CCM wanajadili uhuru na Mipaka ya uhuru, Uhuru hauna mipaka!

CCM wanajadili uhuru na Mipaka ya uhuru, Uhuru hauna mipaka!

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,217
Ni wajinga tuu wanadhani uhuru una mipaka.Mipaka ni hila za wanaogopa uhuru.

CCM wanafikiria dunia ya leo inaweza weka sheria kwa CITIZEN jounalism?Kila raia akiwa mwandishi ni media inakuwa kama natural waya ya kupashana habari.Ambapo kila mtu anaweza arifu watu akilichokiona n ahivyo haihitaji weledi au lah.Anahitajia tuu kusem alichokion au kusikia.

NITOFAUTIANE NA WASOMI VILAZA BONGO. KUNA UHURU NA KUWAJIBIKA.kUWAJIBIKA SI MIPAKA BALI NI SEHEMU YA UHURU.NI SEHEMU YA KUJITAWALA.

Responsibility ni uhuru wa kujitawala.Sasa how repsonsible someone can be ndipo tunamweka mtu ktk kundi la wanaovunja uhuru wa habari wa wengine.

Wao wajadili ujinga wakati watu wanaambiana ugaidi wao, watu wanaamabiana tembe wetu, wanaamabiana wizi, na wanayo haki ya kuongelea hayo mitaani hadi nchi mzima kupata mawazo na habari sawa.

Tuache mawazo ya uhuru wa mipaka, huo ni uovu wa kijamaa na propaganda na kuupa ujamaa sura nzuri nje na ndani.Ni woga tuu ndio huogopa uhuru. Kuna ushahidi kuwa hata watumwa kuna wengine waliogopa uhuru, na hivyo kuamua rudi kwa watawala.Hawa hugeuka kuwa watumwa waliojifunga hata bila kuhitaji jitihada za alyewafunga.Pia wakandamizaji nao pia hawapendi hayo, waovu wengine pia.

Pia wato hata waumini wa dini fulani nao wanagopa kusikia au kuona mambo fulani.Kwa vile dini zao hazijawafundisha kuwa ukikutana na uovu si dhambi.Ila dhambi ni wewe kushindwa fanya maamuzi sahihi.

Habari ni uhuru, ni vyombo vya habari vipo ktk soko huru na hivyo vingine vitakufa natural death, vingine vitajipambanua.

Nasikitika wabunge wanatake sheria ya kumlinda rais asiyejisitiri.Sijui hawajui Nyerere au wamesahau kuwa Nyerere aliwahi lalamikia katiba na sheria zetu kuwa zilimruhusu sana kuwa muovu yoyote(dikteta).Ni mfulilizo wa watu kuogopa habari bila kujua kuna responsibility ni uhuru pia.

Wenzetu walijikuta wakizikubali blogs ambazo zimeandikwa na watu wasio wanahabari ila zilikuwa na habari nzito na kiwango, zilikuwa zikiibua vitu media kubwa zisingeweza zipat au ahata zikubali.HIvyo hata kwa microfinance ni eneo lilioachwa sana na tasisi za hela,ila na walifanya kazi kubwa kuzuia hii section.Baadaye wakazidiwa nguvu na sasa tunayaona haya.

Huo woga wa kuweka mipaka ni tabia ya watu waovu na greed kutaka zuia entry ya watu, vitu vingine wasivyotaka viinie kwa sababua zao.Ndio maana kuna watu wana dress code, km njia ya kuwatenga wengine.
 
Uhuru usio na mpaka... Ni mawazo hatarishi sana. Uhuru usio na mipaka ingewezekana tu katika jamii ambayo wanadamu wote akili, matendo, mtazamo, mawazo, et al vyafanana; tena vyafanana in the sense ya kuwa uniform.

Sasa tokana na the fact kuwa wadamu kila mmoja dhidi ya mwingine watofautiana katika vilivyo msingi kuendesha maisha ya kila siku (akili, matendo, mtazamo, mawazo, et al) mipaka ya Uhuru haukwepeki...

La muhimu ni kuwa mipaka ya Uhuru huo upo sawa? Umepungua ama umezidi?
 
Yaani hao wasomi wa bongo ni vilaza kwavile tu hawakubaliani na wewe; au? Aisee, natamani nami ningekuwa msomi wa vyuo ulivyopitia wewe ambavyo vingenifanya kila anayetofautiana na mimi, kwangu angekuwa kilaza! Na kwa staili hiyo, bila shaka ni mimi peke yangu ndiye ningekuwa na akili kuliko wote duniani coz' there'd be no way kwamba billions of people worldwide wote wakubaliane na mimi! Manake ingekuwa tu cku naamka, nasema China inapatikana barani Africa; na wote watakaopinga, VILAZA!
 
umekurupushwa sana mkuu??? mbona unatuandikia heading inasomeka kinyume nyume??? kwann usitulie u post kitu cha kueleweka????
 
Sasa wewe nicholus unafikili hizi kashifa zako na matusi kwa viongozi wa ccm na serikali unadhani ni njia sahihi ya kuishauri jamii katika kuleta mabadiliko.jaribu kupima uone kama uko sahihi sana katika mwenendo wako.
 
watu wanaamka usingizini hata hawajapiga mswaki wanakimbilia jf, matokeo yake wanaanzisha mada zina tongotongo
 
acha kutupotosha wewe,uhuru una mipaka na mipaka yake ndo sheria
kuwa huru ila usivunje sheria
 
Uhuru usio na mpaka... Ni mawazo hatarishi sana. Uhuru usio na mipaka ingewezekana tu katika jamii ambayo wanadamu wote akili, matendo, mtazamo, mawazo, et al vyafanana; tena vyafanana in the sense ya kuwa uniform.

Sasa tokana na the fact kuwa wadamu kila mmoja dhidi ya mwingine watofautiana katika vilivyo msingi kuendesha maisha ya kila siku (akili, matendo, mtazamo, mawazo, et al) mipaka ya Uhuru haukwepeki...

La muhimu ni kuwa mipaka ya Uhuru huo upo sawa? Umepungua ama umezidi?

Nakuunga mkono dada Ashadii. . . ."FREEDOM WITHOUT LIMITATIONS IS SLAVERY"
 
Uhuru usio na mpaka... Ni mawazo hatarishi sana. Uhuru usio na mipaka ingewezekana tu katika jamii ambayo wanadamu wote akili, matendo, mtazamo, mawazo, et al vyafanana; tena vyafanana in the sense ya kuwa uniform.

Sasa tokana na the fact kuwa wadamu kila mmoja dhidi ya mwingine watofautiana katika vilivyo msingi kuendesha maisha ya kila siku (akili, matendo, mtazamo, mawazo, et al) mipaka ya Uhuru haukwepeki...

La muhimu ni kuwa mipaka ya Uhuru huo upo sawa? Umepungua ama umezidi?

Nimekuambia uhuru na kuwajibika ni vitu vinavyodefine personality.Sasa kuwajibika ndipo mnachanganya na mipaka.Mtu nayewajibika anakuwa well composed .Akiw aout of the way anakuwa useless na hatari km gari lililoacha njia.

Kuwajibika(kuwa responsibility) si mipaka ni uhuru wenyewe.Ni kujitawala amabpo alitupa mwenyezi Mungu.Ndio maana akawa huru kutuhukumu tunapokwenda out of our ways na kuwa gari lililoacha njia n akuenda gonda wengine.

NI filosofia inayowaacha nje sana watu wengi sana bila kujali elimu zao.Kutoandika habari za uongo hakuhitaji mipaka kujua hilo, kumwaga maji chakula cha mtu makusudi hakuhitaji mipaka ila kunahitaji kuwajibika.CCM kuharibu nchi na mengine hakuhitaji sheria ya kuzuia, kwa vile vigumu kumlazimisha mtu KUUTUMIA UHURU WAKE WA KUJITAWALA(being responsible), ila unahitaji sheria kumbana ktk eventualities.

