Ndugu Wananchi,
Haitakuja itokee msikie kuwa wahalifu kama watekaji na wauaji wa wana harakati mbali mbali hapa nchini kukamatwa. Sina haja ya kutaja ni akina nani waliotekwa na kuuawa maana nina...
Katika matukio ya mauaji na utesaji unaoendelea hapa nchini,viongozi wa ccm na serikali wamekuwa wepesi kutaja kuwa chadema wanahusika kwa mfano:
-Tukio la kuteswa kwa Dr ulimboka,ccm na serikali...
Katika matukio ya mauaji na utesaji unaoendelea hapa nchini,viongozi wa ccm na serikali wamekuwa wepesi kutaja kuwa chadema wanahusika kwa mfano:
-Tukio la kuteswa kwa Dr ulimboka,ccm na serikali...
Ndugu wanaJF!!
Kumekuwa na hali ya kumtafuta mchawi nani kwenye tukio la mlipuko huko kwenye viwanja vya Soweto Arusha katika mkutano wa CHADEMA, lakini bila mafanikio yoyote mpaka sasa, hakuna...
habari wana jamvi na wana ccm wanajamvi!
Huu ninaotoa hapa ni ushauri tu unaweza ukachukuliwa au ukatiwa kapuni ila ndio ukweli wenyewe.itakumbukwa kuwa hapo miaka ya nyuma kidogo tulikuwa na...
Mi naona chanzo cha umaskini wa waTanzania ni CHADEMA
kwakuwa serikali inatumia pesa nyingi sana kushugulikia matatizo ya chadema kuliko kujikita na kuendeleza nchi
barabara zinajengwa kwa...
WANAJF: Hebu angalieni stori hii jinsi serikali na Tanesco yake chini ya Prof Muhongo wanavyowamaliza Watz. Haya matrilioni yaliyotumika kukwepesha mgao wa umeme yalitoka kwa walipa kodi, au fedha...
Habari za kuaminika kutoka dodoma, madiwani wa halmashauri ya mji wa dodoma wameuziwa viwanja kwa bei ya laki 3 tofauti na wananchi ambao wao huuziwa kuanzia mil 3 mpaka 5, habari za kuaminika ni...
Hii sela ya 50 kwa 50 mi hainiingii akirini, maendeleo hayawezi yaka letwa na wingi wa wawakilishi ktk ngazi za uongozi, bari selikari ndiyo inapaswa kuwahudumia vema watuwake, sidhani kama nchi...
Ripoti za kibenki Uswisi zilisema mabilioni yale ni ya vigogo waliowekewa na makampuni yanayojihusisha na uchimbaji wa mafuta na gesi. sasa hawa 200 waliohojiwa wanatoka wapi?
kwa nini wachunguzi...
Katika tukio lililotokea leo kwenye ukumbi wa St.Gasper Dodoma ambako wabunge wote wapo kwenye semina ya masuala ya ukimwi ambayo inaendelea kumetokea mtifuano na nusura Mwigulu arushe ngumi baada...
Huu ndiyo waraka wangu kwa Bw. Peter Ross Sullivan, Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Resolute Mining Ltd.
Ref. No.: MP2013/13/0017 | Date: June 8th, 2013
Mr. Peter R...
Kwa mara nyingine tena Waziri Mkuu Pinda ametoa kauli ambayo inatafsirika kuwa ni kuhalalisha vyombo vya usalama kuvunja haki za msingi za wananchi kwa kuwapiga na hata kuwaua. Kauli hiyo...
Salaam Mh. Raisi,
Mimi kama raia wa nchi yako, ni wajibu wangu kuhakikisha kuwa nchi yangu inabaki salama kwa kutunza amani ya pale ninapoishi na kuhakikisha kuwa siwi kisababishi cha uvunjifu wa...
Kwa mtazamo wangu tu.
Baada ya jaji na waziri mkuu mstaafu Joseph Sinde Warioba kutoa kwa muhtasari juu ya mapendekezo yaliyomo kwenye uundwaji wa katiba mpya kuna mambo ambayo binafsi...
Toka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO...
Wakuu JF, Amani iwe Nanyi.
Nina Swali kwa wale wote wanaong'ang'ania CHADEMA kupitia kwa Mwenyekiti wa Taifa na KUB, Freeman Mbowe Kuwa waweke Video ya Ushahidi wa tukio la Polisi Kurusha Bomu...
Mwenyekiti wa TLP na Mbunge wa Vunjo Agustino Lyatonga Mrema amesema kwamba mabomu na vipigo wanavyopata viongozi wa CDM kwa sasa kutoka kwa serikali na yeye alivipata na ndio iliyomsababishia...
kwa mwenye gari tajwa hapo juu ambalo lipo kwenye hali mzuri na ambaye yupo tayar kuuza ani text kwenye no. 0754833473 bajet ni 5m kwa rav 4 ni 7m. Ningependa magar ya kuanzia 1999 kwenda mbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.