Tanzania ya kesho

Tanzania ya kesho

Moss B

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
54
Reaction score
4
Usiwaze nani anafaa kuingoza Tanzania siku za mbeleni bali waza nani ataikombo Tanzania kwa jinsi ilivyo sasa ukiachia mbali utajili tulokuwa nao sisi kupitia rasilima zetu wenyewe na kuibiwa na wageni!!
Vita vya wenyewe kwa wenyewe.,ujambazi wa kutumia silaha kali,ufisadi!! Ila bhado naipenda nchi yangu mimi ni mzalendo tena kijana wa mwalimu
 
mimi sishabikii chama ila nahitaji kiongozi atakayeirudisha ELIMU TA TANZANIA Kwenye mstari ulionyooka yaasni kusiwe na difference kati ya wakayumba na academia kama ilivyokuwa zamani,watoto wamaskini waweze pata elimu bora uitakayowapambanisha na wenye uwezo wakupeleka wanae nje ya nchi na mtoto wa maskini aweze kuwa waziri!mbunge!ceo na ngazi za juu kabisa tofauti na sasa watoto wa maskini mwisho 4m4
kwa suala la elimu lowasa anaweza tena sana ila je tutairudisha ccm madarakani?hapa ndipo roho inaponiuma sana angekuwa sio ccm kwa kweli yule mzee angetusogeza sana kielimu kabla ya uzee wake!
 
Back
Top Bottom