CCM kujiingiza ktk sheria za mipaka ni kufanya uovu na kujenga mazingira ya kuadhibu watu kimakosa na kwa ugumu sana.Kwani watu wengi hawawajibiki ktk uhuru wao kwa mamabo mengi na hawaadhibiwi na dola.Mfa. mbaya na kweli. Wapo wanaume wengi sana hawawajibi ktk ulaji kwa kiasi wanapata miili ya hovyo km ya Yule Mbunge anayelilia sana Maziwa hasa lile lenye mgogoro, na baadaye wanashindwa timiza wajibu kwa wake zao.Wake zao wanatoka nje na kuchukua magonjwa amabyo nayo nanakuja sababisha chain ya maambukizi n akulipa taifa, na familia nyingi sana hasara.

Sidhani kama hapa wana adhibiwa wote?Sababu ya msingi ni kwamba jamii haijui wapi pa kuhukumu.Hawa watu analogia warudi shule wakajifunze "kuwajibika" kma uhuru mkubwa wa kujitawala na si kutawaliwa.Ukijitawala hutaingilia mamabo ya watu bila ridhaa,hutawadhuru wengine au kuwapotosha.Na pia hutokuwa na mipaka kuyasema yale wafanyayo wengine ktk jitihada za kutawala wengine.uhuru wa kujitawala ndio uwajibikaji, ndio unaokuzuia enda watawala wengine kam hii sheria inavyotaka watawala wengine na hivyo sheria hiyo kuwa haramu.Sheria inatakiwa deal na wanaotaka tawala wengine ila si ku zuia wanapinga kutawaliwa na walioshindwa jitawala.Ambao ndio waovu.
 
ujinga huo u wazi maana wanaongelea kudhibiti magazeti, tv na redio lakini wanasahau kuwa watu wanaotegemea media mfano kam jamiiforums si tz tu bali duniani kote ni wengi kuzidi hivyo vyombo vingine. Sasa ukitaka kuujua ujinga huo uulize jf imesajiliwa au inakuwa limited na hiyo sheria yao kandamizi ya sijui mwaka 1972!? Tusikubali watupotezee muda mwishowe tutapitwa hata na Burundi
 
Irresnsible person si huru, kwa kushindwa tawala hisia, tamaa, njaa na ujinga wake.Kwa hiyo kuwajibika ndio uhuru mkuu.Ndio uhuru unaokuongoza hata kuyakabili matokeo ya matendo yako.watu huru hukubali adhabu kwa vile waliwajibika kuzitenda.

CCM hawajui kuwajibika ndio maana wamekuwa shida kwa nchi.Chenge, na wengnine hawajawajibika ,ndio maana hawajakuabali matokeo ya kushindwa kwao kutumia uhuru wao.Leo hii bado hwajaibiki ndio maana wanaingia uhuru na haki za wengine,tena kwa kulazimisha.

NADHANI watu wajifunze kuwajibika ili wasije ingilia uhuru wa wengine jina la sheria.Sheria ni relative ndio maana personal responsibility inafanya adjustment on both sides na hivyo kuwa sheria isiyo rasmi au rasmi.Hao analogia warudi shule na wasizidi ingia ktk dhambi.Bahati mbaya elimu yao ya kuunga unga itawapa shida sana kupata muelewa.Kam walivyopata shida ktk kuchinja, na mengine.
 
Nimekuambia uhuru na kuwajibika ni vitu vinavyodefine personality.Sasa kuwajibika ndipo mnachanganya na mipaka.Mtu nayewajibika anakuwa well composed .Akiw aout of the way anakuwa useless na hatari km gari lililoacha njia.

Kuwajibika(kuwa responsibility) si mipaka ni uhuru wenyewe.Ni kujitawala amabpo alitupa mwenyezi Mungu.Ndio maana akawa huru kutuhukumu tunapokwenda out of our ways na kuwa gari lililoacha njia n akuenda gonda wengine.

