Wadau, Rasimu ya Katiba mpya ndio imetoka. Binafsi sijaipata ila nimefuatilia kwenye vyombo mbali mbali vya habari na pamoja na kazi nzuri waliyofanya kina Warioba lakini bado kuna mapungufu...
Chama Cha Mapinduzi na "Green Guard"
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu, 2010, tumekuwa tunasikia na kushuhudia vijana wa CCM kwa jina la ‘Green Guard' waliopewa mafunzo ya...
From 1970s to 20130 CCM has failed to improve thy fate of Tanzanian as it promised in its reign despite of Tz having a lot of human and natural resources.,CCM is more than a bad parent who want...
Leo Asubuhi Kulukuwa na Kongamano la maelewano baina ya Dini zote zilizopo Lushoto na vyama vote vya sisasa vilivyopo Lushoto,
Mkutano huo ulikuwa ukiendeshwa na Katibu Tarafa ya Lushoto na Mgeni...
​
IDADI YA MAWAZIRI
Inapendekezwa Rais aunde Serikali ndogo iliyo na Mawaziri wasiozidi kumi na tano na mawaziri hao wasiwe wabunge. Mawaziri hawatahudhuria vikao vya Bunge isipokuwa...
Lula wa Ndali Mwananzela Toleo la 296
29 May 2013
WAKATI mwingine unafikiria vitu vimefika pabaya; halafu vinaharibika kabisa! Ni sawa sawa na uone gari lako linapasuka tairi na...
Akichangia hivi sasa bungeni, mbunge wa jimbo la mchinga SAID MTANDA amesema kabla ya bajeti ya wizara ya elimu kupita, kwanza Bodi inayoshughulika na kuandaa mitihani ivunjwe na pia kamati ya...
Zikiwa zimepita siku 9 tangu Rais na katibu mkuu wa CDM Dr W P Slaa kuhutubia katika viwanja vya Mbulu Mjini katika jimbo la Mbulu linaloongozwa na CDM, hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeandaa...
Sijui sheria inasemaje kuhusu hili ila katika hali iliyowashangaza wengi kampeni za Udiwani kata ya Kimandolu ziligeuka mikutano ya kimila pale mgombea wa CCM Bi Edna alipoamua kuhutubia kwa...
TANZAMA PIA KIAMBATANISHO CHA MADAI HALISI YA WALIMU, (ATTACHED)
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHE. SUSAN ANSELM JEROME LYIMO (MB), KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA...
Kamanda hodari, msomi mzalendo mwana wa Tanzania Antipasi Tundu Lissu amejikuta akiundiwa zengwe la kutolewa bungeni ili tu asishiriki kwenye mchakato wa katiba.
Maongezi ya muda mrefu kati ya...
Kwa hili la katiba mpya Jk amethibitisha ujeshi wake kwa kusimama na matakwa ya wananchi kuliko kukumbatia itikadi za vyama vya siasa ambazo zimelitumbukiza taifa katika majanga mengi ya kutisha...
*Ni kuhusu mauaji, Chadema, CCM vyashikana uchawi
*Mpango wa Nchimbi na Kinana kukutana waandaliwa
WAKATI Chadema wakikishutumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa inakihujumu, tuhuma nyingine nzito...
Ndugu wanaJF, Nimeipitia Rasimu ya Katiba mpya kwa haraka haraka na nikagundua kitu kimoja muhimu sana kinakosekana. Rasimu ya Katiba katika utangulizi wake imeshindwa kumtambua muumba wa ardhi...
Habari zenu wa jukwaa, kutokana na matatizo yanayoendelea ndani ya nchi yetu, mimi kwa maoni yangu naona bora katiba mpya izuie kabisa viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa au kushiriki mambo...