HAKUNA CHA KUREMBUA WALA NINI! BARAZANI tunajua "Bandari na Reli ni kwa uchumi na masilahi ya taifa" lakini mwananchi wakawaida hatoona mguso wake? na tunataka tuendelee kuchaguliwa.....ndio maana serikali sikivu ya ccm inatilia mkazo vipaumbele vinavyoonekana moja kwa moja na wananchi..(barabara za fastafasta, vivuko, mbegu, mbolea, shule za kata, mikopo midogomidogo, chakula cha msaada,..n.k)...ili tuweze kujigamba waziwazi......"ha ha haaaaaaa simnaonaaaaa wanawanchi?.OOyeeeeeeeeee.tupeni tenaaaa"!
"BANDARI LA RELI ZISUBIRI TUTAFUTE WAWEKEZAJI KUTOKA NJE TUPATE HISA NA 10%....PIA MAROLI YETU YAENDELEE KUBEBA MIZIGO"