Mkuu nimekusoma.. Ila naomba sitaenda kote huko,

Mkuu, take note kuwa hiyo comment yangu ya kwanza katika hii thread ilizungumzia "Uhuru" tu na kuacha content nyingine kwa makusudi kabisa. That tueleweshane kwanza juu ya Uhuru. Nilijibu kwa misingi ya comment uliyofungulia na nanukuu "Ni wajinga tuu wanadhani uhuru una mipaka.Mipaka ni hila za wanaogopa uhuru" – a quote ambayo ipo independent si kwamba nimeitohoa katika maelezo uliyokuwa umetoa.

Nikija suala la "Uwajibikaji" ukisema kuwa "Mtu nayewajibika anakuwa well composed" Umeongezea kuwa "Kuwajibika(kuwa responsibility) si mipaka ni uhuru wenyewe"; Pia hiyo ni absolute statement ambayo yapaswa kuwa makini katika kulitumia.

Katika jamii sasa hivi; nitolee mfano upande wa Siasa, kuna wale ambao majukumu yao ni Kueneza Udini/Ukabila, Kuna wale ambao majukumu yao ni maji taka ya kuhakikisha majina yanayokubalika katika jamii yanachafuliwa, kuna wale ambao kazi yao ni kuhakikisha wanawafikia wananchi kutoa elimu (i.e M4C – Mawazo ingawa hawi acknowledged sana ndio mashuhuri kwa hii shughuli), Kuna wale ambao kazi yao ni kuchokonoa na kupandikiza chuki kati ya Waislam na Wakristo, kati ya CCM na Chadema, Kati ya Serkali na Wananchi n.k.

Matokeo ya yoote hayo tunayaona. Woote hao bila kujalisha matokeo yanaathiri vipi jamii - Kazi zao ni wazi zinazaa mafanikio ni inaonyesha wapo devoted na wanawajibika. So kwa maneno yako ni kuwa mtu kama yupo "Responsible" ndio Uhuru wenyewe. Kwa maana nyingine hata hao unao walaumu tayari wapo sawa maana kwa mtazamo wao wapo kuwajibika ipasavyo… Hivyo wapo huru.

Ndio maana narudi kule kule… Wanajamii tumetofautiana. Uhuru una mipaka yake.
 
Well said; Sisi wananchi tuna kiu ya kujua mambo na kiu ya kusema mabo , tunatamani ukweli ujulikane DOLA kazi yake ni KUFICHA habari na ukweli.

Uhuru una gharama na gharama yake ni maendeleo, na hii ni ukweli, empower people kwa kuwapa kweli na kuwa mkweli ili maamuzi yaliyo sahihi yafanyike.

Tanzania haina tofauti na mtumwa, wanaelekea katika uwazi lakini sasa kwakuwa mfumo wa kuficha ukweli unawanufaisha wachache basi hao wachache wanataka wanufaike na huo mfumo.

Ukifumba watu vinywa na ukificha ukweli yatatokea ya syria, Egypt, Tunisia etc kumbuka viongozi wao walikuwa na strong support ya nchi za magharibi. China ingawa inaendelea lakingi strength yake ya kufika full potential ni uhuru not controll

Kama kuna matatizo waangalie jinsi ya kuyasolve kwa kushirikisha watu woote, lakini sio kuamka asubuhi na kuleta maazimio yao.

Mzee Mwinyi alitoa RUKSA PASIPO KUINGILIA UHURU WA MWENGINE that should be a MOTTO for the nation
 
CCM hawawezi elewa au hata kukubali lisikia neneo responsibility.Ndio maana wanapata shida ishi kizazi hiki.Kawambwa hajawajibika, si kwa kazi yake pia hata kukubali makosa yaliyotokea chini ya uangalizi wake, nahaya yanakwenda all the way to other areas.Na ndio maana tunapata gharama zote hizi za kupoteza uhuru wetu.

Mtu mjinga na mwovu hawezi wajibika.Mjinga haelewi vizuri wajibu, na muovu kashindwa timiza wajibu wake.

