Posted Mei25 2013 saa 20:45 PM
MWANANCHI
Kwa ufupi
Ripoti ya taasisi hiyo Revenue Watch Institute, inaeleza kuwa Tanzania iliyo na madini ya shaba, fedha, almasi na gesi asilia, imeshindwa...
wanajf
tunavyo jua leo m4c inatikisa mjini songea makamanda mlioko huku tujuzeni na mtuletee updates msisahau picha ilil tujue ngome ya huyu jamaa (nchimbi) inavyo sambaratushwa na makamanda...
Ndugu wanaJF, Kumekuwa na utaratibu wa muda mrefu wa serikali na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukimbia kivuli bila kujali kama ni chao wenyewe...
Leo baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni nilibahatika kuwa karibu na TV huku nikiingalia TBC japo Sijisikii Vizuri kutizama kituo hiki cha TVCCM. Lakini kwa kua sikua na njia Mbadala...
SI kosa wala dhambi kutangaza nia ya kuwakombo wananchi wanaodhulumiwa na kulaghaiwa kwa kofia,kanga na mipira kutoka ccm kisha kuwaterekeza. ni kweli ninadhamira ya kuwakomboa wananchi wa jimbo...
Wasalaam wana-JF?
Kufuatia kuahirishwa mara kwa mara kwa hotuba ya wizara hii nyeti ya serikali, leo bila ajizi wabunge wote wameridhishwa na majibu mazuri ya waziri Prof. Sospeter Muhongo...
Neno "siasa" kama litakavyotumika katika mada hii linahusu sayansi na mbinu ya utawala, kwa maana ya uongozi katika vyombo au ngazi mbalimbali za utawala kuanzia ngazi ya familia, jumuiya, wilaya...
Huku wakazi wa Mtwara wakibaki kama yatima na wanyonge ndani ya nchi yao waziri mkuu leo anaanza ziara ya siku tatu hali ya kuwa kuna majeruhi 30 kati yao 15 wakiwa na majeraha ya risasi na...
Baada ya kufanya Kampeni za ndani toka Tar 17 sasa leo tunakuja hadharani kumnadi mgombea wetu wa Udiwani katika Kata ya Iyela ndani ya Jiji la Mbeya.
Wana Iyela wapo tayari kumpokea na...
Wana JF, Habari zenu, Ndugu zangu kuna mambo ambayo siku zote najiuliza kuhusu aina ya viongoz wetu wa ccm kutokpima alama za nyakati. wamekuwa wakipotosha watu wakijifanya wao ni waangwana na...
BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA
KUIKATAA CCM NI KUKATAA UFISADI, UMASIKINI, UDOKOZI, UNAFIKI, UZANDIKI, N.K
Serikali ya Chama Cha Mafisadi (CCM) ndiyo muasisi na kinara wa ufisadi hapa nchini...
Unyonyaji wa wawekezaji sasa ni wazi na hata wabunge wa CCM wamelalamikia serikali yao. Inawauma wabunge wengi wa CCM ila uoga unawasumbua.......!!!! Wawekezaji wengi wanashirikiana na mafisadi...
Katika taarifa ya habari Star TV saa nne asubuhi hii viongozi wa jumuiya ya UAMSHO imekana kuhusika na vurugu za zanzibar au mauaji hayo. Imevilaumu vyombo vya habari kwa kuwachafua.
Mbona huyu mama kanyamaza sana? haoni yanayotokea nchini? au kwa vile anajua chama chake kinahusika? BISIMABA vurugu za kisiasa zinatunyima uhuru huku kwetu MTWARA, uko wapi? au kwa vile wajua...
Nimehudhuria mikutano mingi ya CDM; ambapo kumekua na baadhi ya vitu vyenye kuhitaji marekebisho "kidogo" . Kila mmoja anayo style yake ya kukamata saikologia ya hadhara. Ila kumekua na tabia...
Mojawapo ya dhambi kubwa ya kuvunja umoja wa kitanzania ni pale serikali ya CCM iliporuhusu na kuridhia kwamba mafuta ya Zanzibar yatakuwa si ya Watanzania bali ya Wazanzibar. Hii ni ishara kubwa...
Baadhi ya wachina wanaofanya biashara ndogongo hapa mjini, pamoja na wale wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi, wameanza kukimbia kutoka Mtwara. Ofizi zao zote zimeharibiwa na hakuna...
Hatimaye ccm leo tumehitimisha kampeni kwa bashasha kubwa na mapokezi ya hali ya juu katika kata ya mgongo kijiji cha kisonga shelui baada yakuzunguka katika vijiji vyote nane tulivyosimamisha...
Ndugu
wana jf. Mm n mtanzania na sijajiunga na chama chochote,Nataka kujiunga
na chama makini ambacho kwao hawana ufisadi na Rushwa wanaipinga kwa
dhati. Wadau nijiunge na chama gani...