Yawe Member Apr 5, 2013 47 2 Jun 2, 2013 #1 Wana JF Hivi mikataba ambayo serikali yetu Tanzania inasaini hivi wanaisoma kabla hawajaingia au wanasaini bila kusoma.
Wana JF Hivi mikataba ambayo serikali yetu Tanzania inasaini hivi wanaisoma kabla hawajaingia au wanasaini bila kusoma.
C Chikaka Sumuni JF-Expert Member May 16, 2013 1,337 770 Jun 2, 2013 #2 Nani asome Mikataba hiyo? Kama wangesoma tungeibiwa kirahisi hivyo?