Rais Kikwete na Mwl Nyerere!

Rais Kikwete na Mwl Nyerere!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
11,010
Reaction score
19,147
Kama kuna Raisi ambaye anafanana na Mlm Nyerere aliyewahi kutokea Tanzania basi ni Bw.Kikwete, ukifwatilia mambo ya Raisi Kikwete utaona ulinganifu mkubwa sana na Mlm Nyerere, hasa ktk mambo ya sera za Mambo ya nje, kwa nini nasema hivyo?
kwanza wote ni ombaomba wakubwa, Mlm Nyerere kama Raisi Kikwete aliamini sana ktk kuombaomba misaada nchi za Nje, na mpaka alikuwa anaona kama Wazungu wana jukumu la kutusaidia, na mpaka shuleni tulifundishwa hivyo, ndio maana TZ mpaka leo ni moja kati ya Nchi chache zinazotegemea Misaada kuliko nchi nyingine yoyote Afrika na Duniani, yote hii ni Urithi wa Mlm Nyerere, kumbuka DANIDA na misaada ya mashule sijui CIDA n.k!

Ukiangalia miradi yote Mikubwa (Mlm Nyerere) aliyoifanya TZ, ilikuwa ni ya kuomba omba misaada kwa mfano TAZARA ilijengwa na Wachina, Bw Kikwete naye kaja na Bandari ya Bagamoyo itakayojengwa na Wachina, kupigana vita kwa manufaa ya wengine na sio sisi (proxy war) Mlm Nyerere alipeleka Majeshi yetu Uganda na mpaka leo tunadaiwa na Libya na nchi nyingine, Msumbiji, Zimbabwe, Nigeria Biafra, Shelisheli n.k Bw.Kikwete naye anapeleka Majeshi yetu Kongo, Komoro bili itakuja baadae!
Kumbuka lengo la TAZARA na Bandari ya Bagamoyo ni lilelile Wachina walikubali kujenga TAZARA ili waweze kusafirisha Rasilimali toka Zambia kupeleka kwao, na sasa Bandari ili waweze kusafirisha Rasilimali kutoka TZ na Kongo kupeleka kwao!

Wote ni watu wakujipendelea sana (wabinafsi), kwa Mfano Mlm Nyerere ni Mzanaki anatoka kijiji cha Butiama, Bw.Kikwete ni M.k.were------ anatokea kijiji cha Msoga, ukiangalia Msoga na Butiama havina umuhimu wowote TZ lkn ni maarufu kuliko hata baadhi ya Wilaya, watu wengi walikuwa hawajawi kusikia neno M.k.were------ au Msoga mpaka Bw.Kikwete alipokuwa Raisi kama Mlm Nyerere hivyo hivyo!
Tofauti na Maraisi Mkapa na Mwinyi hakuna mtu hata anjua walitokea kijiji gani!

hivyo kwangu mimi naweza kusema Raisi kikwete ni kama cloning ya Mlm Nyerere!

 
Huna uwezo wa kufikiri hata kidogo sijui unawaza nini.
 
mlima na kichuguu......umepotosha jamii mkuu.
 
kama kuna raisi ambaye anafanana na mlm nyerere aliyewahi kutokea tanzania basi ni bw.kikwete, ukifwatilia mambo ya raisi kikwete utaona ulinganifu mkubwa sana na mlm nyerere, hasa ktk mambo ya sera za mambo ya nje, kwa nini nasema hivyo?
Kwanza wote ni ombaomba wakubwa, mlm nyerere kama raisi kikwete aliamini sana ktk kuombaomba misaada nchi za nje, na mpaka alikuwa anaona kama wazungu wana jukumu la kutusaidia, na mpaka shuleni tulifundishwa hivyo, ndio maana tz mpaka leo ni moja kati ya nchi chache zinazotegemea misaada kuliko nchi nyingine yoyote afrika na duniani, yote hii ni urithi wa mlm nyerere, kumbuka danida na misaada ya mashule sijui cida n.k!

Ukiangalia miradi yote mikubwa (mlm nyerere) aliyoifanya tz, ilikuwa ni ya kuomba omba misaada kwa mfano tazara ilijengwa na wachina, bw kikwete naye kaja na bandari ya bagamoyo itakayojengwa na wachina, kupigana vita kwa manufaa ya wengine na sio sisi (proxy war) mlm nyerere alipeleka majeshi yetu uganda na mpaka leo tunadaiwa na libya na nchi nyingine, msumbiji, zimbabwe, nigeria biafra, shelisheli n.k bw.kikwete naye anapeleka majeshi yetu kongo, komoro bili itakuja baadae!
Kumbuka lengo la tazara na bandari ya bagamoyo ni lilelile wachina walikubali kujenga tazara ili waweze kusafirisha rasilimali toka zambia kupeleka kwao, na sasa bandari ili waweze kusafirisha rasilimali kutoka tz na kongo kupeleka kwao!

Wote ni watu wakujipendelea sana (wabinafsi), kwa mfano mlm nyerere ni mzanaki anatoka kijiji cha butiama, bw.kikwete ni m.k.were------ anatokea kijiji cha msoga, ukiangalia msoga na butiama havina umuhimu wowote tz lkn ni maarufu kuliko hata baadhi ya wilaya, watu wengi walikuwa hawajawi kusikia neno m.k.were------ au msoga mpaka bw.kikwete alipokuwa raisi kama mlm nyerere hivyo hivyo!
tofauti na maraisi mkapa na mwinyi hakuna mtu hata anjua walitokea kijiji gani!

hivyo kwangu mimi naweza kusema raisi kikwete ni kama cloning ya mlm nyerere!


rubbish
 
Back
Top Bottom