Chadema yaigaragaza CCM Jordan University College.

Sango Ochwera

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
98
Reaction score
26
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimekiburuza chama cha mapinduzi katika uchaguzi wa serikali ya Wanafunzi uliofanyika leo katika chuo kikuu cha Jordan baada ya mgombea wa Chadema Norbert Gama kuibuka mshindi na kumburuza kada wa Chama cha Mapinduzi na mtangazaji wa Radio Maria Fm Frank Mwanyangala.
Awali,Chama cha mapinduzi mkoa wa Morogoro kilifanya njama za kutaka kumnunua Kamanda Gama bila mafanikio huku mpango huo ukiratibiwa na mwenyekiti wa CCM kata ya Kilakala bwn Fransis Hoza kwa maelekezo ya mwenyekiti wa CCM mkoa Innocent Karogeres.
 
safi sana hebu tupe takwimu halisi zilikuwaje
 
ni majinga haya ...yanataka kununua mwili hayajui huyo mtu chadema iko damuni....ndo mana nilikula laki tisa zao kipindi cha uchaguzi wa wabunge halafu kura ikabaki kuwa siri yangu.....
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimekiburuza chama cha mapinduzi katika uchaguzi wa serikali ya Wanafunzi uliofanyika leo katika chuo kikuu cha Jordan baada ya mgombea wa Chadema Norbert Gama kuibuka mshindi na kumburuza kada wa Chama cha Mapinduzi na mtangazaji wa Radio Maria Fm Frank Mwanyangala.
Awali,Chama cha mapinduzi mkoa wa Morogoro kilifanya njama za kutaka kumnunua Kamanda Gama bila mafanikio huku mpango huo ukiratibiwa na mwenyekiti wa CCM kata ya Kilakala bwn Fransis Hoza kwa maelekezo ya mwenyekiti wa CCM mkoa Innocent Karogeres.

Vema. Tupe statistics za matokeo. Kamshinda kwa asilimia ngapi?
 
Kwani siku hizi ktk Chaguzi za Serikali za wanafunzi huwa wanasimamisha wagombea wa vyama?
 
Mkuu wewe upo nchi gani?
Watu wameamua kuwakaba CCM kila kona wanapotaka kupandikiza makada wao.
Iwe vyuoni, mitaani au bungeni, Chadema inatwanga kote kote.
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Chama cha Demokrasia
na Maendeleo(CHADEMA) kimekiburuza chama cha mapinduzi katika uchaguzi
wa serikali ya Wanafunzi uliofanyika leo katika chuo kikuu cha Jordan
baada ya mgombea wa Chadema Norbert Gama kuibuka mshindi na kumburuza
kada wa Chama cha Mapinduzi na mtangazaji wa Radio Maria Fm Frank
Mwanyangala.
Awali,Chama cha mapinduzi mkoa wa Morogoro kilifanya njama za kutaka
kumnunua Kamanda Gama bila mafanikio huku mpango huo ukiratibiwa na
mwenyekiti wa CCM kata ya Kilakala bwn Fransis Hoza kwa maelekezo ya
mwenyekiti wa CCM mkoa Innocent Karogeres.

hii post sio mahala pake hapa, peleka kule jukwaa la wanafunzi
 
Back
Top Bottom