Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema tatizo la vurugu za wananchi wa Mtwara kupinga gesi kusafirishwa kuja Dar linahitaji meza ya mazungumzo na sio matumizi ya nguvu.
Busara ikitumika...
Kamanda Machachari wa CHADEMA Ally Bananga anaelekea kuisambaratisha kabisa CCM katika Jimbo la Iramba Magharibi linaloongozwa na Mbunge Mwigulu Nchemba.
Bananga ameteuliwa na CHADEMA kuongoza...
PENDEKEZO LA UANZISHWAJI WA INTERNET RADIO YA CHAMA (COMPLETE)
1. UTANGULIZI
Internet radio sio kitu kipya kwani zimeanza tokea mwaka 1993 na zimekuwa, siku hadi siku, umaarufu wake ukiongezeka...
Wana JF,
nimekua najiuliza mambo meeeengi sana moja wapo ni Mh Membe anatokea Lindi/Mtwara maana jimbo lake
linapkana na mikoa yote miwili Lindi na Mtwara.
Ndugu huyu amekua anajipitisha kwa...
By The Citizen Reporter
Posted Sunday, May 19 2013 at 22:42
In Summary
Specifically, CUF cites in Mtwara Regions Tandahimba riots that erupted last month, saying they were spearheaded by...
Akionge katika kipindi cha star tv cha Jicho letu ndani ya habari asubuhi ya leo,mhariri Balile ametoa taarifa ya uongo kuwa wanafunzi wa vyuo vya elimi ya juu wanalipwa sh1800,000 kwa miezi...
Legislators slam government over Mtwara mayhem
By Emmanuel Onyango
25th May 2013
Tundu Lisu
Legislators, mainly from the opposition, have warned the government against using force to...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais Jakaya Kikwete anapaswa kuomba hekima kwa Mwenyezi Mungu kutokana na matukio yanayotokea sasa nchini...
Katika hili waziri Muhongo na Rais wako ni wababaishaji.Leo akijibu hoja ya Ole Sendeka kuhusu kutoa ahadi ya wachimbaji wadogo huko Mererani kuwa wakimaliza au ku expire leseni za wachimbaji...
Kwanza naomba nionyeshe hisia zangu kwamba ninafadhaishwa na namna neno "uchochezi" linavotumiwa na moja ya viongozi wa chama kimojawpo hapa nchini. Mosi, pale ambapo jambo la kweli lililosemwa au...
Ndugu wana bodi,
nimependa niwape tu machache juu ya kwanini Khamisi Kigwangala anapendekeza RC Mtwara pamoja na DC wake wang'olewe au watolewe kafara.
Katika fukunyungu za kisiasa Simbakalia...
Gazeti la jambo leo limeandika "Mtwara wakubali gesi itoke" wanasema ni baada ya jeshi la wananchi wa Tanzania kwenda kurejesha amani, salamu ya wana mtwara imebadilika kutoka "Gesi haitoki" hadii...
Kuna jambo moja ambalo linaendelea kutokea katika jeshi la Polisi la Tanzania lakini wahusika hawaonyeshi kujifunza kuwa ni baya, linaliletea aibu jeshi na dharau kwa nafsi zao. Jambo hilo ni...
Katika hali ya sasa ya Tanzania hamasa ya Kisiasa imekuwa sana. Watu wamekuwa wakijitokeza kuhama na kujiunga kutoka chama kimoja kwenda chama kingine. Kuhamia au kuijunga chama cha siasa ni...
NDEGE yoyote itakayonunuliwa na Wizara ya Uchukuzi, inayoongozwa na Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe, inaviziwa kutaifishwa kwa mujibu wa mikataba ya hovyo iliyoandaliwa na mtandao wa...
Dodoma. Wabunge wa CCM wamekuja juu na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza kazi vigogo wa Serikali mkoani Mtwara, wakiwamo Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya kutokana na kile walichoeleza ni uzembe...
Nimefuatilia yanayoendelea Lindi na Mtwara na hoja za Serikali pamoja na wadau mbalimbali nikagundua serikali inataka kupingana na ukweli tu bila sababu. Nimeshindwa kuelewa maana ya kauli ya...
Ndugu Ngeleja leo katika mkutano wa 11 Bunge la Tz, kikao cha 34 alipokuwa akichangia hoja Wizara ya Nishati na Madini amesema hakuna Uchumi unaoweza kukua bila Siasa.
My take: kwa wanauchumi...
Fresh details emerging from Mtwara Region show that Police might have triggered the deadly skirmishes that rocked the gas-rich region early this week, The Guardian can report.
According to our...
Akiwa ktk kuchangia hoja juu ya bajeti ya wizara ya nishati na madini,mbunge wa mpanda mjini na makamu mwenyekiti wa Chadema taifa amesisitiza viongozi wa serikali kutumia hekima zaidi pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.