Tindulisu anachangia hoja kwenye wizara ya ufundi na elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tindulisu anachangia hoja kwenye wizara ya ufundi na elimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KINO, Jun 4, 2013.

 1. K

  KINO Member

  #1
  Jun 4, 2013
  Joined: Dec 12, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tindulisu anasema hakuna sababu ya wabunge kupitisha hoja mia kwa mia wakati mbunge huyo huyo analalamika wilaya yake haina madawati.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2013
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,463
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  Hivi Kigwangala akiwa hayupo nani anashughulikia afya ya akili ya bwana Antipas
   
 3. Z

  Zacharia Kifyasi Senior Member

  #3
  Jun 4, 2013
  Joined: Dec 23, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amesema waliopitisha viwango vipya vya ufaulu ni serikali chini ya Jumanne Maghembe
   
 4. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2013
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 994
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  wabunge wa chadema wanachangia vizuri sana,maccm ni ovyo sana
   
 5. Z

  Zacharia Kifyasi Senior Member

  #5
  Jun 4, 2013
  Joined: Dec 23, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M/kiti wa kikao Zungu amemkatisha kabla ya muda baada ya Le Mutuz kutoka CCM kuomba kutoa taarifa.
   
 6. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2013
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 971
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Mwisho kasema waziri ajiuzuru akazimiwa mike
   
 7. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Shukuru kawambwa kafanya wizara tano tangu serikali ya awamu ya nne iingie madarakani lakini kila alipopita hakuna cha maana alichofanya by Silinde. hivi huy mzee kwa nini asijiuzulu tu haoni anaaibika na anaaibisha familia yake jamani.
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jun 4, 2013
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,966
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Unatakiwa uwe mirembe siku nyingi wewe!
  Magamba sikuizi jamaa wanawa liberal kila mahali mpaka akili imehamia kwenye makalio
   
 9. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2013
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ndiyo sababu mwenyekiti wenu kakwepa kuzindua rasimu ya katiba
   
 10. k

  kinauche JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 7,675
  Likes Received: 834
  Trophy Points: 280
  Nani anashughulika na ya kwako?


  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 11. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,255
  Trophy Points: 280
  magamba wana ajenda ya siri ya kuliangamiza taifa.
   
 12. k

  kinauche JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 7,675
  Likes Received: 834
  Trophy Points: 280
  Hapana hukumsikia vizuri. Alisema ni Jumanne Kawambwa. Huyu waziri wa elimu anaitwa Dr. Shukuru Jumanne Kawambwa. Baada ya hilo jibu naungana na Lissu kuuliza. Hivi inawwzekanaje mtu kusema anaunga hoja mkoni asili 100% halafu akasema baadaye anashika shilingi. Nadhani kwenye party caucas wamekubaliana waiunge mkono. Is mnakumbuka walikuwa na kikao? Where is Deo? Where is Lugora?

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 13. Z

  Zacharia Kifyasi Senior Member

  #13
  Jun 4, 2013
  Joined: Dec 23, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mkuu kwa kunirekebisha!
   
 14. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2013
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 8,361
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  Ukisema unaunga mkono mia kwa mia maana yake kuwa utakavo kuwa unachangia hutakiwi kulalamika wala kutoa matatizo kwa sababu umeshasema unaunga mia kwa mia,hakuna matatizo.Namuunga mkono Lissu.Wajinga tu ndo wanasema wanaunga mia kwa mia halafu badaye wanaanza kulalamika
   
 15. k

  kichangaa JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2013
  Joined: Apr 9, 2013
  Messages: 690
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anatoka bagamoyo na ni mwislam.mengine jazia mwenyewe.
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2013
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Baba ako
   
 17. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2013
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,376
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Sema afya ya mzee wa kuanguka anguka jukwaani!
   
 18. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2013
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,061
  Likes Received: 2,283
  Trophy Points: 280
  Hawa ndio wanaolilia kunyimwa nafasi na kubanwa ktk elimu,halafu wakipewa hawati improve elimu ya watu wao kwa njia sahihi......dawa ni makanisa kuwa na mtihani wao....hii itasaidia ktk ajira.Mwajiri ataamua kuchagua kichwa itakayoweza fikia malengo yake ktk productivity.

  Kawambwa naye kaamua tumia memo ya msikitini wamtoe mama Ndalichako,mama anaziba backdoor?Kawambwa na wenzie wapo busy kujenga mazingira Ndalichako atoke ili wafungulie mbwa...

  Ubirini akitoa uone jinsi atakavyokuwa km Malima, ataongea km malima...atalia kuwa ni dini yake.These guys hawawezi amka kwa insi udini ulivyowahsikia chini...Soom tutasikia ,km tuliyosikia kwa Lipumba.Dr.Ndalichako inabidi alindwe sana.Tumezoea ona wazenj,na wengine wakibebwa sana ktk mitihani ili idadi yao iwe kubwa ,bila hivyo watalia sana...
   
 19. P

  People JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2013
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kichwa chako kina wadudu ee!
   
 20. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2013
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 624
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hawasomi wala hawasikilizi. Anaeshtuka usingizini anagonga meza!
   
Loading...