njige nzela
Member
- Apr 29, 2013
- 7
- 2
ktk hali ya kustaajabsha tofauti na ilivozoeleka mikutano mingi ya kuifanyka ktk viwanja vya sokoine, polisi imekuwa ikivutana na viongozi wa chadema wilaya ikidai mkutano huo utakaoongozwa na mh.kasulumbayi kutofanyika viwanja ivo kutokana na hofu ya kuwepo kwa vurugu,polisi inadai taarfa za kiintelijensia zmebaunsha ilo lkn mkutano huo unatarajiwa kufanyka ktk viwanja vya barafu amekaririwa mmoja wa viongozi wa chadema kata ya igunga bwna joseph mwika kashindye.