasema kata zipo 26,subiria uone kata zingine.!!!!!!!!!!!Wenzio jana wameanza kutaka kujitoa huko Arusha na kule Ifakara. NA siasa zenu za kupita bila kupigwa si ndizo zinazowaponza hata kule ruaha!!!!!!!Najua wewe ni mtoto wa nje cup wa mshikaji lazima umsemee sana CCM:nod: Nchi yenu ipi mnayoijenga? baraka ya kupakazia watu ugaidi,kurekebisha matokeo ya mitihani mliowaferisha wenyewe,baraka ya kuongeza deni la taifa kila kukicha,baraka ya kumfanya RIZ bilionea wa mabilionea wote,baraka ya kuchukua ardhi yote ya watanzania,baraka ya kuwa nchi ya 3 ombaomba sugu duniani,baraka ya kusafirisha twiga warefu kama nini kwenye mitege ulaya na uarabuni na subirini tu muone baada ya miaka kumi hakuna mtalii atakayekuja tanzania
 
katika hali inayodhihirisha kuwa chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa udiwani kata ya langido mkoani ruvuma kiasi cha kuifanya ccm ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.

Kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!

itawachukua muda kidogo kukomaa!

mjaasili haachi asili na akiacha asili hana akili,hii tabia imesha kuwa ngozi kwenu na kamwe hamtaweza kuiacha

kweli chadema kanda hiyo wanatakiwa kutueleza nini sababu ya kutosimamisha mgombea katika kata hiyo lakini kauli unazotumia hazina maslahi katika taifa hili.

Maranyingine ukimya ni jibu.
 
Back
Top Bottom