WAJIBU WENYEWE NI UHURU.Si shuruti, n andio maana vinakwenda pamoja na uhuru.Na ndio maana CCM wamaeshindwa timiza wajibu wao kw akaisi ch akuwapa wengine shida na mwishowe wanatumikisha wengine ili kutowajibika kwao kusiwajisbishwe.
 
Mkuu nimekusoma.. Ila naomba sitaenda kote huko,

Mkuu, take note kuwa hiyo comment yangu ya kwanza katika hii thread ilizungumzia "Uhuru" tu na kuacha content nyingine kwa makusudi kabisa. That tueleweshane kwanza juu ya Uhuru. Nilijibu kwa misingi ya comment uliyofungulia na nanukuu "Ni wajinga tuu wanadhani uhuru una mipaka.Mipaka ni hila za wanaogopa uhuru" – a quote ambayo ipo independent si kwamba nimeitohoa katika maelezo uliyokuwa umetoa.

Nikija suala la "Uwajibikaji" ukisema kuwa "Mtu nayewajibika anakuwa well composed" Umeongezea kuwa "Kuwajibika(kuwa responsibility) si mipaka ni uhuru wenyewe"; Pia hiyo ni absolute statement ambayo yapaswa kuwa makini katika kulitumia.

Katika jamii sasa hivi; nitolee mfano upande wa Siasa, kuna wale ambao majukumu yao ni Kueneza Udini/Ukabila, Kuna wale ambao majukumu yao ni maji taka ya kuhakikisha majina yanayokubalika katika jamii yanachafuliwa, kuna wale ambao kazi yao ni kuhakikisha wanawafikia wananchi kutoa elimu (i.e M4C – Mawazo ingawa hawi acknowledged sana ndio mashuhuri kwa hii shughuli), Kuna wale ambao kazi yao ni kuchokonoa na kupandikiza chuki kati ya Waislam na Wakristo, kati ya CCM na Chadema, Kati ya Serkali na Wananchi n.k.

Matokeo ya yoote hayo tunayaona. Woote hao bila kujalisha matokeo yanaathiri vipi jamii - Kazi zao ni wazi zinazaa mafanikio ni inaonyesha wapo devoted na wanawajibika. So kwa maneno yako ni kuwa mtu kama yupo "Responsible" ndio Uhuru wenyewe. Kwa maana nyingine hata hao unao walaumu tayari wapo sawa maana kwa mtazamo wao wapo kuwajibika ipasavyo… Hivyo wapo huru.

Ndio maana narudi kule kule… Wanajamii tumetofautiana. Uhuru una mipaka yake.

Mheshimiwa hatujarudi palepale tusirudi ktk mabishano ya HIV/AIDS,na mengine. Hao niwalaumuo hawapo huru, CCM hawapo huru ndio maana wanataka wengine wasiwe huru .Wana hofu.

Insecure people ni irresponsible people unless insecurity inaletwa na wengine amabao nao wameshindwa kuwa respsonsible kwa kiasi cha kumwaga madhara kwa wengine, kwa mazingira etc.

Irresponsibility ndio huwafanya hata waafrica wenye akili na vipaji wasiwe great mbele ya wengine ambao wana average capabilities.Irrensible people hawajali wakifanyanyacho kinabughudhi vipi mazingira, yanayomzunguka na hivyo kuwahusu wengine.

Hata mzazi responsible na mtoto responsible huwa hafikii kumkwaza mwingine.
 
Kwanini professor mzima akomae kupata bwereree pasipo uhalali wakati anajua mshahara na kazi aliyochagua inapaswa kimu mambo yote ya msingi ktk maisha.Kwanini asifikiri kwa upande wa pili kuwa anawajibika kuheshimu makubaliano ya kazi, na pia kutumia uwezo wake kutazama njia nyingine za zaidi?Kwanini asijiulize kama kawajibika zuia tamaa zake.Tamaa si parameter ya uhuru ila utumwa ndio maana zikizidi humfanya mtu azitumikie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom