meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Akizungumza kwa sauti ya unyonge ...amesema kauli ya kwamba ''msipoichagua ccm mtakufa'' ni ya kutengenezwa.
Source Voa via RFA.
majibu ya Mwigulu Nchemba katika thread hii....
by Mwigulu Nchemba.
Source Voa via RFA.
majibu ya Mwigulu Nchemba katika thread hii....
by Mwigulu Nchemba.
Hakuna cha unyonge ila hakukuwepo na mapepo ya kukemea. Nimeongea kwa lugha ya mazungumzo sio ya kukemea mapepo ya bungeni
Last edited by a moderator: