Matukuta Jr
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 207
- 27
Baada ya kufanya Kampeni za ndani toka Tar 17 sasa leo tunakuja hadharani kumnadi mgombea wetu wa Udiwani katika Kata ya Iyela ndani ya Jiji la Mbeya.
Wana Iyela wapo tayari kumpokea na kumsikiliza Diwani wao Ndg. Richard Shanghvi kupitia CCM.
Hakika hiyo tar 16-06-2013 watani zetu mtalala mapema sana na kujutia matusi mnayoyatoa jukwaani!
#Nani kama CCM?????.. Jibu unalo!