msikilize Njelu Kasaka live DW

msikilize Njelu Kasaka live DW

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2009
Posts
1,224
Reaction score
237
Aelezea kilichokwamisha kuundwa kwa Tanganyika kulikwamishwa na J.k. Nyerere. Asema suala hilo lilipaswa lianzie ndani ya CCM. Je! Kikao cha CC ya CCM itaridhia suala la kuundwa kwa Tanganyika? Sikiliza nawe uwasikie Kasaka, Shibuda, Jusa na Msoka!
 
Kati ya wote hao hoja za jussa zipo juu,zanzibar kwanza.
 
Me nawashangaa baadhi ya watu wanaomkashifu na kumponda Jussa huyu jamaa ana hoja za msingi sana. me nataka Tanganyika yetu tu hayo mambo ya katiba ya muungano sidhani kama yana haja tena.
 
Ungonella usiikwepe hoja ya Jussa kitu ambacho ni kawaida kwa wanaCCM kukifanya isikilize hoja yake kwa makini,Angalia cons na prons za kile Jussa anachokiamini kisha njoo hapa kwenye forum tuchangie.Uuups nilisahau kuwa wanaCCM hawapendi kushindana kwa hoja ila hupenda kushindana kwa vioja na umbeya.Ciaooooo!
 
Hivi kwa nini mambo saba tuyaundie serikali?
 
Njelu Kasaka ivi uyu mzee yupo pande za wapi?
 
Wale waliokosa mazungumzo hayo jana sikilizeni marudio yanaendelea muda huu!
 
Jusa hana chochote cha kujivunia kwa taifa letu, zaidi ya kuhamasisha mtengamano na ubaguzi!

kama tumeshindwa kuweka serikali moja tunakimbilia 3 manake hakuna umuhimu wa Muungano,kwani hata mambo ya muungano yanaonyesha kupungua........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom