Wanafunzi wakitanzania wamekosa fursa yakueleza fikra zao katika serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kutokana na kutokuwepo kwa mwakilishi wa moja kwa moja bungeni. Nadhani ingekuwa jambo...
Nimemsikia Waziri wa ulinzi akisema wanajeshi wataendelea kuwepo mtwara mpaka pale amani itakaporejea katika hali ya kawaida..
Hivi hii serikali inafikiria nini? Kinachotakiwa ni kufanya kile...
Wazungu hasa mataifa ya magharibi ni wanafiki sana. Hawapendi kuona chi maskini zikipiga hatua. Hawapendi kuziona rasilimali za nchi maskini kama mafuta, almasi, dhahabu, copper na gesi...
Waziri wa nishati na Madini Prof Dr Sospeter Muhongo, tunakuomba ujiudhulu nafasi uliyo nayo sababau umeshindwa kabisa kuiongoza wizara. Vurugu zilizotekea Mtwara kupelekea kuuwawa kwa wananchi na...
Nimekuwa najiuliza maswali mengi juu ya siasa za sasa za kitaifa na za kimataifa nikajikuta kwamba bado ninabaki na maswali mengi sana juu ya nafasi ya mwanamke katika uongozi. nashindwa kauelewa...
Ni wajinga tuu wanadhani uhuru una mipaka.Mipaka ni hila za wanaogopa uhuru.
CCM wanafikiria dunia ya leo inaweza weka sheria kwa CITIZEN jounalism?Kila raia akiwa mwandishi ni media inakuwa kama...
Ndugu zangu,
Pasipo haki na usawa hakuna amani, lakini, katika jamii yeyote ile, uwepo wa amani na utulivu ni msingi mzuri katika kutafuta haki na usawa, kwa njia ya majadiliano...
Kwa wale wataalamu wa habari za uchunguzi, mtujuze mapema ili tujue kama tunauzwa tena USA. Je, ni mikataba mingapi na kwenye secta ipi anakuja kuweka? Hii si kawaida ndani ya mizi isiyozidi 6...
Hiki ndicho alichoandika Zitto kuhusu Waziri Membe
WAKATI vurugu za Wananchi wa Mtwara zikiendelea na kusababisha vifo vya watu wawili akiwemo Mama mjamzito, huku Askari wanne wakifariki Dunia...
RPC wa Arusha bwana Lebaratus Sabas anatakiwa kujiuzuru hara iwezekanavyo kwa kuwatorosha wahalifu waliokamatwa na bangi wakisafirishwa kwa gari la polisi.
Sisi kama wana Arusha tunamtaka RPC...
Mtuhumiwa wa ugaidi ndugu lwakatare ataendelea kusota rumande baada ya dpp kutokubaliana na uamzi wa mahakama ya rufaa kumfutia baadhi ya mashitaka kinyume na sheria,dpp ametaka apate ufafanuzi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimekiburuza chama cha mapinduzi katika uchaguzi wa serikali ya Wanafunzi uliofanyika leo katika chuo kikuu cha Jordan baada ya mgombea wa Chadema...
Taarifa ambazo si rasmi zilizolifikia Raia Mwema Jumatatu wiki hii zinadai kuwa CCM wameshindwa kuzindua kampeni zake kutokana kukabiliwa na ukata wa fedha na mgawanyiko miongoni mwa viongozi wa...
Vuguvugu la gesi asilia Mtwara laweza kupuuzwa,kukandamizwa na kunyooshwa vidole hapa napale.Lakini,ukweli utabaki. Mtwara na mikoa ya kusini yaani Lindi na Ruvuma imetengwa sana kiuchumi na...
Katika thread yangu ya Mtwara: Ilipotoka, ipo wapi sasa na inaelekea wapi nilizungumzia kitabu cha Michael Longfold kiitwacho "The Flag Changed at Midnight: Tanganyika's Progress towards...
Mbunge wa jimbo la arusha mjini mh. G.lema kesho ijumaa anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa jitegemee mjini muheza ikiwa ni ufunguzi rasmi wa kampeni iliyopewa jina la...
Nimesikia sasa mara nyingi viongozi wengi wa ccm wakitangaza kuwashughulikia wachochezi katika mambo mbalimbali na hasa vurugu za kisiasa au kidini zinapotokea. Mshangao wangu ni kuwa wanapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.