katika kuchangia bajeti ya wizara ya nishati na madini mbunge wa simanjiro mhe.olesendeka amelieza bunge kuwa waziri muhongo amekuwa akiingizwa mjini na wasaidizi zake husasani katibu mkuu wa...
HOTUBA YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA NISHATI NA MADINI JOHN JOHN MNYIKA (MB) KUHUSU MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI JUU YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA...
Jukwaa la wahariri limelaani vikali vurugu za mtwara na kuwasihi wananchi kuacha kuwashambulia waandishi wa habari kuna mwandishi wa tbc amepata madhara kuhusiana na vurugu hizo source ch10
Kueleke uchaguzi mkuu 2015 katika kinyang'nganyiro cha urais ningependa tujue angalau mafanikio ya wanaotajwatajwa sana kuchukua kiti hicho.Kwa kuwa watajwa hao wameshashika nafasi mbalimbali nje...
Hilo ni tamko linalotoka TBC kwa sasa kwamba kufuatia kugundulika kwa rasilimali kubwa ya gesi,serikali imeendelea kuandaa rasilimali watu kwa kupeleka wanafunzi 64 kwenda kuwapa Utaalam wa gesi...
......ripoti za CAG kuojadiliwa bungeni ni udikteta...
......2004 cdm kiliitwa chama takatifu kwa kuwa hakikuwa kinatishia maisha ya ccm.....hakikuwa kimefika vijijini.
......kuhusu machafuko...
Nachukua fursa kumshukuru Mungu kwa uwezo wake Karima kutuamsha na kutuwezesha kupumua kwani ni wengi wetu hawajapata fursa hii adhimu,pia ni waombe dua njema kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa neema...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimezindua kampeni za udiwani kwa mbwembwe, ambapo wametumia helikopta kudondosha vipeperushi vyenye maelezo ya wagombea wao...
Ndugu zangu jf. Yaani Wabunge wanaonyesha jinsi gani ni balaaa kugundulika Madini watu watanyanyashwa,watafukuzwa makazi yao na Mwisho wataachiwa Mashimo tu! na uharibifu mkubwa wa mazingira...
25th May 2013
A woman shows her house alleged to be burnt by Field Force police during the operation to calm the situation erupted after anti-gas transportation from Mtwara to Dar es...
wana jf
tangu m4c iliyoznduliwa zz kabwe vijiwe viwili vimebomolewa katika kata za kabila pamoja na kiloleni.mwenyekiti wa ccm wilaya ya tabora mjini bw.konkota analaumiwa na wakazi wengi wa...
kuna mbunge alipokua akiwasilisha hutuba ya kambi ya upinzani katika wizara ya EAC anasema, Katibu Mkuu wa CCM afunguliwe mashataka East African Court of Justice(EACJ) kwa tuhuma za kuuza pembe za...
Hatuna budi kuwashukuru vijana kwa mwitikio huu,hizi ni salam tosha kwa mahasimu wetu.kilicho baki ni kuunganisha vyama vyetu,nini hakika hili litawezekana.
Mbunge wa CCM amajitapa Kabisa kuwa ujio wa Obama ni kutoka na kukubalika kwa CCM, na hivyo wapinzani wanadhani mwaka 2015 watachukua dola wasahau.
My Take:
Hivi Obama naye ni mpiga kura wa...
Mwaka 2015,kama mtanipa support ya kutosha natangaza nia ya kugombea na kuwa mbunge wa jimbo hili la MAGU.Nawatafuta wadau wa chama changu toka jimboni lakini inakua ngumu, kama mko nda ya JF...
Emmanuel Nchimbi, Saidi Mwema, Suleiman Kova na Charles Kenyela.
Sina Shaka kua mnafahamu juu ya uwepo wa uhalifu wa Kuiba vifaa vya kwenye Magari usiku wakati yame-park na labda wenye nayo...
*Malecela, amesema - Kujenga ni kazi ngumu, lakini kuibomoa ni kazi rahisi sana
*Mwinyi - asisitiza umuhimu wa waumini kuvumiliana
"Malecela na Mwinyi walitoa kauli hizo mjini Dodoma na Kibaha...
Kufuatia wagombea urais ndani ya ccm kuchafuliwa na vyombo vya habari mwaka 2005 katika kile kinachodaiwa kuwa ni kitendo cha mgombea mwenzao mhe jakaya kikwete kuunda mtandao wa wahahriri na...
ariKitaifa
KITAIFA
Na Aidan Mhando, Mwananchi (email the author)
Posted Ijumaa,Mei24 2013 saa 20:55 PM
KWA UFUPI
Wakati inaelezwa kuwa hali bado ni tete mkoani Mtwara, wananchi wakifanya...
Wana jamvi salam
nimesema mawaziri wa ccm wana uelewa mdogo kutokana na kauli wanazozitoa wakati wanajibu hoja cha upinzani.
Waziri anaposimama bungeni anawakilisha serikali na sio chama waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.