YUDITHA
Senior Member
- May 5, 2013
- 154
- 28
SI kosa wala dhambi kutangaza nia ya kuwakombo wananchi wanaodhulumiwa na kulaghaiwa kwa kofia,kanga na mipira kutoka ccm kisha kuwaterekeza. ni kweli ninadhamira ya kuwakomboa wananchi wa jimbo la mbinga magharibi ambao wametelekezwa na mbunge wao komba kwa miaka sasa. komba hafahamu adha na matatizo wapiga kura wake ndo mana anaongoza kwa kusizia bungeni. wakati yeye akiuchapa usingizi bungeni wananchi wameachwa watupu hata kama wanalipa kodi . hawajawahi kunywa maji ya bomba tangu waumbwe. barabara ni kero kubwa, elimu ni ileile n.k NATANGANZA NIA YA KUANIA UBUNGE 2015 MBINGA MAGHARIBI Naombeni ushauri wenu