Sitting at the table doesn't make you a diner, unless you eat some of what's on that plate. Being here in Tanzania doesn't make you Tanzanian. Being born here in Tanzania doesn't make you...
Ndugu wana jf, Leo nimetafakari sana na kuona ni bora kuwakumbusha haya ambayo wengi tunayakumbuka Japo Baba wa Taifa aliwahi kusema hivi "Nyerere was saying that he was a "schoolmaster by choice...
Ukitaka kujua jeshi la polisi lina weledi kiasi gani angalai linavyofanya kazi wakati wa vurugu, dharura, au pale ambapo mmojawao anaumizwa. Mambo ambayo yanadaiwa kufanywa na Jeshi la Polisi na...
Huo ndio uamzi uliofikiwa na washauri wa swala hilo serikarini.
Taarifa za siri zilizovuja kutoka Mtwara ni kuwa polisi wameamliwa kupeleka washukiwa wa vurugu waliowakamata mahakamani leo...
Ndugu wadau naamini kiafya ni wazima!,,nahuzunishwa sana na kudumaa kimaendeleo kwa wilaya yangu ya kilosa,hakika inaniuma pale ninaposhuhudia serikali ya CCM ikiwa ndio chanzo cha kudidimia kwa...
SOMA HOTUBA IMEAMBATANISHWA. KINANA YUMO, MWANGOSI YUMO nk
Wana jamvi tuhuma ya ujangili na biashara haramu ya pembe za ndovu dhidi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana zimeibuka tena katika...
Naomba nianze kwa kunukuu mistari kadhaa kwenye kifungu namba 8 cha Hotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni inayoongozwa na CHADEMA Mhe. Ezekiah Dibogo Wenje (MB) kuhusu mapitio...
heshima kwenu wakuu
binafsi nimejaribu kuliangalia hili suala la gesi huko mtwara na nikagundua serikali pengine(sijathibitisha) imesha saini mikataba migumu ambayo inaiweka pabaya na kushindwa...
KINGUNGE NGOMBALE MWIRU-BADO NIKO HAI NADUNDA SIJAFA, NASUBIRI 2015 KURUDISHA AZIMIO LA ARUSHA NA SIASA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA KUNUSURU VIJANA WETU WANAOMALIZA SHULE NA VYUO BILA KAZI YOYOTE...
Nape Nnauye
Kama utakuwa na kumbu kumbu katika kikao kilichokafanyika makonde beach club mtwara baina yako,
Viongozi mbali mbali wa chama chako pamoja na viongoz mbali mbali waandamiz wa chama...
Habari wadau,
Kuna taarifa zisizo na shaka kuwa mkuu wa wilaya ya handeni na mbunge wanaandaa mpango wa kutafuna mamilioni ya fedha za serikali kwa kupiga marufuku wafadhili waliojenga bwawa la...
Waziri wa wa mambo ya ndani Mh.Emanuel Nchimbi amesema kuna vyama vya siasa vinachochea na kuunga mkono vurugu za Mtwara. Ajabu hakutaja vyama hivyo wala hatua zitakazochukuliwa dhidi yao, badala...
Mimi ni mtanzania tu na na-declare interest "siipendi sisiem".
Kulingana na kichwa cha habari hapo juu ningependa kuwaonya wanasiasa tena zaidi wa sisiem kuwa wawe makini na kauli zao kwa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida vijana wa GREEN GUARD wamewashambulia na kuwajeruhi vibaya vijana wa CHADEMAhuko Mbalamaziwa Malangali wilayani Mufindi mkoani Iringa.Kwa mujibu wa taarifa za...
Wakati wa vurugu kazi ya polisi ni kutuliza ghasia na kuleta amani na si kuleta ghasia na kuharibu utulivu. Kwa mujibu wa vyombo vya habari na mashuhuda mbali mbali polisi wa kutuliza ghasia...
Katika hali inayoonyesha ikulu imeshikwa pabaya, leo kuna mkutano wa hadhara(public) hearing kujadili program na miradi ya maendeleo itakayotekelezwa kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo
Muda...
Ndugu zanguni,
Kufuatia mlolongo wa matukio yanayohatarisha usalama wa nchi yetu, mimi kama askari wa zamani wa jeshi la polisi Napendekeza Mheshimwa Rais awateue wastaafu wakuu wa majeshi ya...
Wakati akianza kuwasilisha hotuba yake ya bajeti alitumia muda mrefu kuelezea na kujigamba kuwa hotuba yake ya mwaka wa fedha 2013/14 itakuwa ya kihistoria kwani haijapata kutokea kabla.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.