Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Hichi ndio alichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook "...Tanzania haijapata kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama mizengo pinda...alichokifanya ni kutangaza rasmi vita kati ya serikali ya ccm...
10 Reactions
424 Replies
30K Views
Dodoma. Mbunge wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia (CCM), kwa mara nyingine ameingia katika kashfa nzito akituhumiwa kutaka kumpiga Mbunge wa Viti Maalumu CUF, Moza Abeid ndani ya Ukumbi wa Bunge...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wana-JF! Ingawa kumekuwa na upotoshaji wa aina yake humu jamvini na kwengineko, kuhusu kauli ya mhe. Pinda, ila ukweli utabaki palepale kuwa mhe. Pinda ametoa kauli sahihi kwa wakati sahihi...
5 Reactions
115 Replies
8K Views
By Jenerali Ulimwengu Posted Saturday, June 22 2013 at 09:56 IN SUMMARY Every time there is a public protest, we send in police with teargas and, sometimes, live ammo. And still, we are very...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
US firms sign $1bn power deal THE CITIZEN Dar es Salaam. Two US energy firms operating in the country have signed an agreement worth $1 billion (equivalent to Sh1.6 trillion) for a gas powered...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Dodoma. Mbunge wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia (CCM), kwa mara nyingine ameingia katika kashfa nzito akituhumiwa kutaka kumpiga Mbunge wa Viti Maalumu CUF, Moza Abeid ndani ya Ukumbi wa Bunge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"NASSARI NI MUONGO NA NI MNAFIKI, TUMEMRUHUSU KWA AMANI NA BADALA YAKE KADAI ETI KATOROKA ILI TUSIMUUE"...KAULI YA DAKTARI UONGOZI wa hospitali ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
4 Reactions
130 Replies
12K Views
JUMAMOSI, JUNI 22, 2013 06:33 NA BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM SIKU moja baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutoa ruksa kwa Jeshi la Polisi kutembeza kipigo kwa wanaokaidi amri, baadhi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa tangazo la tume ya taifa ya uchaguzi lililochapishwa leo kwenye gazeti la Mwananchi ktk ukurasa wa 38 ni kuwa Tume imetangaza rasmi hakutakuwa na kampeni kwenye uchaguzi wa kata nne...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF! Uongozi ni taranta, ni uwakili, ni dhamana, ni maono, ni uwezo, ni uaminifu, ni uadilifu na vilevile ni uvumilivu. Nje ya hayo kuna moja la zaidi, uongozi ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tukio la Arusha juzi si la kwanza mkoani humo tujikumbushe 1) shekhe alimwagiwa tindukali Arusha, hakuna kilichofanyika. 2) bomu olasit watu wakafa, mwendesha boda boda kapelekwa mahakamani na...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Akiomba mwongozo wa Spika bungeni mapema leo,Mbunge wa Lindi Mjini Mhe Salum Halfan Barwani(CUF) amemtaka Spika wa Bunge Anne Makinda kutoa mwongozo na kuruhusu chama cha Wananchi CUF kuongoza...
1 Reactions
109 Replies
12K Views
Habari wakuu! Najaribu kutafakari sana jinsi rasilimali zote za nchi hii zinavyobinafsishwa kwa wageni.Madini,misitu,mapori ya kuwindia,Mahoteli nk.Najiuliza swali moja la msingi na ambalo...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Kauli kama; 'wanaoua albino wauawe', 'liwalo na liwe' na sasa 'watu jeuri wapigwe tu' zinaonesha wazi mkuu unatakiwa kutubu kwa Mungu au wewe binafsi vinginevyo uNaliingiza taifa pahala pasipofaa!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu. Nimekutana na hii video nyingine ya mlipuko wa bomu la Arusha. Bofya hapo chini http://youtu.be/rDEiY2vhFI8 Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
13 Reactions
93 Replies
12K Views
Friday, June 21, 2013 Akina Warioba kibaruani tena WAJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kutoka Tanzania Bara, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba, ndiyo wanaotarajiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari jf. Kwanza lazima nieleze haya mimi ni mwana Chadema na naamini na chama ambacho kitatufikisha watanzania pale tunapotaka. Kama mwanachama naomba viongozi wangu mnitoe kwenye hii...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kauli alioitoa Pinda (Mr Piga tu!) bungeni kuwa serikali imechoka kwa hiyo watavunja katiba na sheria za nchi kwa kupiga watu tu, ili kuwalazimisha wananchi kukubali lolote litakaloamriwa au...
1 Reactions
3 Replies
893 Views
HKigwangalla on Facebook ameandika : Hamisi KigwangallaWednesday via BlackBerry Smartphones App Kigwanomics - includes tax cuts to the working class and businesses so as to increase...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwanza kabisa na kiroho safi napenda kuwapongeza CHADEMA kwa Ushindi wa Udiwani katika Kata ya Iyela-Mbeya, pamoja na kuwepo kwa matukio ya vurugu, rafu na umafia wa hapa na pale mliyoyafanya...
1 Reactions
96 Replies
7K Views
Back
Top Bottom