Polisi mlipua bomu avishwa magwanda ya madaktari kupitishwa kwa majeruhi hospitalini kupima kama wanamtambua?
Mashuhuda wa tukio la mlipuko wa bomu uliotokea mwishoni mwa wiki iliyopita Jijini...
Naomba ku declare interest kwamba mimi ni mmoja wapenda mabadiliko Tanzania wasiopenda CCM iendelee kushika dola kutokana na udhaidu mkubwa wanaoonyesha katika uongozi wa nchi, utofauti wangu na...
Chadema family kwa pamoja tunaweza wenye sukari mchele unga pesa nk tumekutana ofisi ya chama muda huu watu ni wengi mno na magari, pikipiki, baiskeli, ndo tumeanza msafara wa kuwatembelea wahanga...
Kuna syndrome ametuachia Nyerere kuwa uhuru unawezaukapiganiwa kwa amani na ukapatikana bila kudondosha tone la damu. Hii nadhariainaweza kufanya kazi kutegemeana na mazingira na aina ya...
Jioni hii baada ya kumaliza kikao na waandishi wa habari kuhusu suala katibu cdm wa kanda maalum ya dsm bw. Henry Kilewo, pili alikuja kuongea na wakazi wa ubungo kuchukua maoni kama kesho bungeni...
Sisi tuliokuwepo enzi za chama kimoja miaka ya 70 tulijionea wenyewe jinsi chama hiki kilivyokuwa na nguvu ya ushawishi kwa wananchama wake kupelekea wananchi kukiamini kuwa mkombozi wao...
Mbunge wa Nyamagana (CHADEMA), Ezekiel Wenje (Wapili kushoto),
akimuondoa mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA),
Mchungaji Peter Msigwa (Wapili kulia),
baada ya ``kukwaruzana`` kwa maneno na mbunge...
Jeshi la polisi halina weledi na linafanya kazi kwa kuangalia watu tazama mh mbowe aliitwa kuhojiwa kwa saa5 alichokisema kikawa tofauti na alichowaambia waandishi wa hbr nje baadaya kutoka...
Vijana wote tuungane katika hili, tuweke tofauti zetu pembeni. Tuanze kujiandaa ili mwaka kesho tushike serikali za mitaa,2015 tukamate Ikulu. Ni mapinduzi yasiyomwaga damu, silaha yetu ni...
Makada 14 wa CCM wajeruhiwa ajalini
Na Hamad Shapandu, Pemba
MAKADA 14 wa CCM wamenusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Micheweni kwenda Konde kisiwani Pemba,kupoteza...
Ndugu wanajukwaa nimekuwa nikijiuliza nini maana ya neno laana na anaelaaniwa huwa anapata madhara gani? Tulishuhudia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa dr.Steven Ulimboka,serikali na viongozi...
Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi taifa CCM Bw ABDALAH BULEMBO amefanya ziara ya kikazi mkoani kagera na kushangaa namna viongozi wa CCM mkoani humo wanavyofanya kazi za kisiasa.
ameshangaa baada ya...
Qoutes za mwalimu
Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa...
Wanajamvi mi najiuloza Sana kwanini kesi za wanachama na viongozi zinapewa kipaumbele sana na polis kuzidi kesi zingine zote yani wanaweza wakafunga hata kituo kumfuata mtuhumiwa hata Kama...
Mbona siku hizi hoja zake hazna Mvuto? Au kalewa sifa? Wadau hebu tumchambue huyu mzee kabla ya 2015.
Mwenye uelewa juu ya huyu Mzee adadavue kidogo juu ya Weledi wa Huyu Mzee.
Freeman Mbowe na Lema walipotinga kituo cha polisi
USHAHIDI WA VIDEO KUHUSU SHAMBULIO LA BOMU ARUSHA
Msimamo wa Mbowe - Tume huru ya kimahakama si polisi watuhumiwa
Kuhusu ushahidi anaodai...
Ndugu mwigulu jana kwenye post yake jana alikanusha kua hajashikana na ndugu mch.msigwa leo magazeti mawili mwananchi na Nipashe yanamwonesha sasa huyu jamaa hajui dunia imebadilika kwa tabia ya...
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na msomi aliyebobea Dr Kitila Mkumbo amesema CCM sasa imezidi kufubaa na kupauka.
Dr Kitila amesema kwa mwaka huu tu CCM imepoteza kata 7 walizokuwa wanashikilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.