ccm imepoteza uhalali wa kuongoza nchi

ccm imepoteza uhalali wa kuongoza nchi

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
ccm imepoteza dira na mwelekeo mawaziri waliochoka, watendaji wengi wa serikali ktk business as usual,ufisadi uliokithiri,kila mtu anataka 10% uzalendo umeisha.maisha magumu, afya mbovu,elimu mbov,nishati migogoro tupu,mfumuko wa bei juu, maji shida. hizi ni sample tu ya shida na matatizo yetu wananchi CCM KIMEBAKI KUWA CHAMA CHA MAJAMBAZI(CCM)
 
Upole wabongo umezidi tufanye tahrir ya bongo ccm hav lost legitimacy to rule
 
Ila sio vijana/watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi wengi ni after tumbo Lao kwanza so na wenyewe pia ni ruksa kwenda wanapoona kuna maslahi yao mfano wapi mwampamba na bi kidudeshonza
 
ccm wana fanya watakalo kwani wajuwa wanaogoza wafu...huku wakigeuza vijana kama mifugo.....
huu ni wakati wa vijana kuwa wazalendo na kufanya kilicho bora kwa maslai ya taifa letu
 
Nchi ya madondocha tungekuwa binadamu tusingekubali kutawaliwa na majangiri CCM
 
siyo jambo la kuuliza hilo pigia mistari kabisa inabidi waanze kufungasha mapema kabisa kwani M4C ITAWAPITIA HATA WA MAGOGONI.
 
Kama wanataka kuendelea kutawala kama wanavyodai wafanya yafuatayo:-
1. Wawe wanafunzi wazuri wa sera, itikadi, malengo na mtazamo wa Mwl. Nyerere
2. Waiangalie Katiba na Mwongozo wa CCM wakati wa Mwl.
3. Wawaondoe wafanya biashara wote kwenye chana chao CCM kwani alama zao ni Jembe
na Nyundo (Wakulima na Wafanyakazi)
4. Wasikilize hotuba za Mwl kwa makini hata kabla ya kuzunguka mikoani ili wale wote
ambao Mwl aliwatilia mashaka wawaondoe CCM kama alivyomtimua Malecela na kuandika
kitabu kuelezea Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania.
5. WAafute mikataba yote ya kuwaibia watanzania raslimali zao za asili alizowajalia
Mwenyezi Mungu.
6. Wawaombe radhi hadharani watu waliouawa katika mazingira ya kutatanisha na hasa
pale ambapo vyombo vya dola vilipohusika, mfano mauaji ya Mwangosi.
7. Mambo ya EPA, Kifo cha Gavana Balali na wote walioshiriki kuuza nyumba za serikali
wawajibishwe mahakamani.
8. Waturudishie ti zile za USWISS bila shida wala hatutawashitaki.

TAFAKARI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !
 
Ccm ipo imara na inazidi kuwa imara, hutaki unaacha, iramba wameanZa wengine ktk kata 25 wanafuata
 
Nchi ya madondocha tungekuwa binadamu tusingekubali kutawaliwa na majangiri CCM

Hatupo tayari kutawaliwa na wauwaji, watembea na sumu hadi bar, mashoga wa bilicanaz, wapanga mauaji hadi wanajirekodi
 
Back
Top Bottom