Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa nikisafiri na waandishi wa habari mara nyingi na kuwalipa, taarifa wanazotoa ni zile zinazo wafurahisha waajiri wao, leo hata nikiwa baharini taarifa zangu zinapatikana. Siitofautishi na...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu wanaJF.. Natumia jukwaa hili kuwaasa mawaziri na vigogo wengne serikalini kuacha kuwatumia Taifa Starz na Wasanii kwenye biashara yao ya kusafirisha dawa za kulevya. Wanatumia fursa ya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Angalia ITV live muda huu ili ufuatilie mjadala huu. Mgeni alieoko studio ni mjumbe wa tume.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inanisikitisha sana na inaumiza ninaposoma habari kwamba kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanaoishi mahotelini kwa sababu ya kukosa makazi. Uongozi wa Mwl Nyerere kwa makusudi kabisa ulijenga...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
By Charles Onyango-Obbo Posted Friday, June 7 2013 at 19:54 As far as the East African, and indeed African, diplomacy show goes, Tanzania right now is that girl on the dance floor that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wana JF, Kwanza namshukuru Mungu kwa kutupa fursa ya kuishi tena (2nd chance) mimi na mdogo wangu. Mungu yu mwema kwetu. Katika ajali hii, huwezi kutarajia kuwa tumetoka tukiwa hai na...
124 Reactions
309 Replies
23K Views
Hizi ni baadhi ya kero. 1.Tarafa nzima Ambulance moja ambayo huwa mamba. 2.Maji hakuna mfano eneo la Majimoto watu wanakunywa maji ya moto yatokanayo na chemchem. 3.Barabara hakuna. Hata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahisi ni wakti muafaka kwa wadau wa mkoa wa Iringa kukaa chini na kuona haja ya kumega wilaya ya iringa vijijini na kuanzisha wilaya mpya ya isimani ambayo makao yake makuu yanaweza kuwa isimani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Vipeperushi hivi vimesambazwa kwa kasi jana katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar vikiwa na ujumbe unaowataka Wapemba waondoke Unguja na kurudi kwao Pemba wakajipange huko kuukataa Muungano...
4 Reactions
178 Replies
19K Views
Kama katiba mpya itakuja na serikali tatu, hakika Chadema lazima iingie ikulu kati ya kinyang'anyiro kimojawapo cha urais wa bara/au muungano,kwani chadema watasimamisha mgombea kwa ajili ya...
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Ofisa huyu wa juu wa Polisi alisimamishwa kazi kwa kupewa likizo ya mwezi mmoja kusubiri maamuzi ya Mh. Rais. kuna mwenye taarifa za maamuzi yaliyotolewa? au mwezi mmoja haujesha?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sunday, June 9, 2013 KATIKA hali isiyo ya kawaida na inayoashiria uzembe katika ulinzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, juzi kijana mmoja mkazi wa eneo la Phillips katika Kata ya Sekei jijini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Posted in Tanzania 9 Jun 2013 Executive Director, minister, Minister of State, official, Prosecutor The government has termed as "justice done on Tanzania" the decision by the International...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
japokuwa kijana alichafuliwa sana apa katika mtandao kuwa kapewa pesa na cdm na pia hata wakati wa upigaji kura kijana bado alikuwa anachafuliwa sana ndo kawa raisi wa chuo kikuu ardhi poleni sana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Aelezea kilichokwamisha kuundwa kwa Tanganyika kulikwamishwa na J.k. Nyerere. Asema suala hilo lilipaswa lianzie ndani ya CCM. Je! Kikao cha CC ya CCM itaridhia suala la kuundwa kwa Tanganyika...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tafadhalini mliopo Arusha mtujuze nini kinaendelea katika kampeni za udiwani Arusha. Tuleteeni ni nani yuko wapi na anasema nini, na mwitikio wa wananchi.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa muujibu wa CD iliyonaswa msikiti wa idrisa na kuandikwa na gzt la tz daima inaonyesha kuwa sera za prof lipumba ni udini na unalenga kupendelea dini hivyo kama katiba itapita itaweka mwanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu muungano bado hatujaridhishwa nao, kwa maoni yetu tumependekeza muungano wa mkataba, kila upande wa muungano kuwe na mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yake, hayo ndo maoni ambayo tulio...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Mbowe anatarajia kutua mda si mrefu Mbeya na kundi kubwa la Wafuasi wa CHADEMA wamejitokeza kumlaki maneo ya Mafiati kata ya IYELA sasa Polis wanapambana na Nguvu ya Umma kwa Kigezo kuwa ni...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema kuwa kuna tabaka la wenye fedha lililojengeka, ambalo linahujumu utendaji wa Rais Jakaya Kikwete ili aonekane...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…