Jana kumefanyika mkutano Mkubwa wa Chadema Ulioongozwa na Makamanda wa CDM Igunga wakiongozwa na Mwl. Kashindye pia walikuwepo Diwani Vicent Kamanga, Ndg Anuary, Katibu pamoja na Mwenyekiti wa...
Nawashangaa sana wakina Nape Nauye na Mzee kinana, kwa maana kila siku hawazungumzii mambo makubwa yanayowakumba wananchi chini ya uongozi wa CCM, badala yake wanazungumzia CHADEMA tu. CCM na...
MBUNGE MSIGWA KUFIKISHWA MAHAKAMANI WAKATI WOWOTE SASA , WANANCHI KIDUCHU WAFIKA MAHAKAMANI -LIVE
Baadhi ya wafuasi wachache wakielekea mahakamani kusubiri kesi ya mbunge wa jimbo...
Leo katika uwanja wa mpira wa miguu Basotu mkoa wa Manyara wilaya ya Hanang'.. Mheshiwa sana Dr. WILBROD PETER SLAA ataunguruma kama Simba wa Yuda saa sita mchana. Maandiz ya jukwaa yapo vizur na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa majonzi makubwa taarifa za kifo cha Mzee Ali Abdallah Kleist Sykes, mmoja wa waanzilishi 17 wa Chama cha...
Ukifuatilia mjadala wa bunge unaoendelea utagundua CCM ina wabunge wanne tu ambao wanawatendea haki wananchi waliowachagua na watanzania kwa ujumla.
Wabunge hao ni Alphaxard Kangi Lugora...
Hivi punde Juma Nkamia ametoa angalizo kuwa sheria ya habari inayotegemea kuwasilishwa bungeni kuwa imesumbuwa India,South Africa na huko kwa wakubwa.
Je naomba ufafanuzihuko kwa wakubwa ni wapi...
Rais wa nchi yetu mh Kikwete mara nyingi ahudhuriapo mikutano au hafla au misiba huona akiwekewa kiti kilekile na mpaka juzi jumapili ndani ya kanisa la Anglican kilikuwepo wakati benchi hilo...
WANA-Jamii....mfaham uhalisia wa siasa na wanasiasa Tanzania.Zifuatazo ni baadhi ya tabia za wanasiasa:
Kuwa wabinafsi
kuhimiza/na kupandikiza chuki miongoni mwa Jamii zetu
kupandikiza jazba...
watani zangu huniita mla mbwa kwakuwa natoka wilaya ya Mufindi, mji wa Mafinga mkoa wa Iringa. huwa nafarijika kwa sababu katika historia ya nchi hii huwezi ukaongea chochote bila kutaja mkoa wa...
Sunday, May 19, 2013
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini wakati wa kikao chake na wabunge wa CCM, leo Mei 19, 2013, katika ukumbi wa jengo la White House, Makao Makuu ya...
Wabarbaig watangaza vita
Na Novatus Makunga
20th December 2009
Atakayesogelea eneo lao kuligawa kukiona
Wasema JK alishawapa mashamba hayo
Makundi ya jamii ya wafugaji wa kibarbaig...
KU chache baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuwakamata askari 16 wakituhumiwa kujihusisha na biashara ya magendo, askari wengine wawili wa jeshi hilo wamekamatwa mkoani...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, amekerwa na tabia ya baadhi ya wananchi mkoani hapa kutokutumia vyoo na badala yake wanajisaidia holela na kuchafua mazingira.
Amesema mkoa huu ni miongoni...
Ndiyo Wanabodi .
Kamanda Mawazo leo anatarajia kuongoza kikosi kazi cha M4C Kanda ya Ziwa Magharibi katika uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya Nyampulukano wilayani Sengerema ...
Ni vyema pia tukajaribu kukumbushana na hasa kwa watanzania wanaitakia mema nchi yetu kwani kumekuwa na upotoshwaji wa makusudi wa historia ya nchi yetu na hasa baada ya CCM kuingiliwa na...
Mawaziri watatu kungolewa
WABUNGE CCM WAWAKATAA
UPEPO mbaya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) unazidi kuvuma, safari hii wabunge wake wakimtaka Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza kazi mawaziri...
Moja ya malalamiko makubwa kwa wananchi na wapenda maendeleo ya nchi hii ni juu ya ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma unaofanywa na viongozi wa serikali yetu kupitia taarifa mbalimbali...
Jamani wana JF
Someni haya asemayo Kikwete sasa kuhusu udini na ukabila kisha mtafakari wenyewe.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
JK: Moto wa dini hautakuwa na mshindi
Rais wa Jamhuri ya...
Siku za hivi karibuni, wameibuka wameibuka watu miongoni mwajamii wanaojinasibisha wazi mtazamo wao, hawataki nchi itawalike na kwamba wako katika mapambano na vyombo vya dola hususani Jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.