Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nashangaa sana, wananchi wanakufa, watu wananyanyaswa, hofu ya watu kuwa Na tumaini la maisha imeondoka, kiasi watu badala ya kukimbilia kituo Cha polisi Kwa Usalama wao wanakimbilia Hospitalini...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Kwao Nyerere siyo "Baba wa Taifa" tena; kwao ni "Mzee Nyerere"; kwa watawala wetu hawa walioshindwa wanasema wamefanya mambo mengi sana ya maendeleo kkuliko "Wakati wa Nyerere". Wanajitamba kuwa...
24 Reactions
40 Replies
4K Views
Ni mara Nyingi sana Speaker wa Bunge Mama Makinda amekuwa akikwepesha Bunge kujadili Masuala Mbali Mbali yanayojitokezaga. Kwa Mfano, Huyu Mama alilibania Bunge Kujadili Suala la kuzama kwa Meli...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Magufuli aliposema watu wapige mbizi,wabunge wa mkoa wa Darisalam walikuja juu na kumtaka ashushe nauli na kuwaomba Radhi wananchi. Swala la Mtwara... Wapo wapi wabunge wa Mikoa ya lindi na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shams Vuai Nahodha amesema kua JWTZ waliopelekwa Mikoa ya kusini baada ya Vurugu zilizotokea Juzi kufuatia Maandamano yaliyokua yakifanywa na Wananchi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Email this document Printable version Amnesty International Annual Report 2013 - Tanzania Publisher Amnesty International Publication Date 23 May 2013 Cite as Amnesty International...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:@wilbrodslaa @zittokabwe @JMakamba kama wanamtwala hawanufaiki na gas bado wanatumia kuni kupikia basi huu ni ujambazi wa mali ya umma!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Chonde chonde,fikeni jimbo la magu mwanza mjionee hali ilivyo tete.Wananchi hawana maji wakati ziwa VICTORIA ni mita 500 tu,mbunge Dr.LIMBU alishaenda Honeymoon tangu achukue ubunge.umeme...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
ALHAMISI, MEI 23, 2013 06:04 NA JOHN MADUHU, MWANZA MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Wilaya ya Busega, Dk. Raphael Chegeni amesema wanachama wa chama hicho wenye nia ya kuwania...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo nilihudhuria semina ya mafunzo ya namna ya kumsaidia mtoto kupua iliyofanyika KIBITI wilayan rufiji Cha ajabu wengine tumelipwa per DM Elufu kumi na tano tu!je Hii ni haki?Mganga mfawidhi wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
24/05/2013 Na Gerson Msigwa, RUVUMA: Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma limepiga marufuku maandamano na mikutano yote ya vyama vya siasa mkoani humo kutokana na sababu za kiusalama. Kwa agizo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Waliolipua kanisa katoliki Arusha na wanaolipua nyumba za watu sasa hivi Mtwara kwa kisingizio cha gesi ni walewale. Sizungumzii dini. Nawapa tu dokezo wafuatiliaji.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Salam wana JF Naomba kuwasilisha ombi langu na wanachadema Wilaya ya Muleba Kagera kwa Dr slaa. Kwa sasa katika wilaya yetu hal ya kisiasa ni nzur kwa CDM na ndo habar inayosikika na yenye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana-JF? Hali ya siasa hapa nchini mwetu kwa sasa imebadirika kabisa, napenda kukiri kwamba, CHADEMA kwenye hili la kufanya mageuzi ya siasa hapa nchini wameshiriki kwa kiasi kikubwa sana...
14 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa mtazamo mwepesi kabisa watanzania tukiongozwa na raisi wetu Jakaya Kikwete tunaweza kuona kama tumepata upendeleo wa kutembelewa na raisi wa Marekani kuliko hata majirani zetu Kenya, lakini...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Baada ya kusoma waraka wa Rais juu ya sarakasi zinazoendelea Mtwara, ni wazi sasa, hata kwa kuwafukuzia wakazi wa Mtwara mbali na eneo hilo ni lazima Bomba la kusafirisha Gas likamilike kujengwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika dakika tano zake alizopewa kuchangia wizara ya Afrika Mashariki leo, mbunge wa viti maalum Leticia Nyerere (Chadema) alizumgumzia namna vijana wengi wanavyokosa ajira katika international...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wamasai wa Ngorongoro wana madai lukuki kuhusu maisha yao kwenye eneo la NCA. Kwa mujibu wa Star TV wanasema kwamba kama madai yao hayatasikilizwa mapema, watafunga lango la kuingia Ngorongoro...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifwatilia mwenendo mzima pamoja na mijadala mbalimbali inayohusu shule za Kata nchini, nimebaini kuwa mafanikio ya shule za Kata kwa kiasi flani ni Kata zilizopo mijini tu ndio inaweza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
His Excellency: Mizengo Pinda His Excellency: Jakaya M. Kikwete YAH: KUMUONDOA WAZIRI SOSPETER MUHONGO Mkiwa kama viongozi wa nchi, matatizo makubwa ya taifa mnayabeba nyinyi. Na pia kama...
4 Reactions
73 Replies
5K Views
Back
Top Bottom